Sheikh Farid amewahi kutumikia Jeshi la Qatar

Sheikh Farid amewahi kutumikia Jeshi la Qatar

Sinema hii wala haileti machafuko kwa kuwa tunajua hiyo ni michezo ya watoto wakipata akiliwataacha. Ila nyinyi mlivyotengenezewa filamu ya Marehemu Mohammad mkaanza fujo kama kawaida yenu kwa maana mlijua marehemu hawezi kujitetea mwenyewe lazima mumtetee.

SABATO (SDA) bila kusema ukatoloki imani yake haijakamilika
 
Mkuu imetosha sasa ameonyeka nafikiri!!
Mkuu,muache aje apime kama kweli ni shababi! Uislamu hawausomi wamebakia kuchonga mitaani huku wamevaa vijuba, ndevu kama vibebe tasbihi na makwabazi, ukimuuliza utasikia uislamu naadhifu bana hizi ni sunna za hatma nabyina! Kazi kweli kweli!
 
ahahahahaa wewe ungejua kiswahili si ungefuga nguruwe kwa afya yako? Badala unafuga ndevu! ona swahiba yako faridi, walivyozisembua! Ingekuwa mbuzi katoliki si angefaidi bro? Sasa midevu utatia chumvi nyanya kitungu hoho ndimu na pilipili ukaange ule? Umebaki imeshuka imeshuka! Daah.

"I gave my back to those who strike, and my cheeks to those who pull out the beard; I hid not my face from disgrace and spitting." (Isa 50:6)

Wanaume wa kazi hufuga ndevu si unaona hata yesu wa CINEMA alikuwa na ndevu...
lakini nyinyi mkimuona muislamu na ndevu inawauma sana.....mnaleta stori za nguruwe ambazo wala hazihusiani

"You shall not round the corners of your heads, neither shall you mar the corners of your beard"
(Lev.19:27 ) (King James Version)

View attachment 69382

4: And Hanun took David's servants and shaved off half of their beards, and cut off their long robes in the center, to their buttocks; and he sent them away.
5: And they told David, and he sent to meet them; for the men were greatly ashamed. And the king said, Remain in Jericho until your beard grows; then you shall return. (2 Samuel 10:4-5)
 
Wakitoka HUKO rumande wapelekwe uwanja wa ndege waishie kwao.
 
Uarabu hauna rangi, Waarabu wengi ni weusi na wengi wanapatikana Afrika kuliko kontinenti jingine lolote lile. Utumwa haukufanywa na Taifa fulani ulifanywa na kila mtu, si mzungu si mchina si mwaafrika si mtumbatu mndengereko si mnyamwezi. Mnadanganywa mnadanganyika, ndiyo maana mpaka juzi nimeona kwenye TV wazungu wameleta tochi wanagawa mnawafurahia nikakumbuka historia niliyoisoma walipoleta vioo na shanga wao wakawa wanachota almasi na marijani. Si hasha watu hao wanaopewa tochi leo wakazichekelea wewe ni mmoja wapo.

huo upuuzi wako kaweeleze wenzako wasio na uwezo wa kuchambua na hekima ya kutofautisha! hao waarabu weusi ni vizalia vya watumwa na kama ni msomaji na msikilizaji wa habari za kimataifa kuna kilio cha wao kubaguliwa na hao waarabu weupe. wewe ni mmoja wa wanopewa tende na misuli kisha unatekeleza kila unachoambiwa na hao mabwana toka ndani hilo boksi la fikra.
 
hizi ni akili za kitanganyika chuki na ubinafsi kwani faridi akifanya kazi oman au qatar ndio nini au yeye ni mweupe tu ndio ulete bla bla za ubaguzi kuna watu weusi wazanzibar wako qatar na polisi wengine ni majeshi wengine pilot na wengine ni wahasibu wa mabenki nini nyinyi watanganyika mukifika oman dubei nyote munasema ni wazanzibar mupate ajira mbuzi nyiee chuki roho mbaya na ubaya nenda dubei kuna madactari tele wazanzibar shata maofisa wa uhamiaji nenda sharja na ajman nenda kuweit mbuzi nyie tumechoka na muungano wenu kheri tungeungana na ngombe kuliko tanganyika munashindwa hata kufikiria muungano wa usawa ili kuwe na maendeleoo watanganyika wanaume wanauza ugoroo tuu kwenye khalij na wazzanzibar ndio mabasha

