Sheikh Ponda apandishwa kizimbani Morogoro

Sheikh Ponda apandishwa kizimbani Morogoro

Kweli ... na inawezekana kwa mara ya kwanza ktk maisha yake kapanda helkopta ... plus ulinzi kuliko wa JK
[video] Katibu wa taasisi ya Kiislam amepandishwa kizimbani katika mahakama ya Morogoro Source: ITV TANZANIA ya youtube
 
Last edited by a moderator:
Kama mashitaka yenyewe ndiyo hayo basi aminini kuwa jamhuri itaanguka vibaya kwenye kesi hii ilimradi tu Shehe Ponda awe na mawakili wazuri!,

Nchi hii inatawaliwa na wendawazimu kweli!

Baniani mbaya kiatu chake dawa @ ha ha ha ha
 
Eti hili nalo ni kosa: ''Ndugu waislamu Msikubali uundwaji wa kamati za ulinzi na usalama za Misikiti kwani kamati hizo zimeundwa na Bakwata ambao ni vibaraka wa Serikali .

......na kwa ukubwa wa shitaka hilo mshatakiwa hawezi kupewa dhamana. DPP majanga

sasa kamati za ulinzi na usalama za nini kwenye nyumba za ibada? na polisi kazi yao nini??
hata ningekuwa mimi, ukileta kamati ya ulinzi na usalama kanisani kwetu lazima nikuhoji tena kwa herufi kubwa...Serikali tuambieni hivi huyu Mzee Ponda ana kosa gani???
Mi nilidhani anaongea lugha ya Ilunga yule aliyerekodiwa kwa video akisema uhusiano pekee kati ya kafir na muislamu ni bunduki....kumbe ndio hivi??
Halafu wafuasi wake wali vyoonyesha ustaarabu kwa hili inaweza kuwa ushahidi kwamba huyu baba wa watu hana chuki binafsi na kundi la watu wengine
 
Siku zote serikali za kidhalimu huwahofia wapigania haki.Anachofanyiwa sheikh Ponda ni uthibitisho mwingine wa namna serikali inavyowatendea viongozi wa kiislam.Ni wazi Kuwa nchi hainamujtama mwema

yaan wewe ni mwislamu fuata upepo!!!mbona maramara mnalalamika sana?oh waislamu 2naonewa,2naonewa---kwa lipi?ponda kavunja sheria za nchi!wajinga sana nyie!hamna akili nyie waislamu ndo mana hata shule zenu zinafanya hofyo hofyo!!bora nimezaliwa mkristo!!!SOMEONE WHO ALWAYS BLAMES IS POWERLESS!!!!shenz type-----
 
Nipo katika viunga vya mahakama ya mkoa wa Morogoro, nimeona ulinzi mkali umeimarishwa na helicopter ya polisi kutoka Dar es salaam ikiwasili mnamo mida ya saa tano.

Habari ni kuwa helicopter hiyo ilimleta Sheikh Ponda kuja kusomewa mashtaka yake, mashtaka ambayo hayakuzidi hata nusu saa kusomwa, na mnamo saa sita na dakika 28 mchana helicopter hiyo iliondoka na kurejea D.s.m.

Bado haijajulikana kama imeondoka na Sheikh Ponda au vipi.

Hivi kweli Ponda amekua threat kiasi hiki?

Nashauri wahusika wawe na ubinadamu kidogo. Ukiangalia picha hizi utafikiri Ponda is the most dangerous guy on earth. Amepigwa risasi for no reason at all, risasi ya moto ambayo almanusura imuue. Amehojiwa akiwa hospitali na maumivu kinyume kabisa na haki na ubinadamu, ametolewa hospitali akiwa hajapona na kuburuzwa mahakamani akiwa hajapona ambapo ni kinyume kabisa na haki za binadamu, Why the hurry, this is a wounded person, kwa nini tusisubiri mpaka apone kabisa ndipo ahojiwe. On the surface, tuhuma dhidi yake ni ndogo sana, kukiuka masharti ya kifungo cha nje kwa kiongozi haimaanishi apigwe risasi kama jambazi sugu, kwa nini mwanasheria wake au yeye mwenyewe asiitwe na kutahadharishwa kuhusu hilo. Binafsi ni mkristo, sikubaliani na mambo mengi anayosema Ponda, lakini kama hatukubaliani naye si asikilizwe na tumpinge kwa MANENO (HOJA) kwani hata yeye mpaka sasa amekuwa anaongea tu (MANENO TU) but to gun him down?.... I am speechless!
 
Yap!
Ungesema basi kwa Kiswahili nilichofundishwa mimi darasani badala ya kukiita fasaha! afadhali ungetumia neno Kiswahili standard ningekuelewa.

