zomba
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 17,240
- 3,938
ndio mnatishia vijana huko madrassa!!!!!!
Hebu kojolea wewe kitabu chochote halafu niambie kama huko si kuwa mjusi ni nini? hata mbwa hafanyi hivyo.
ndio mnatishia vijana huko madrassa!!!!!!
Kuchoma makanisa ni safi? Kwi! Kwi! Kwi! Ha! Ha! Ha!Hebu kojolea wewe kitabu chochote halafu niambie kama huko si kuwa mjusi ni nini? hata mbwa hafanyi hivyo.
Kuchoma makanisa ni safi? Kwi! Kwi! Kwi! Ha! Ha! Ha!
unaumwa wewe sio bure, tena unaumwa kichwani na ugonjwa wako ni wa ubongo. Chadema inahusiana nini na kunyongana kama sio unatapatapa. Umekosa jina la kiarabu (bwana zenu) mpaka ujiite dominick?
Adhabu za kunyongana, kukata kichwa, kucharaza bakora, kudunda mwanamke mawe mpaka afe kisa amezini ilhal aliyezini naye yupo huru na ndio kwanza anapanga kuzini na mke wa muongoza zoezi la upigaji mawe ni za waarabu. Upo hapo bazazi wewe?
why islam is satanic - youtube
check hiyo zomba
2. Waislam gani wanaofadhili zaidi ya kutumiwa?
4. Ni lini na wapi Farid aliwakusanya Wazanzibari na kuwauliza kama wanataka kuwakilishwa naye?
5. zomba, utumwa ni zao la mawazo ya mwanadamu. Utumwa huanzia ktk ubongo kama ulivyo umilionea. Zanzibar asili yake si Waarabu, waarabu walikuja kufanya biashara ya utumwa pamoja na kuwafundisha Wazaznzibar umwinyi na ushoga.
Hapo kwenye RED ndio disaster. Haya mambo ya kijinga ndio mnawafundisha watoto wenu halafu mnamlaumu Ndalichako. Lini Zanzibar iliitawala Oman? This is very strange and stupid! zomba, Oman Sultanate ilihamishia makao makuu yake Zanzibar na si kwamba ni Wazanzibar waliwatawala Waoman.
Wazanzibari wengi wamekuwa watumwa wa mwili na roho kwa waarabu kwa sababu za namna yako ya kufikiri, mfano mzuri ni Barubaru na wewe. Mpaka leo bado unamsujudia mwarabu aliyekuona kama nyani na kukuuza ukafanyishwe kazi mashambani huko Carribean na America!
Kweli Zanzibar ilipata UHURU lakini wananchi wake bado ni watumwa wa kimawazo wa waarabu.
Eti Zanzibar ilishakuwa mtawala wa Oman, shame on your madrassa maalim
NI UHURU WA MAWAZO NA KUJIELEZA lakini kuna vitu LAZIMA VITIE SHAKA.
Si vibaya kuwa wazalendo kiasi cha kuona dalili ya hatari na kuwataarifu wenzako. Kuna mtu anajiita TAKASHI hapa JAMIIFORUMS nimemfatilia katika mada zinazohusu Muungano, Uamsho na mambo ya Sheikh Fareed amenishtua sana na comment zake. Laiti tungejua tutampataje, angesaidia sana polisi huyu. Si wa kumpuuza.
Kuna watu wengine pia humu wanapost katika jamii forums lakini mimi naona kama si watu wema sana. Wafuatiliwe watu wa aina hii, wanaweza kulipeleka Taifa kubaya.
Nawakilisha.
Kichaa wewe na wenzio mnao abudu masanamu... Pengo ni GAIDI NO,1 TZ
NI UHURU WA MAWAZO NA KUJIELEZA lakini kuna vitu LAZIMA VITIE SHAKA.
Si vibaya kuwa wazalendo kiasi cha kuona dalili ya hatari na kuwataarifu wenzako. Kuna mtu anajiita TAKASHI hapa JAMIIFORUMS nimemfatilia katika mada zinazohusu Muungano, Uamsho na mambo ya Sheikh Fareed amenishtua sana na comment zake. Laiti tungejua tutampataje, angesaidia sana polisi huyu. Si wa kumpuuza.