Mbuzi mwenyewe bana, eboh!
Kumbe ndo maana Zenj ******* wengi sana eeh, kumbe ndo mchezo wenu eeh, halafu mnajifanya kumpiga vita Cameroon.

Jifunze kutoa hoja bila matusi kaka matusi ni dalili ya kuishiwa na hoja, na ndo maana mnakimbilia kuharibu mali za watu kwa wivu wenu na uvivu wa kufikiri?
 
mkiongea habari ya Farid chungeni ndimi zenu msingze mambo ya Faridi katka kukashfu Uislam semen yanayowahusu haya ya Uislam yacheni mwislam wa kweli anafika daraja la uchamungu na farid hana ilo daraja mchamungu anangalia Ahera yake kuliko dunia yan dunian ndo inamkimbilia yeye...na yeye anakuwa anaikimbia dunia kwa maana anataka apate radhi za mola wake............so huyo Faridi hana katka sifa hizo acheni kukashfu Uislam ndefu ni sunna ya mtume mbona mitume mingi wamefuga ndevu hata yesu kafuga itakuwa faridi habar za ndevu haziwahusu ukitaka na ww fuga nyama wewe punguan kabisa unakaa unajadili ndevu za mwanaume mwenzako huo ni ujinga chambua hoja za msingi
 
Wakuu taarifa ambazo nimepata katika pita pita zangu nimeambiwa kiongozi wa kikundi cha Uamsho Sheikh Farid amewahi kutumikia Jeshi la Qatar. Mwenye taarifa zaidi atujuze ni lini aliacha utumishi Jeshini na anafadhiliwa na nani.

************
Oktoba 24, 2012
Qur'an imetupa habari zenu kama hivi
وَإِذَا رَأَيْتَهُمْ تُعْجِبُكَ أَجْسَامُهُمْ وَإِن يَقُولُوا تَسْمَعْ لِقَوْلِهِمْ كَأَنَّهُمْ خُشُبٌ مُّسَنَّدَةٌ يَحْسَبُونَ كُلَّ صَيْحَةٍ عَلَيْهِمْ هُمُ الْعَدُوُّ فَاحْذَرْهُمْ قَاتَلَهُمُ اللَّهُ أَنَّى يُؤْفَكُونَ
Na unapo waona, miili yao inakupendeza, na wakisema,unasikiliza usemi wao. Lakini wao ni kama magogo yaliyo egemezwa. Wao hudhania kila ukelele unao pigwa ni kwa ajili yao. Hao ni maadui; tahadhari nao.. (Qur 63:4)
Tukiwaona huwa tunawachukulia ni kama watanzania wenzetu lakini kumbe......
Kutokana na uovu wenu uliokithiri dhidi yetu waislamu basi kila tunachokifanya hata kama ni cha kikatiba na nyinyi mnafanya hivyo hivyo lakini kile tunachokifanya sisi mnakiogopa sana na mna hofu kuwa tunakusudia kujititetea dhidi ya dhulma zenu na hofu kuwa tutalipiza kisasi hata ikiwa tuna madhumuni ya kukomesha tu dhulma ili tuishi kwa amani.
JKT na JKU zimeanzishwa kwa ajili yetu sote lakini tukiingia sisi ishakuwa ni mafunzo ya kigaidi.Sheikh Farid sijui kama kweli upo ushahidi wa kuhudhuria hayo mafunzo.Kama upo basi ni wasi wasi wenu tu kwani Qatar ni kama koloni la Marekani na hutoa wapiganaji wa kuziangusha tawala za waislamu katika nchi za kiarabu..
Qatar ndiyo iliyokuwa ngome ya kuongozea vita vilivyoiangusha serikali ya kiislamu ya Afghanistan na baadae Iraq.Huko huko ndiko kiliko kituo kikubwa cha propaganda kwa nchi za waislamu na kiarabu hiki ni kituo cha Aljazeera.Sasa ikiwa sheikh Farid kahudhuria mafunzo ya jeshi huko mbona mnataka kututia shaka na sheikh wetu kutokana na vita vyenu dhidi ya uislamu.

