Sheikh Ponda apandishwa kizimbani Morogoro

Sheikh Ponda apandishwa kizimbani Morogoro

Usipotoshe sana..makosa aliyoshitakiwa
1)Kutoa maneno ya uchochezi
2)Kuidhalau Dini nyingine
3)kufanya mikutano ya dini ambayo imepigwa marufuku
4)kwenda kinyume na masharti ya kifungo cha nje.ambacho alikuwa anaendelea kutumikia
.....Kesi imehairishwa mpaka 28/08/2013

Halafu mtu kama huyu ndiye Lipumba anaiamrisha Serikali imwachie mara moja bila masharti. Sijui ajenda na malengo hasa ya CUF kama "chama cha siasa" ni yapi.
 
Ni mbaya sana kuingiza chuki zenu kwa polisi na kuhalalisha uvunjifu wa amani unaofanywa na Shekhe Ponda. Ni veme tukatofautisha kuwa ishu ya kupigwa risasa ni nyingine, na ishu ya uchochezi ni nyngine. Kuna familia nyingi sana zimepata madhara kutokana na mahubiri ya chuki ya Shekhe Ponda. Hii tabia ya kusema pesa za walipa kodi zinachezewa wakati mnajua wazi huyu mtu analeta athari gani kwa jamii si sahihi. Tuache Shekhe Ponda avune alichopanda, na kama polisi wamehusika na kumpiga risasi nao wahukumiwe kwa lao. Lakini suala la kumsafisha Shekhe Ponda kwa huruma ya kupigwa risasi si sahihi. Kama ni ishu ya matumizi ya kodi, ni vema basi ukawa muwazi kuwa inakuuma matumizi ya kodi inayolipwa na waislamu wanaomuunga mkono Ponda maana hao ndio hawajui umuhimu wa kuheshimu imani za watu wengine.

uchochezi mimi sijui. Embu lete data mkuu kachochea nini. Kwenye mkutano wa morogoro nilikuwepo hapakuwa na uchochezi
 
Ni mbaya sana kuingiza chuki zenu kwa polisi na kuhalalisha uvunjifu wa amani unaofanywa na Shekhe Ponda. Ni veme tukatofautisha kuwa ishu ya kupigwa risasa ni nyingine, na ishu ya uchochezi ni nyngine. Kuna familia nyingi sana zimepata madhara kutokana na mahubiri ya chuki ya Shekhe Ponda. Hii tabia ya kusema pesa za walipa kodi zinachezewa wakati mnajua wazi huyu mtu analeta athari gani kwa jamii si sahihi. Tuache Shekhe Ponda avune alichopanda, na kama polisi wamehusika na kumpiga risasi nao wahukumiwe kwa lao. Lakini suala la kumsafisha Shekhe Ponda kwa huruma ya kupigwa risasi si sahihi. Kama ni ishu ya matumizi ya kodi, ni vema basi ukawa muwazi kuwa inakuuma matumizi ya kodi inayolipwa na waislamu wanaomuunga mkono Ponda maana hao ndio hawajui umuhimu wa kuheshimu imani za watu wengine.

akiliyako mbovu tiba: unatakiwa umeze antvirus usafishe ubongo
 
Ponda ni Kama Lema anavyotetea Arusha anaonekana anavunja Amani mbona watu hawachukii kwa Lema wanamchukia ponda na Vipi Lema asipigwe risasi?
 
Kinachoniacha hoi ni hawa wafuasi wa Shehk Issa Ponda! Eti wanadai hawataipigia CCM kura mpaka kiongozi wao aachiwe huru! Nasema huu ni upumbafu kwa hawa wafuasi wa Ponda yaani kumbe eti huwa wanapiga kura kwa maslahi ya mtu na sio kwa maslahi ya chama kitakachowaongoza na kuwaletea maendeleo?

Mungu tusaidie kwa wananchi wa nchii wapewe elimu ya kujua nini maana ya kuchagua chama na sio kuchagua watu!:A S-frusty:
wewe ni kenge tangu lini kwenye karatasi ya kupigia kura ukakuta jina la chama? karatasi zote za kura sina picha za watu unashangaa nini?
 
Maboso umeandika kwa urefu saaana na nadhani akiliyako iko very korapted
asiye jua maana usimwambie maana, hakuna haja ya kukuelimisha kwanza unanuka mdomo
 
Last edited by a moderator:
Huyu mzee atakuja kufia mahakamani, umri umekwenda lkn yeye bado anakaidi tu, polisi wangempumzisha kwa amani siku ileeee
 
hakuna mwislam anaweza kueshimu dini nyingine mbali na uislam maana kufanya hivyo ni kukubaliana na mtu anaesema tatu mara mbili ni saba badala ya sita eti kwa sababu yeye amesema, ukristo sio dini wala yesu hakuwa mkristo huo ndio msimamo wa waislam

Unamdharauje YESU wakati hata mtume wako anamsubiri ili aje kujua hatma yake!