Kuna watu wengine pia humu wanapost katika jamii forums lakini mimi naona kama si watu wema sana. Wafuatiliwe watu wa aina hii, wanaweza kulipeleka Taifa kubaya.
Nawakilisha.
Wakuu taarifa ambazo nimepata katika pita pita zangu nimeambiwa kiongozi wa kikundi cha Uamsho Sheikh Farid amewahi kutumikia Jeshi la Qatar. Mwenye taarifa zaidi atujuze ni lini aliacha utumishi Jeshini na anafadhiliwa na nani.
************
Oktoba 24, 2012
wivu wako nini wewe na Faridi si Mtanganyika? ikiwa kufanya kazi Qatar ndio Zambi, Basi wako wengi tu Wazanzibar wanafanya kazi Gulf Tena Jeshini na Serekali ya Mapinduzu ya Zanzibar inajuwa hilo na lipo kabla ya Muungano na Tanganyika.
Jee kuwa na jamma Gulf vipi? maana Wazanzibar takribani nusu wana jamaa huko sasa tuseme vipi? hebu wacha wazimu kama munasema Watanganyika na Wazanzibar nindugu basi na gulf na Wazanzibar wana damu vile vile kwa vile walikuja na kuoa na kuzaa.
Hebu rudi usome historia ya visiwa vya zanzibar na watu wake, basi mwambie rais wako kikwete awazuwie basi, kama imekuwa wivu?.
Hilo halimuondolei dhambi mwarabu. Mimi sikusema kuwa mzungu hakukosea, nilikuwa nazungumzia kukumbatiwa kwa mtu aliyetufanyia mabaya kiasi mnataka mumkabidhi tena nchi.Nilitaka nikuulize je nani mbaya aliyekuletea watumwa au aliyewatumia watumwa hao kuwafanyasha kazi kwa kutowapa ujira halali?
Kama hivi ndivyo, basi Wazaznibari wanataka muungano maana ni wao ndio waliichagua serikali hii inayoukubali muungano. Sasa huyu Gaidi Fareed yeye anamwakilisha nani?Kumbuka unapoizungumzia Znz kumbuka ni nchi ambayo wawakilishi wake wote na wabunge wake wote waliochaguliwa na wananchi wote ni waislam. Na nchi enye zaidi 99.3% iimani moja.
Mwenye akili wewe unayeokota jiwe na kuchambia bila kujiuliza ikiwa jana kuna mwenzako alilikojolea hilo jiwe au alilitumia kufuta mkojo. Na akili yako inathibitika pia pale unapoweza kuilala maiti ya mkeo kwa kuwa haijapoa. (hii mada mpya, karibu)Kwa bahati mbaya sana umemezwa na Uzungu uzungu kiasi cha kuona maji ni haramu kwako kuondolea kinyesi chako unapojisaidia na kutumia karatasi laini kukokona na kutembea na uchafu na harufu ya kinyesi.
Kama ukweli ndio unaoutaka basi ndio namshukuru Mzungu kunifumbua macho. Hapo awali akizaliwa mtoto mlemavu au mapacha miongoni mwetu, alitupwa au kufukiwa ardhini akiwa hai tukiamini kuwa ni mkosi, kwa nini tusimshukuru aliyetufumbua macho kuwa huo tuliokuwa tunafanya ni ujinga?Uzungu huo ukinakuelekeza na kuona kila kilicho cha mzungu ni bora kwako na kusahau utamaduni wako.
True braza, Waislamu wana uweledi mkubwa. Ndio maana leo busara za Sheikh Ponda zilimuongoza kwenda kuvunja ukuta wa kiwanja cha watu kwa mwavuli wa dini ya haki. Angekuwa analiwakilisha kanisa, basi amini nakuambia angeelekea MAHAKAMANI na mshitakiwa asingekuwa aliyenunua, bali tuliyemkabidhi halafu yeye akauza. Mmesoma sana ndio. Hata zomba kasoma sana kiasi anafahamu kuwa Zanzibar iliitawala OmanNa tanganyika wana nafasi kubwa sana kupigana vita va UDINI sababu wazungu walishawamaliza kiakili na kuona waislam hawajasoma na hawana uwezo wa kuongoza.