Qur'an imetupa habari zenu kama hivi
وَإِذَا رَأَيْتَهُمْ تُعْجِبُكَ أَجْسَامُهُمْ وَإِن يَقُولُوا تَسْمَعْ لِقَوْلِهِمْ كَأَنَّهُمْ خُشُبٌ مُّسَنَّدَةٌ يَحْسَبُونَ كُلَّ صَيْحَةٍ عَلَيْهِمْ هُمُ الْعَدُوُّ فَاحْذَرْهُمْ قَاتَلَهُمُ اللَّهُ أَنَّى يُؤْفَكُونَ
Na unapo waona, miili yao inakupendeza, na wakisema,unasikiliza usemi wao. Lakini wao ni kama magogo yaliyo egemezwa. Wao hudhania kila ukelele unao pigwa ni kwa ajili yao. Hao ni maadui; tahadhari nao.. (Qur 63:4)
Tukiwaona huwa tunawachukulia ni kama watanzania wenzetu lakini kumbe......
Kutokana na uovu wenu uliokithiri dhidi yetu waislamu basi kila tunachokifanya hata kama ni cha kikatiba na nyinyi mnafanya hivyo hivyo lakini kile tunachokifanya sisi mnakiogopa sana na mna hofu kuwa tunakusudia kujititetea dhidi ya dhulma zenu na hofu kuwa tutalipiza kisasi hata ikiwa tuna madhumuni ya kukomesha tu dhulma ili tuishi kwa amani.
JKT na JKU zimeanzishwa kwa ajili yetu sote lakini tukiingia sisi ishakuwa ni mafunzo ya kigaidi.Sheikh Farid sijui kama kweli upo ushahidi wa kuhudhuria hayo mafunzo.Kama upo basi ni wasi wasi wenu tu kwani Qatar ni kama koloni la Marekani na hutoa wapiganaji wa kuziangusha tawala za waislamu katika nchi za kiarabu..
Qatar ndiyo iliyokuwa ngome ya kuongozea vita vilivyoiangusha serikali ya kiislamu ya Afghanistan na baadae Iraq.Huko huko ndiko kiliko kituo kikubwa cha propaganda kwa nchi za waislamu na kiarabu hiki ni kituo cha Aljazeera.Sasa ikiwa sheikh Farid kahudhuria mafunzo ya jeshi huko mbona mnataka kututia shaka na sheikh wetu kutokana na vita vyenu dhidi ya uislamu

hatupingi uislam tunauheshimu kama tunavyouheshimu ukristo sema nyinyi wapemba ndio mnatumia dini kupigania vita vyenu,vita ni vya kisiasa lakini nyinyi mnaiweka mbele dini ili iwe kama ngao yenu tuonekane tunaipinga dini ni sawa tuna waasi wa libya au syria wanapowatumia watoto na wanawae kama ngao(human shields) ni wazi utampiga risasi tu mana ukimwacha atakupiga wewe na ukimpiga unaipiga ngao yake ambayo ni mtu na ndio nyinyi mnavyofanya.kama kujitenga jitengeni murudi kwenu sasa vita dhidi ya dini vimeanzia wapi???
 
wivu wako nini wewe na Faridi si Mtanganyika? ikiwa kufanya kazi Qatar ndio Zambi, Basi wako wengi tu Wazanzibar wanafanya kazi Gulf Tena Jeshini na Serekali ya Mapinduzu ya Zanzibar inajuwa hilo na lipo kabla ya Muungano na Tanganyika.