Halafu unasema tena hakuna Kiswahili "majela" wakati waliokupangia wewe namna gani ya kupangilia Kiswahili ni wanaume kama sisi!

Umesoma shule gani mkuu? ninaposema kiswahili fasaha sina sababu ya kuweka tena neno standard kwa sababu neno haliwezi kua standard kama sio fasaha.nadhani pia una matatizo na matumizi/maana ya neno standard.
 
yaan wewe ni mwislamu fuata upepo!!!mbona maramara mnalalamika sana?oh waislamu 2naonewa,2naonewa---kwa lipi?ponda kavunja sheria za nchi!wajinga sana nyie!hamna akili nyie waislamu ndo mana hata shule zenu zinafanya hofyo hofyo!!bora nimezaliwa mkristo!!!SOMEONE WHO ALWAYS BLAMES IS POWERLESS!!!!shenz type-----

Acha ufala wewe, asie na akili mama'ko mzazi aliekuzaa na kukufundisha mdomo mchafu kwa kututukana sisi Waislam hatuna akili. Mpe hi mamako
 
Umesoma shule gani mkuu? ninaposema kiswahili fasaha sina sababu ya kuweka tena neno standard kwa sababu neno haliwezi kua standard kama sio fasaha.nadhani pia una matatizo na matumizi/maana ya neno standard.
Standard - something considered by an authority or by general consent as a basis of comparison; an approved model.

Fasaha - (lugha) iliyokamilika (limeazimwa kwenye kiarabu)

Angalia neno standard tafsiri yake imetumika CONSIDERED tena wanamalizia A BASIS OF COMPARISON (kwa viwango walivyojiwekea).
Ina maana ukisema Kiswahili standard unamaanisha Kiswahili (CONSIDERED) kilicho karibu zaidi na ufasaha (kwa viwango vyao).

Halafu rejea kwenye uasili wa neno fasaha utakuta ni "pure".
 
sio akili yangu hiyo ndio akili ya waislam wote ukiona mtu mwenye mawazo tofauti hao ni waislam poa ambao wanaweza kula ngurue kidogo,pombe kidogo, uongo kidogo,uasherati kidogo,kusali kidogo, kila kitu kidogokidogo
lipi bora, nguruwe kidogo, pombe kidogo, au kuoa wake wengi? upi ni uasherati hapo! Hii dunia sio ya waislamu, na siku zote penye uislamu duniani kuna matatizo, kwann! kama kweli ni dini ya kupenda amani..kwann popote penye uislamu dunian ndipo pasipo na amani! Kuna ulazima wa kuchunguza imani zingine kabla ya kuzikubali.. Kama dini itahubiri uvunjifu wa amani , hiyo nis awa kweli, dini inasema wakija watu wa bakwata, fungeni milango ya msikiti wenu muwapige, hiyo dini ni sahihi! Dini gani haina uvumilivu, dini gani ya kujiona kuwa ndio ipo sahihi tu, hata kama sio! Angalia wa Budha, ndip dini yenye waumini/wafuasi wengi duniani, umewahi kusikia habari mbaya juu yao au jamaii inayowazunguka? kwanini Ponda tu, yeye nani, au yeye ndio anaujua uislamu zaidi kuliko yeyote hapa Tanzania...... sio sahihi inabidi ashughulikiwe huyo
 
Mi nilidhani kabla ya kumpeleka mahakamani angecharazwa viboko makalioni ili akamuineshe mke na watoto wake

naona una chuki ya dhahir dhid ya shujaa ponda! hapa ndo ujue ana thaman gan? tunamuona hana thaman machon ila aliyemuumba anaona ana thaman kubwa na atamlinda maana yupo ktk haki, huna ujasir alionao ponda hata chembe! na ndo maana hawez ogopa viumbe! msimamo wake anamuogopa aliyemuumba tu! Ewe Allah tunakuomba umlinde Ponda na Waislam wote kwa ujumla dhidi ya Madhalimu wote wasioupenda uislam.
 
sasa kamati za ulinzi na usalama za nini kwenye nyumba za ibada? na polisi kazi yao nini??
hata ningekuwa mimi, ukileta kamati ya ulinzi na usalama kanisani kwetu lazima nikuhoji tena kwa herufi kubwa...Serikali tuambieni hivi huyu Mzee Ponda ana kosa gani???
Mi nilidhani anaongea lugha ya Ilunga yule aliyerekodiwa kwa video akisema uhusiano pekee kati ya kafir na muislamu ni bunduki....kumbe ndio hivi??
Halafu wafuasi wake wali vyoonyesha ustaarabu kwa hili inaweza kuwa ushahidi kwamba huyu baba wa watu hana chuki binafsi na kundi la watu wengine

kwa kwel umeongea maneno ya busara mno mkuu! wengi wanamshutumu hy baba wa watu bila ya kujua kiin ni nini? na mara zote ukitaka kutibu tatizo usideal na matokea tafuta chanzo ndo ufumbuz, kwa nini serikal iwasikilize tu BAKWATA? ilitakiwa pia ikae na ijaribu kuongea na kujua ponda hasa anataka nini? na je hoja zake zina msingi???? kumuua au kumfunga haimaanishi ndo mwisho wa anachodai ponda.
 
