ktk mahakama ya mkoa moro ameletwa shekhe ponda kuja kusomea shitaka la uchochezi. Nimeshangaa kuona umati wa askari kanzu .ffu na wale wa usalama barabarani. Pesa ya walipa kodi inateketea kwa mambo ya kijinga kama haya inatia uchungu sana. kwa sasa chopa inawashwa shekhe anarudiswa dar.
Eti, kuandaa machafuko ndio kufanyaje sasa?Dhu, hayo mashitaka mbona hayajakaa vizuri .............. especially hilo la tatu la kuandaa machafuko??
Shekhe Issa ponda Issa amefikishwa mahakamani mkoani morogoro leo na kusomewa mastaka ma tatu.. Staka la kwanza ni kuchochea uvunjifu wa sheria, pili ni maneno ya kukashifu na kudharau dini nyingine, tatu ni kuandaa machafuko ambayo yamepigwa marufuku.. Aliletwa na helkopta ya polisi na kurudishwa Dar es salaam na gari ya polisi..
Serce😀w bony..
Ni njama... Kesi inaandaliwa vibaya kwa kusudi ili baadae ifutwe au aweze kushindaShekhe Issa ponda Issa amefikishwa mahakamani mkoani morogoro leo na kusomewa mastaka ma tatu.. Staka la kwanza ni kuchochea uvunjifu wa sheria, pili ni maneno ya kukashifu na kudharau dini nyingine, tatu ni kuandaa machafuko ambayo yamepigwa marufuku.. Aliletwa na helkopta ya polisi na kurudishwa Dar es salaam na gari ya polisi..
Serce😀w bony..
Shekhe Issa ponda Issa amefikishwa mahakamani mkoani morogoro leo na kusomewa mastaka ma tatu.. Staka la kwanza ni kuchochea uvunjifu wa sheria, pili ni maneno ya kukashifu na kudharau dini nyingine, tatu ni kuandaa machafuko ambayo yamepigwa marufuku.. Aliletwa na helkopta ya polisi na kurudishwa Dar es salaam na gari ya polisi..
Serce😀w bony..
Hilo Shtaka la pili ndilo hasa linalosababisha nimchukie Ponda.Haya mengine ni Mapambano ya kawaida na Utawala usiotenda Haki.
Hilo Shtaka la pili ndilo hasa linalosababisha nimchukie Ponda.Haya mengine ni Mapambano ya kawaida na Utawala usiotenda Haki.
Na hii ni kwa gharama zetu (kodi zetu). Kwa nini tunaruhusu ujinga huu!Ni njama... Kesi inaandaliwa vibaya kwa kusudi ili baadae ifutwe au aweze kushinda
nimepiga cha maza ako.
Na hii ni kwa gharama zetu (kodi zetu). Kwa nini tunaruhusu ujinga huu!
hakuna mwislam anaweza kueshimu dini nyingine mbali na uislam maana kufanya hivyo ni kukubaliana na mtu anaesema tatu mara mbili ni saba badala ya sita eti kwa sababu yeye amesema, ukristo sio dini wala yesu hakuwa mkristo huo ndio msimamo wa waislamPonda inabidi aheshimu imani za wengine, kama wao wanavyoheshimu yake pia! au anafikiri kila mtu anapenda imani ya mwingine, lakini uvumilivu ndio jambo la msingi! Dola ifanye kazi yake na haki itendeke... Lazima ajifunze kuheshimu dola na watu wake
teh teh teh! punguza mabange bwana mdogo.
Kinachoniacha hoi ni hawa wafuasi wa Shehk Issa Ponda! Eti wanadai hawataipigia CCM kura mpaka kiongozi wao aachiwe huru! Nasema huu ni upumbafu kwa hawa wafuasi wa Ponda yaani kumbe eti huwa wanapiga kura kwa maslahi ya mtu na sio kwa maslahi ya chama kitakachowaongoza na kuwaletea maendeleo?
Mungu tusaidie kwa wananchi wa nchii wapewe elimu ya kujua nini maana ya kuchagua chama na sio kuchagua watu!:A S-frusty:
ndio akili yako iyo, mm c nakujua!hakuna mwislam anaweza kueshimu dini nyingine mbali na uislam maana kufanya hivyo ni kukubaliana na mtu anaesema tatu mara mbili ni saba badala ya sita eti kwa sababu yeye amesema, ukristo sio dini wala yesu hakuwa mkristo huo ndio msimamo wa waislam