Jee kuwa na jamma Gulf vipi? maana Wazanzibar takribani nusu wana jamaa huko sasa tuseme vipi? hebu wacha wazimu kama munasema Watanganyika na Wazanzibar nindugu basi na gulf na Wazanzibar wana damu vile vile kwa vile walikuja na kuoa na kuzaa.

Hebu rudi usome historia ya visiwa vya zanzibar na watu wake, basi mwambie rais wako kikwete awazuwie basi, kama imekuwa wivu?.

Kazi kweli kweli
 
hatupingi uislam tunauheshimu kama tunavyouheshimu ukristo sema nyinyi wapemba ndio mnatumia dini kupigania vita vyenu,vita ni vya kisiasa lakini nyinyi mnaiweka mbele dini ili iwe kama ngao yenu tuonekane tunaipinga dini ni sawa tuna waasi wa libya au syria wanapowatumia watoto na wanawae kama ngao(human shields) ni wazi utampiga risasi tu mana ukimwacha atakupiga wewe na ukimpiga unaipiga ngao yake ambayo ni mtu na ndio nyinyi mnavyofanya.kama kujitenga jitengeni murudi kwenu sasa vita dhidi ya dini vimeanzia wapi???
Hata sisi pia hatupingi ukristo lakini inashangaza kwamba nyinyi mnatumia serikali ambayo ni yetu sote kuupiga vita uislamu.Hukuona juzi bendera za uamsho zenye kalimat tawhiid zilipoteremshwa na kukanyagwa.Wale masheikh walipoletwa mahakamani juzi walikuwa wamenyolewa ndevu ambazo kwenu ni alama mbaya ya uislamu.Huoni kuwa ni vita ya wanasiasa kupingana na uislamu.
OIC nchi nyingi zimejiunga kwa manufaa ya kiuchumi lakini kwa vile kuna neno Islamic maaskofu wamejifanya wanasiasa kulazimisha Tanzania isijiunge.
NECTA tulitaraji ni kwa ajili ya maendeleo ya elimu kumbe ni jimbo la kanisa.Hayo ni machache lakini inatosha kuonesha kuwa waislamu wala hawapiganii dini kuliko mnavyofanya nyinyi kupitia siasa.
 
Kama mnasema uamsho ni chama cha dini kimepigwa ni kwa sababu kimeacha kufanya kazi zake za kidini na kimeingilia kazi za watu za kisiasa na kuwavuruga watu walistahili.huyo sheikh wenu kwani wakati yuko qatar jeshini aliuwa na madevu pia?? ombeni asifungwe akipatikana na hatia hadi hizo nywele na mustach wote utatoka huo.
 
Kilaza mzazi wako aliyekulelea jikoni kiasi umekosa values za kiume. Ungekuwa sio muoga ungebaki hapa kupambana, umekimbilia kwa watu kuwa mtumwa halafu unajifanya bingwa wa kuongea.

Kama Muasisi na mpinzani mkubwa wa Ubaguzi Nyerere aliwahi kuniita mimi mwarabu kwenye mkutano wa hadhara pale Nyamagana. sasa uafrika huo nitautoa wapi?

Waarabu tuna Usemi " NI VIZURI WATU KUHISHIMIANA NA SI KUVUMILINA".

Kwani siku zote kuvumiliana kunazaa kuleana na kubebana. Lakin kuhishimiana kunajenga nidhamu ya hali ya juu na kufuata sharia.

Hamtaweza kuendelea kama mtaendeleza Sera za kuvumiliana.

