Idimi
JF-Expert Member
- Mar 18, 2007
- 15,021
- 10,532
Yaani CCM wametoka kwenye ujinga wameelekea kwenye upumbavu. Badala ya kujibu hoja zilizoibuliwa kwenye udhaifu wa mkataba, wanamtuma Mwijaku kukashifu Maaskofu. Mashehe nap wamedandia treni kwa mbele, hawajibu hoja, wanabwabwaja!Huo ndiyo Waraka wa Mashehe😃😃.
So Ushauri wa Maaskafu kwa serikali unajibiwa na Mashehe na akina Mwijaku na Kitengwe? This is so interesting😃