schlumberger
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 890
- 350
Kulingana na Qur'an Yesu sio Mungu, bali ni mtume wa Mungu. Lakini kukingana na Biblia Yesu ni Mungu na mtume Mohammad SAW si chochote kwani hata kwenye Biblia hajatajwa popote. Watanzania tuvumiliane. Hizi dini zilikuja na mababuzetu waliishi bila hizi dini hapo kabla. Je,sisi tuliopo hapa sasa tunabahati nzuri/mbaya kzijua hizi imani? Kulingana na ufahamu wangu madogo wa mambo ya imani ;UISLAM NA UKRISTO kuna ukaribu fulani ukilinganisha na UYAHUDI,AU HINDUISM,BUDDHISM ....Kuna Imani hata huyo Mungu hazimtambui. Nafurahia serikali yetu tukufu haina dini na watoto wa watoto wangu waje waishi kwa amani na kufurahia huu uhuru wa kuabudu.
Ufunuo wa yohana: 19: 1 - 20.
Injili ya Yohana: 1: 1 - 10.