Poleni sana
 
hata ukiwachukua akhdam wa yemen ukiwaleta zenji leo wataitwa waarabu sababu walivyo lakini huko kwao yemen wanakataliwa kuwa waarabu.mwarabu wewe uliyechangayika?nenda qatar jiite mwarabu halafu uone itakuwaje??
waswahili bwana kwa kujikataa!! hivi mbona hatujawahi kumsikia mwarabu aking'ang'ania kuwa yeye ni mswahili mbantu mbona nyie tu wazenji jiulizeni mtakuwa mnakasoro nyie.WATUMWA
 
Hii jamani ni propaganda ya CCM,miaka ya 2000 CUF ilishika atamu ikataka kuchukua znz ccm wakaleta propaganda kuwa cuf ni ya kidini tena ya Kiislam,2010 chadema imeshika kasi wakaleta propaganda kuwa ni cha kichaga na wakatoliki.CCM hizi propaganda walijifunza Urusi za kuwachanganya watu mfalakane wao wapate advantage waongoze milele.Hata ukiangali vurugu za znz na mbagala ni siasa zaidi kwani CUF wametamka kuwa hawataki tena muungano wa CCM na CUF maana wanazidiwa maarifa na magamba.Walivyosema hivyo tu wakaanza kupandikiza chuki mpaka zanzibar ikaanza vurugu na pia mbagala hivyo hivyo mbagala kuna wafuasi wengi wa CUF.Jamani watazania wenzangu kuweni macho Dini zote zinakataza kuuana,kuchukiana na mafuzo yote ni ya upendo na amani.Mungu Ilinde Tanzania.
 
Ingekuwa ni HERI kama dini zote zinaamrisha UPENDO na si kudai haki ya kuua makafiri!
 
hizi ni akili za kitanganyika chuki na ubinafsi kwani faridi akifanya kazi oman au qatar ndio nini au yeye ni mweupe tu ndio ulete bla bla za ubaguzi kuna watu weusi wazanzibar wako qatar na polisi wengine ni majeshi wengine pilot na wengine ni wahasibu wa mabenki nini nyinyi watanganyika mukifika oman dubei nyote munasema ni wazanzibar mupate ajira mbuzi nyiee chuki roho mbaya na ubaya nenda dubei kuna madactari tele wazanzibar shata maofisa wa uhamiaji nenda sharja na ajman nenda kuweit mbuzi nyie tumechoka na muungano wenu kheri tungeungana na ngombe kuliko tanganyika munashindwa hata kufikiria muungano wa usawa ili kuwe na maendeleoo watanganyika wanaume wanauza ugoroo tuu kwenye khalij na wazzanzibar ndio mabasha
si sawa kulinganisha kazi ya uhasibu na uanajeshi. Katika kila nchi kuna sifa za ziada kuwa mwanajeshi - mojawapo ni uraia!
 
Hata sisi pia hatupingi ukristo lakini inashangaza kwamba nyinyi mnatumia serikali ambayo ni yetu sote kuupiga vita uislamu.Hukuona juzi bendera za uamsho zenye kalimat tawhiid zilipoteremshwa na kukanyagwa.Wale masheikh walipoletwa mahakamani juzi walikuwa wamenyolewa ndevu ambazo kwenu ni alama mbaya ya uislamu.Huoni kuwa ni vita ya wanasiasa kupingana na uislamu.
OIC nchi nyingi zimejiunga kwa manufaa ya kiuchumi lakini kwa vile kuna neno Islamic maaskofu wamejifanya wanasiasa kulazimisha Tanzania isijiunge.
NECTA tulitaraji ni kwa ajili ya maendeleo ya elimu kumbe ni jimbo la kanisa.Hayo ni machache lakini inatosha kuonesha kuwa waislamu wala hawapiganii dini kuliko mnavyofanya nyinyi kupitia siasa.

hivi kweli mawazo kama haya ni matunda ya shule za tanzania?kila mtanzania akiwa na mawazo kama haya,hakika shule zitakuwa hazijatukomboa.labda uniambie hata form 4 hujagusa!jamani shule ni muhimu sana!
 