Pole sana
Asante, naamini pole hii ni kwa majonzi niliyonayo kwa Katibu wa BAKWATA mkoa wa Arusha aliyepigwa bomu na waumini wenzake wa dini ya amani ya mnyaazi mungu kufuatia ugomvi wa kugombea uongozi wa msitiki.
Wabilah tawfiq
mbakie huko huko kwenu Gulf kwa babu zenu muiache znz yetu na muungano wetu,you slave caravan's bastards.mss!
Unajuwa kwa Tanzania mtu akisimamia ukweli siku zote lazima apate matatizo. Na hasa ukiwa makini katika kuonyesha msimamo wako pasi na kuvunja Sharia basi lazima utafutiwe ajali . Mfano
1. Jenerali Ulimwengu aliitwa sio Mtanzania
2. Mama Kastico ambayo aliwa powerfull sana CCM Znz nae aliitwa sio raia.
na wengine wengi.
Sasa si ajabu hata Sheikh Ponda kuitwa Mrundi. Au shaikh Faria kuitwa Myeman.
sasa Jussa naye akae vizuri. kwani anatafutiwa na nchi yake.
Poleni sana. Kwani mnajenga taifa la waoga na vilaza.
Profesa Shivji ni muhindi wa Kashmir mbona mumekaa kimya acheni chuki .
Mytake: QURAN TUKUFU INASEMA HAWATA WAPENDA WAYAHUDI WALA WAKIRISTO MPAKA MFATE MILA YAO NA NDIO YANAYO TOKEA HAPA TZ.
shekhe subiri ijumaa mtaandamana na wenzako alafu kama una hasira kaa mstari wa mbele ili utangulie peponi ila sio kuita wenzio mbuzi muislamu gani wewe?hizi ni akili za kitanganyika chuki na ubinafsi kwani faridi akifanya kazi oman au qatar ndio nini au yeye ni mweupe tu ndio ulete bla bla za ubaguzi kuna watu weusi wazanzibar wako qatar na polisi wengine ni majeshi wengine pilot na wengine ni wahasibu wa mabenki nini nyinyi watanganyika mukifika oman dubei nyote munasema ni wazanzibar mupate ajira mbuzi nyiee chuki roho mbaya na ubaya nenda dubei kuna madactari tele wazanzibar shata maofisa wa uhamiaji nenda sharja na ajman nenda kuweit mbuzi nyie tumechoka na muungano wenu kheri tungeungana na ngombe kuliko tanganyika munashindwa hata kufikiria muungano wa usawa ili kuwe na maendeleoo watanganyika wanaume wanauza ugoroo tuu kwenye khalij na wazzanzibar ndio mabasha
Kwa taarifa yako hatutaki hata kuwasikia na sio kuungana tu, viumbe dhaifu nyinyi mkipewa vitz moja mnajitoa mhanga ukoo mzima.hizi ni akili za kitanganyika chuki na ubinafsi kwani faridi akifanya kazi oman au qatar ndio nini au yeye ni mweupe tu ndio ulete bla bla za ubaguzi kuna watu weusi wazanzibar wako qatar na polisi wengine ni majeshi wengine pilot na wengine ni wahasibu wa mabenki nini nyinyi watanganyika mukifika oman dubei nyote munasema ni wazanzibar mupate ajira mbuzi nyiee chuki roho mbaya na ubaya nenda dubei kuna madactari tele wazanzibar shata maofisa wa uhamiaji nenda sharja na ajman nenda kuweit mbuzi nyie tumechoka na muungano wenu kheri tungeungana na ngombe kuliko tanganyika munashindwa hata kufikiria muungano wa usawa ili kuwe na maendeleoo watanganyika wanaume wanauza ugoroo tuu kwenye khalij na wazzanzibar ndio mabasha