Hujui duniani hakuna kaburi la YESU ila la mtume lipo kule Saudia.

Heshimu dini za watu..hakuna hata binadamu mmoja awe mkristo mwislamu wala mpagani mwenye tiketi ya kwenda mbinguni kwa sababu ya dini yake tu!

Matendo ndg ndiyo njia pekee ya kukufikisha peponi..
 
kama kweli sheikh ponda anapigania haki bac MUNGU hawezi kumtenga.
 
serikali imemdekeza sasa anaisota kidola cha jichooo ! huyu siku nyingi alipaswa kuwa jelaa ananyea debe
 
ndio akili yako iyo, mm c nakujua!
sio akili yangu hiyo ndio akili ya waislam wote ukiona mtu mwenye mawazo tofauti hao ni waislam poa ambao wanaweza kula ngurue kidogo,pombe kidogo, uongo kidogo,uasherati kidogo,kusali kidogo, kila kitu kidogokidogo
 
wewe ni kenge tangu lini kwenye karatasi ya kupigia kura ukakuta jina la chama? karatasi zote za kura sina picha za watu unashangaa nini?
Kwahiyo hao wafuasi wa Ponda walikua wanamaanisha hawatapigia CCM kura kwakua hizo karatasi huwa zina picha za Issa Ponda?
 
sio akili yangu hiyo ndio akili ya waislam wote ukiona mtu mwenye mawazo tofauti hao ni waislam poa ambao wanaweza kula ngurue kidogo,pombe kidogo, uongo kidogo,uasherati kidogo,kusali kidogo, kila kitu kidogokidogo
Kwakifupi ni kila kitu ni SUNNA!
 
Usipotoshe sana..makosa aliyoshitakiwa
1)Kutoa maneno ya uchochezi
2)Kuidhalau Dini nyingine
3)kufanya mikutano ya dini ambayo imepigwa marufuku
4)kwenda kinyume na masharti ya kifungo cha nje.ambacho alikuwa anaendelea kutumikia
.....Kesi imehairishwa mpaka 28/08/2013

hakuna kesi hapo, uchochezi upi? alafu mkumbuke waislam kusema yesu sio mungu ni haki yao ni kwa mujibu wa qur-an.
 
Ponda ni Kama Lema anavyotetea Arusha anaonekana anavunja Amani mbona watu hawachukii kwa Lema wanamchukia ponda na Vipi Lema asipigwe risasi?

Ponda udini umemjaa kila idara utamfananisha na Lema kweli? Hebu acha masikhara.
 
Kwahiyo hao wafuasi wa Ponda walikua wanamaanisha hawatapigia CCM kura kwakua hizo karatasi huwa zina picha za Issa Ponda?
wewe unaposikia mchezaji kajenga kibanda kwa ukenge wako utategemea kibanda kimejengwa uwanjani, ukisikia imekula kwako unategemea kuliwa sehemu ya mwili wako,ukisikia mchezaji amevishwa kanzu unatengemea kuona kanzu inaletwa uwanjani. huo ndio ukenge
 
DSC03292.JPG

Sheikh Issa Ponda Akiwa mahakamani mkoani Morogoro asubuhi ya leo
Sheikh Ponda Amesomewa Mashtaka Matatu katika Mahakama ya mkoa wa Morogoro Likiwemo la uchochezi alilolitoa Kwenye Mkutano wa Hadhara Tarehe 10 mwezi huu Ambapo Inadaiwa alisema kwamba ''Ndugu waislamu Msikubali uundwaji wa kamati za ulinzi na usalama za Misikiti kwani kamati hizo zimeundwa na Bakwata ambao ni vibaraka wa Serikali ''katika viwanja vya shule ya kiwanja cha ndege Mkoani Morogoro.Baada ya kusomewa Mashitaka hayo Mahakama imesema Upelelezi Umekamilikaa Dhamana Imefungwa na Amerudishwa Rumande Mpaka tarehe 28 mwezi huu ambapo kesi hiyo itaanza kusikilizwa katika Mahakama ya Mkoa wa Morogoro.

DSC03303.JPG

Sheikh Ponda akiondoka Mahakamani Mpaka Aug 28 2013

DSC03308.JPG

Ulinzi wa POLISI
 
Back
Top Bottom