Ni kweli na alifukuzwa Qatar kwa tabia zake za uchochezi yule ni mwanajeshi kamili na gaidi aliyehitimu zenji wanajua hilo ndiyo maana wanamuogopa kwakuwa wameshafanya kosa la kumkaribisha na ni muongo ile mbaya kama ilivyothibitika juzi hakutekwa wala nini alitaka kumtingisha Dr. Shein tu aonekane dhaifu na muoga

UKWELI KUHUSU UTEKWAJI WA SHEIKH FARID - ZIMEPATIKANA KUTOKA KWA MNENE MMOJA SERIKALINI

Ukweli ni kwamba kuna viongozi wa juu kwenye serikali ya Zanzibar ambao kwa kushirikiana na Idara ya Usalama wa Taifa ya Tanzania wanahusika moja kwa moja kwenye machafuko ya Zanzibar kuanzia yale ya kwenye uchaguzi mdogo wa Bububu hadi haya ya sasa. Lengo kubwa ni kuhakikisha kwamba ajenda ya Wazanzibari kudai mamlaka kamili kupitia mchakato wa Katiba Mpya inashindwa kwa kuiua kabisa serikali ya Umoja wa Kitaifa na Maridhiano. Makubaliano ya pamoja kati ya Dodoma, kundi la vibaraka wao kwenye GNU na CCM Zanzibar na Idara ya Usalama wa Taifa, ni kwamba Maridhiano yaliyozaa GNU ndio adui nambari moja wa mfumo wa Muungano uliopo. Sasa ili kuulinda mfumo huu wa Muungano, ni lazima kumuangamiza adui huyo.Na ndicho kinachofanyika sasa.

Tukio la kutekwa kwa Ustaadh Farid lilikuwa la kweli na lilikuwa ni sehemu ya programu hiyo kubwa ambayo inagharimu mamilioni ya fedha za walipa kodi wa Tanzania nzima na si wa Zanzibar peke yake
. Kiasi cha mwezi mzima kabla ya Ustaadh Farid kutekwa, kijana mmoja wa Idara ya Usalama wa Taifa anayefanya kazi Zanzibar, alijenga mahusiano makubwana viongozi wa juu wa Uamsho, hasa Sheikh Farid. Kijana huyu, ambaye hakujificha kwamba ni mtu wa Usalama wa Taifa,alijitokeza kama sehemu ya kundi la watu waliomo kwenye taasisi za dola na ambao wanaunga mkono Ajenda ya Zanzibar. Kwa maslahi ya ajenda hiyo, na kwa maslahi ya Zanzibar, bahati mbaya viongozi wa Uamsho walimuamini. Ni yeye ndiye aliyekuwa mtu wa mwanzo kabisa kumpigia simu Sheikh Msellem saa 2:00 usiku wa siku ya kutekwa kwa Imamu Farid,kumjuulisha kwamba Usalama wa Taifa wamemkamata Sheikh Farid.

Ndani ya siku tatu za sintofahamu hiyo, ni yeye aliyekuwa akiwashinikiza viongozi wa Uamsho na vijana kwamba ni lazima shinikizo kubwa lifanyike kama kweli wanataka kiongozi wao aachiwe akiwa salama. Kwa hakika, siku ya pili yake aliwasiliana na kukutana na Sheikh Msellem, na kumuambia kwamba alikuwa tayari kumpeleka aliko Sheikh Farid. Baada ya kuingia kwenye gari, hakumpeleka kwa Sheikh Farid,bali alimwambia kwamba wazungumze naye kwa simu kwanza, akiwa tayari ameshaipiga simu hiyo, kwa alivyosema.

Kwenye simu, ni kweli Sheikh Msellem alisikia sauti ya Sheikh Farid ikimuambia kwamba ametekwa na wanamtesa, na kwamba kama hawakujikaza basi wanaweza hata kumuua. Alipotaka kuuliza mengi zaidi, Sheikh Msellem hakuweza maana ile simu ilikatwa. Kumbe kilichokuwa kimefanyika, ni kuwa Sheikh Msellem alisikilizishwa sauti ya kurekodi ya Sheikh Farid na hakuwa anazungumza naye moja kwa moja. Ilikuwa ni baadaye sana, viongozi wa Uamsho walipokuja kung'amua hayo.

