schlumberger
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 890
- 350
Ponda udini umemjaa kila idara utamfananisha na Lema kweli? Hebu acha masikhara.
Huyu jamaa si ndiye alisema raisi Mdini. akaambiwa alete ushahidi? Tusitetee upuuzi!!!
Ponda udini umemjaa kila idara utamfananisha na Lema kweli? Hebu acha masikhara.
hili la pili eti kasema YESU SIO MUNGU. MAHAKAMA SI ISHASEMA KWAMBA KWA WAISLAM KUSEMA YESU SIO MUNGU SI KOSA KABISA KWA MUJIBU WA QURAN.
hakuna kesi hapo, uchochezi upi? alafu mkumbuke waislam kusema yesu sio mungu ni haki yao ni kwa mujibu wa qur-an.
Duh! halafu ndio mwasema amerudishwa Dar?
Kama huu ni uchochezi basi ni wengi watakaofungwa safari hii! majela yatajaa.
ha! ha! ha!Ukiandika hiki kiswahili kwenye mtihani utakoseshwa tu hata kama wewe ni Muislam haiwezekani upewe marks hapa kwa kuogopa utasema kuna Mfumo kristu, bsfuuu!!!!!
Mkuu nisaidie uelewa kidogo. Kwani quran imetaja jina Yesu au Jesus ambaye alikuwa anasema yeye mwenyewe atakufa na siku ya tatu atafufuka kwenye Kurasa zake zozote?. Kama yule wa quran hajasema hivi basi nadhani Yesu wanaye muamini wa kristo atakua ni tofauti na Issa aliye kwenye quran na hivyo hakutakiwi kuwe na ugomvi wowote kati ya wakristo na waislamu!. Kila mmoja aheshimu imani ya mwenzake. Mbona wahindi wanaabudu N'gombe lakini hamuwakemei kwenye mihadhara!.Tuwe wavumilivu kwa imani ya kila mtu humu duniani.
ha! ha! ha!
...hebu nionyeshe kiswahili "sanifu" yanaitwaje?
Kama kama kweli Helkopta imetumika kumsafirisha, huko ni kumpamba, kumpandisha chati na ni kuchezea kodi zetu.
hakuna mwislam anaweza kueshimu dini nyingine mbali na uislam maana kufanya hivyo ni kukubaliana na mtu anaesema tatu mara mbili ni saba badala ya sita eti kwa sababu yeye amesema, ukristo sio dini wala yesu hakuwa mkristo huo ndio msimamo wa waislam
hili la pili eti kasema YESU SIO MUNGU. MAHAKAMA SI ISHASEMA KWAMBA KWA WAISLAM KUSEMA YESU SIO MUNGU SI KOSA KABISA KWA MUJIBU WA QURAN.
licha ya hivyo asilimia 70 yao hawajui huo uislam wanaoupiganiakweli kabisa mimi hawa watu huwa siwaelewi.. Yani wao ni na ukristo tu. Hawaangaiki na wapagani, wahindu, budha n.k