yaan wewe ni mwislamu fuata upepo!!!mbona maramara mnalalamika sana?oh waislamu 2naonewa,2naonewa---kwa lipi?ponda kavunja sheria za nchi!wajinga sana nyie!hamna akili nyie waislamu ndo mana hata shule zenu zinafanya hofyo hofyo!!bora nimezaliwa mkristo!!!SOMEONE WHO ALWAYS BLAMES IS POWERLESS!!!!shenz type-----

We mvuvi hodari shenzi mwenyewe, sawa?
 
lipi bora, nguruwe kidogo, pombe kidogo, au kuoa wake wengi? upi ni uasherati hapo! Hii dunia sio ya waislamu, na siku zote penye uislamu duniani kuna matatizo, kwann! kama kweli ni dini ya kupenda amani..kwann popote penye uislamu dunian ndipo pasipo na amani! Kuna ulazima wa kuchunguza imani zingine kabla ya kuzikubali.. Kama dini itahubiri uvunjifu wa amani , hiyo nis awa kweli, dini inasema wakija watu wa bakwata, fungeni milango ya msikiti wenu muwapige, hiyo dini ni sahihi! Dini gani haina uvumilivu, dini gani ya kujiona kuwa ndio ipo sahihi tu, hata kama sio! Angalia wa Budha, ndip dini yenye waumini/wafuasi wengi duniani, umewahi kusikia habari mbaya juu yao au jamaii inayowazunguka? kwanini Ponda tu, yeye nani, au yeye ndio anaujua uislamu zaidi kuliko yeyote hapa Tanzania...... sio sahihi inabidi ashughulikiwe huyo
ndio maana wanakuambia njia ya kwenda peponi ni nyembamba na njia ya kwenda motoni ni pana, hilo ni somo kubwa sana kwa mtu kama wewe mwenyekupenda mteremko inaitaji elimu ya hali ya juu kufundishwa la sivyo kwako wewe kila kitu unaona sawasawa ndio maana ni rahisi wewe kusema kila dini ni sawa.
 
Sina hakika kama unamcha Mungu. Huenda wewe ni zimwi. Hata hivyo hujafa hujaumbika.

kuwa na uhakika namcha mungu kabisa, na hakuna zimwi lenye account jf, na linajua kuandika!!ila kwa swala la magaidi wanachoma makanisa, kuua mapadre kumwagia wafadhili tindikali mimi kwa hilo sina simile!!
 
na hakuna kanisa duniani linalohubiri Issa. Ukikemea pepo kwa jina la ustaadh Issa hawatoki, ila kwa jina la YESU weeee!
Njoo mimi nitakemea kwa jina la nguruwe na pepo linatoka na kukimbia nini
nini ISSA na YESU,chezea mafuta ya upako wewe
 
lipi bora, nguruwe kidogo, pombe kidogo, au kuoa wake wengi? upi ni uasherati hazspo! Hii dunia sio ya waislamu, na siku zote penye uislamu duniani kuna matatizo, kwann! kama kweli ni dini ya kupenda amani..kwann popote penye uislamu dunian ndipo pasipo na amani! Kuna ulazima wa kuchunguza imani zingine kabla ya kuzikubali.. Kama dini itahubiri uvunjifu wa amani , hiyo nis awa kweli, dini inasema wakija watu wa bakwata, fungeni milango ya msikiti wenu muwapige, hiyo dini ni sahihi! Dini gani haina uvumilivu, dini gani ya kujiona kuwa ndio ipo sahihi tu, hata kama sio! Angalia wa Budha, ndip dini yenye waumini/wafuasi wengi duniani, umewahi kusikia habari mbaya juu yao au jamaii inayowazunguka? kwanini Ponda tu, yeye nani, au yeye ndio anaujua uislamu zaidi kuliko yeyote hapa Tanzania...... sio sahihi inabidi ashughulikiwe huyo
Budha ina wafuasi wengi sawa ikifuatiwa na uislam, ila kwa kua uislamu ndio dini ya Mungu na zingine zimeanzishwa na watu hivyo wanaichukia pasipo na sababu, nahisi wao dunia ndio pepo yao baada ya kufa kwao ni watu wa motoni milele
 
Back
Top Bottom