Ndani ya kipindi hicho cha kupotea kwa Ustaadh Farid, viongozi wa serikali ya Zanzibar wanaohusika na programu yao, waliyatoa makundi ya vijana wao kuchoma maskani za Kisonge, kuharibu mali, kuiba, kupiga,kujeruhi, na hata kuua. Katika purukushani hizo, vijana hao walikuwa wakipigana na kuumizana wenyewe kwa wenyewe. Miongoni mwao ni askari aliyepigwa risasi na kuuawa na wenzake, lakini huyo hatajwi kabisa na vyombo vya habari,badala yake anatajwa askari aliyeuawa Bububu kwa kukatwa mapanga, na ambaye huenda kabisa asiwe na uhusiano na matukio haya.

Miongoni mwa vijana walioumizwa wako waliojeruhiwa vibaya na ambao hadi sasa wamelazwa kwenye hospitali ya jeshi ya Bububu, lakini taarifa zao zimewekwa siri sana. Kilichotokea, ikiwa ni sehemu ya programu hiyo kubwa, ni kwa Idara ya Habari Maelezo ya SMZ kutoa agizo kwa vyombo vyote vya ndani vya habari kutokutangaza kabisa matukio ya sasa, tangu kukamatwa kwa Sheikh Farid. Kwa hakika, hata katika kamatakamata ya polisi, nao pia wamewakamata vijana kadhaa wa makundi hayo lakini huwa wanawaachia kwa amri ya Kamishna Mussa Ali Mussa, Mkuu wa Jeshi la Polisi la Zanzibar, ambaye ni sehemu ya programu hiyo ya kuivunja GNU.

Sheikh Farid aliachiliwa baada ya uingiliaji kati viongozi wawili wajuu GNU, kwa kuanzia na Makamo wa Kwanza wa Rais Seif Sharif ambaye baada ya kufahamishwa undani wa mkasa mzima alimwendea Rais Ali Shein,na kumuambia maneno yafuatayo: "Mhe. Rais ninasikitika sana kwamba sisi wenyewe ndio tunaohusika na haya yanayotokezea hivi sasa. Watu wetu wanajua wapi alipo Sheikh Farid. Wanafanya hivi kukuharibia wewe uonekane kwamba huna uwezo wa kuongoza na kwamba unaiwachia nchi iingie kwenye machafuko. Lakini zaidi wanafanya hivi ili kuivunja GNU,maana watatufanya sisi tujihisi kwamba ni sehemu ya uozo huo nasi hatutakubali. Sasa waambie watu wako ambao wako chini ya ofisi yako (akamtaja kwa jina yule kijana wa Idara ya Usalama wa Taifa) wakuoneshe walipomueka Farid." Usiku wake, saa 2:00 Sheikh Farid akaachiliwa.

Hadi kuachiliwa kwa Sheikh Farid, tayari sehemu ya lengo moja kwenye mkakati wao ilishafanikiwa: nayo ni kutengeneza mazingira ya fujo na kuhalalisha matumizi ya nguvu, ghasia na uvunjwaji wa haki za binaadamu kama yanayoendelea sasa. Pia kwa sababu ya kuficha uovu na asili ya mkasa mzima, wamemkamata Sheikh Farid na viongozi wa Uamsho ambao wanaujua ukweli wote wa mkasahuu, na sasa wamewaweka ndani na kuwafungulia mashitaka kadhaa, ili wasiwe nje wakaweza kuueleza umma kile hasa kilichotokea. Kwa upande mwingine, wanavilisha vyombo vya habari vya Tanzania Bara na vile vya Zanzibar vinavyopinga Maridhiano na Umoja wa Kitaifa,taarifa za uongo kuhusu viongozi hao wa Uamsho na wafuasi wao.

Picha inayojengwa ni kwamba Uamsho ni magaidi na hivyo wapate kuhalalisha kuongeza wanajeshi na matumizi ya nguvu ya vyombo vya dola dhidi ya wanaodai mfumo wa Muungano wa Mkataba. Hivi sasa operesheni ya kijeshi imeimarishwa kisiwani Unguja, hasa kwenye mkoa wa Mjini Magharibi, ambako Tume ya Kukusanya Maoni ya Katiba Mpya inakuja hivi karibuni.

Wananchi wanatishwa na wanatiwa hofu na mazingira yanajengwa ya kuzuia maoni ya wananchi hao mbele yaTume, maana hadi sasa wengi waliokwishatoa maoni yao, wameshasema wazi kuwa wanataka mabadiliko ya msingi kwenye Muungano. Matokeo wanayoyatarajia ni aidha kwa wananchi wanaopigwa na makundi waliyoyatayarisha na vikosi vya SMZ kujibu mapigo na hivyo kuiingiza nchi moja kwa moja kwenye fujo za kudumu, au kwa wajumbe wa CUF kwenye GNU kuja juu na kujitoa kwa kupinga dhuluma hii. Lolote kati ya mawili hayo, mwisho wake ni kuyavunja maridhiano na umoja wa kitaifa na hivyo kuiua na kuizika kabisa Ajenda ya Zanzibar.

Kwa upande wa wananchi, programu hiyo inalenga kuwavunja moyo wao kwa serikali ya GNU, hasa kwa wafuasi wa CUF mbele ya Makamo wa Kwanza Seif Sharif, ambaye wanajengewa picha ya kwamba amewasaliti na haguswi na mateso wanayoyapata. Mwenyewe Maalim Seif analijua na analifuatilia kwa karibu kilalinalotokea na anamshauri Rais Shein kama ulivyo wajibu wake kama makamo wa kwanza wa Rais. Amechukua na anaendelea kuchukua kila jitihada za kumsaidia Rais Shein na kuilinda GNU isianguke, maana ikianguka ndio hatima ya Zanzibar imekwenda pamoja nayo. Katika ghasia zinazoendelea sasa kwenye jimbo la Bububu,amemfahamisha Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais anayehusika na vikosi vya SMZ, Dkt. Mwinyihaji Makame, na amemueleza wazi kwamba kinachofanyika ni uvunjaji wa haki za binaadamu, mateso na udhalilishaji, ambao mwisho wake ni kwa wananchi kuamua kujilinda; na machafuko yakisambaa,hakuna hata mmoja atakayenusurika, si Dkt. Mwinyihaji wala si yeye Maalim Seif.

Laiti Rais Ali Mohammed Shein ana dhamira, nia na uwezo wa kuinusuru ndiye mwenye nafasi ya juu kufanya hivyo. Wapinzani wa Maridhiano na Umoja wa Kitaifa walikuwapo pia wakati wa muasisi wake, Rais Amani Karume, lakini alikuwa na uthubutu wa kuwadhibiti. Rais Shein kwa upande ake anaonekana kuelemewa vibaya na kundi la wapinzani wa Maridhiano na Umoja wa Kitaifa waliomo kwenye serikali yake, chama chake na vyombo vyake vya usalama. Kundi hilo ambalo linatumikia ajenda ya Tanganyika dhidi ya Zanzibar, kama ilivyoonekana wazi, liko tayari hata kukanyaga maiti za Wazanzibari alimradi tu lifikie kwenye lengo lake.
 
na kwa mtindo huu tutawang'ang'ania masaburi na hatutawaacha mpumue kamwe.

kama maelezo yako yanaonesha kuwa ubaguzi, chuki na ubinafsi ni vitu usivyovipenda, sasa kwanini unatumia lugha hiyo kuwakashifu Watanganyiaka kwa matusi na lugha ya ubaguzi? Acha unafiki wewe ndio ****** na sisi masha zenu maana huo uchafu wa kulalwa na wanaume ulianza na umeshamiri mno visiwani zanzibar
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom