Sheikh Farid amewahi kutumikia Jeshi la Qatar

Sheikh Farid amewahi kutumikia Jeshi la Qatar

iddi njema ndugu zangu waislamu... msilianzishe kesho
 
kuna kitu cha kufahamu, hii nchi ya qatar ni katika taifa linalo jikakamua sana ,na vibaraka wakubwa wa mabeberu , wamekua wakitumiwa sana na mebeberu kuchochoa fujo na ghasia katika nchi zenye upinzani na mabeberu , mafano syria,libya, misri,yemen
wao mara nyingi huwa wanatoa fedha kuwalipa magaidi ili kufanya uharamia , lakini yote haya wanafanya kwa amri ya bwana wake marekani.
Ila cha kuchekesha yenyewe hawana jeshi lake wenyewe, imekua ikiajiri vijana kutoka sudan,zanzibar,yemen na kwengineko ambapo vijana hao hupewa mafunzo ya ulinzi kama polisi ama mgambo kulinda uslama wa raia mjini.
Suala la ulinzi wa ufalme wao upo chini ya marekani ambao wana base yao kubwa.
Hivyo vijana wengi waliwahi kwenda kufanya kazi za ulinzi wa mgambo katika kisiwa hichi
na hilo sio vibaya na wengi wa walio rudi wameweza kubadilisha hali ya maisha yao , wengine sasa wamekuwa wafanya biashara wazuri.
Hawo ni bora kuliko wale wabeba maboksi wakirudi hawana kitu labda watoto wao kuvaa suruali matakoni
 
hizi ni akili za kitanganyika chuki na ubinafsi kwani faridi akifanya kazi oman au qatar ndio nini au yeye ni mweupe tu ndio ulete bla bla za ubaguzi kuna watu weusi wazanzibar wako qatar na polisi wengine ni majeshi wengine pilot na wengine ni wahasibu wa mabenki nini nyinyi watanganyika mukifika oman dubei nyote munasema ni wazanzibar mupate ajira mbuzi nyiee chuki roho mbaya na ubaya nenda dubei kuna madactari tele wazanzibar shata maofisa wa uhamiaji nenda sharja na ajman nenda kuweit mbuzi nyie tumechoka na muungano wenu kheri tungeungana na ngombe kuliko tanganyika munashindwa hata kufikiria muungano wa usawa ili kuwe na maendeleoo watanganyika wanaume wanauza ugoroo tuu kwenye khalij na wazzanzibar ndio mabasha
Makubwa yamekuwa hayo! watu sasa wanatumia makalio kutoa udenda wao!!
 
zomba,hawa washeba kwenye hii article yako uliyoitoa zanzinet walikuja east africa kufanya biashara kutoka ktk mji wa Marib huko kusini mwa Arabia.Hawakuanzisha empire yoyote wala hawakukuta empire yoyote hapa east africa(including znz).walikuwa wafanyabiashara tu na ndio hawa waanzilishi wa mwanzo kabisa wa jina la zanzibar.walipaita east africa zinj ikiwa na maana ya blacks kutokana na rangi ya ngozi ya wenyeji waliowakuta.na hao wenyeji walikuwa wakiishi ktk small communities tu kulingana na koo zao na shughuli zao.hapakuwa na zinj empire bali eneo la pwani hii ya east africa iliitwa zinj na wageni waliokuja kufanya biashara.baadae walipokuja waoman ndio wakaanzisha empire na base yao kubwa ikawa visiwani znz ambako walicoordinate slave and trade caravan's route zote tokea huko.wakapaita zinj land au zanzibar ikiwa na maana ya LAND OF BLACKS.Na hii zinj empire yao iliingia hadi miji ya pwani kama dar,tanga,mombasa na sio unguja na pemba pekee.kutokana na haya
(1)hakukuwa na empire kabla ya waoman.kulikuwa na eneo tu linaitwa zinj.
(2)jina la eneo hili yaani zinj au zanzibar linaelezea ni watu gani wa mwanzo kabisa(native)walikutwa na waarabu hapo znz na pwani yote ya east africa.ni watu waliowaita zinj au blacks.
(3)waarabu walikuta waafrica wasio na mipaka hapa east africa na hata hiyo zinj empire iliyoanzishwa na oman iliinclude eneo lwa pwani ya bara.kwa hiyo muungano wetu haujaanza kwa Nyerere bwana.
 
[video=youtube_share;qy8Apz7vZg4]http://youtu.be/qy8Apz7vZg4[/video]

Sinema hii wala haileti machafuko kwa kuwa tunajua hiyo ni michezo ya watoto wakipata akiliwataacha. Ila nyinyi mlivyotengenezewa filamu ya Marehemu Mohammad mkaanza fujo kama kawaida yenu kwa maana mlijua marehemu hawezi kujitetea mwenyewe lazima mumtetee.
 
Mkuu, Na hii ni nyongeza kama yeye ni shababi aweke jukwaa awafundishe waislamu wenzake na familia yake kama ni waislamu! "Kipambanuzi ktk kubainisha sababu za kuoga!" ..... Na kwa kuzamisha tene(kichwa cha dhakari)au kiasi chake ktk tupu yeyote iwayo, ni mamoja ikiwa amezamisha ktk tupu ya mbele ya mwanamke au ya mnyama au tupu zao za NYUMA, au tupu ya nyuma ya mwanaume au ya kuntha(taahira), akiwa mtoto mdogo au mkubwa, hai au MAITI. Na ni wajibu kuoga kwa mwanaume mwenye kutiwa ktk tupu yake ya nyuma. ....Rejea tafsiri ya; BABU MAAJA-A Uk13!Ndio sababu hadi huku uswazi unaitwa mchezo wa kislamu! Akileta link tena dawa ipo tena kutwa mara4!
Mkuu imetosha sasa ameonyeka nafikiri!!
 
Sinema hii wala haileti machafuko kwa kuwa tunajua hiyo ni michezo ya watoto wakipata akiliwataacha. Ila nyinyi mlivyotengenezewa filamu ya Marehemu Mohammad mkaanza fujo kama kawaida yenu kwa maana mlijua marehemu hawezi kujitetea mwenyewe lazima mumtetee.

Hiyo si sinema huo ni ukweli, umeusikiliza? njoo kwenye ukweli. Uislaam (kujisalimisha kwa Mwenyeezi Mungu mmoja) ni kwa ajili ya wote na si kwa ajili ya watu fulani tu. Inasikitisha sana hiyo "sinema" kuona kuwa kanisani ndivyo kulivyo!
 
Mnaambiwa someni hamtaki, ipate zenj kidogo hapa, wewe hata neno Zanzibar limetoka wapi hujui:

CHRONOLOGY OF ZANZIBAR
BC I AD I Chinese Visit I Arrival of Alawis I Ibn Batuta I Vasco da Gama I Francis Drake I Omanis defeat Portuguese I Albusaid Dynasty begins I Said bin Sultan born I Livinstone born I Omanis in Zanzibar I Stanley born I Seyyid Said dies I UMCA arrive Zanzibar I Majid dies I Livingstone dies I Alawi dynasty ends I Germans arrive EA I Barghash dies I British Protectorate I Bombardment I Stanley dies I Slavery Abolished I WWI begins I Revolution
B.C.
1000 BC For the last three thousand years at least, sailors and traders from Arabia and the Persian Gulf used the north east monsoon winds (from mid December until the end of February and called “Kaskazi” - they herald the long or “Masika” rains) to voyage to the east coast of Africa bringing knives, spears, metalwork, beads and later firearms.
Between April and September, the south west monsoon (called the “Kusi”, which brings the short, or “Vuli” rains) blew the sailors back again across two thousand miles of the Indian Ocean, carrying their cargoes of gold, tortoise-shell, ivory and slaves.
700 BC The first mention of the land of “Zinj”. This was controlled by the Sabaean kingdom of Saba or Sheba whose queen visited Solomon and marvelled at his wealth. The Sabaeans were a maritime people, the descendants of Joktan (Genesis 10: 26-9) who lived in Southern Arabia. They dominated the carrying trade of the east, controlling the spice trade and supplying the eastern world with gold, slaves, tortoise-shell, ambergris, ebony and ivory, brought in dhows from the coast of Zinj to Arabia.
The Sabaean kingdom lasted until the 1st century B.C. when the Indian trade ceased to be carried by sea and went by land. Their decline was speeded by a disaster to the great dam which irrigated the country. The whole land dried up and the capital city, Marib, became a ruin.
45 BC Hippalus the Egyptian revealed the existence of the monsoons and trade winds to the world and gave the West the key to the East. The Phoenicians, the Arabs, the Persians and the Hindus had kept their knowledge of these winds secret for centuries.
At about this time certain African tribes from the mainland made small separate settlements on Unguja and Pemba. They crossed over to the islands in their dug-out outrigger canoes - similar to the ngalawas of today. They were taller than the present day people and they worshipped trees and the sun.
100 BC An anonymous seafarer wrote the “Periplus of the Erythraean Sea”, or Circumnavigation of the Indian Ocean. This is probably the earliest firsthand account of the East African coast to have survived and it mentions an island called “Menouthias”, off the shores of Azania. This may have been Pemba.

Source: Zanzibar - Chronology

Ukimaliza sema nikuongeze, hiyo ya juu nimekupa ujuwe kuwa Zenj Empire ilikuwepo kabla ya ujio wa wa Oman.

Sawa si walikuwa waarabu lakini kwani ni wewe mtumwa mwenye ngozi nyeusi mana waarabu wa oman wametawala znzb kama koloni kabla hajaja sayid said hacheni utumwa wa mawazo wazanzibr wote ni wabara kama si watumwa basi ni wamakonde na wayao na wanyasa na wamwera na wamakonde wa msumbiji.
 
Kwanini isiwe wa Zanzibari ndio walitawala Oman? why not? Uafrika si ngozi nyeusi wala nyeupe na Uarabu pia si ngozi nyeusi wala nyeupe. Afrika ni kontinenti lenye Waarabu wengi kuliko kontinenti lolote duniani.

Tatizo lenu hamsomi au hamjui mnachokisoma au mnadanganywa mnakosomeshwa. Huo ndio Ukweli.

Uneducated fools from uneducated schools.
 
wewe mzanzbr wacha upuuzi wako hapa wewe,nyinyi ni watumwa tu tuliwauza sisi mkanusurika kuhanisiwa uharabuni shukuruni mungu,nyinyi mnataka kujitenga ili muiige komoro muingie kwenye umoja wa nchi za kiarabu si ndio? kudhania kuwa kuingia huko na nyinyi wabantu mtakuwa waarabu weusi,hizo ni fikra za kitumwa mbona hakuna mwarabu anayetaka kujiita mbantu kama wewe,ulishaona mznzbr gani mwafrika akakubaliwa kuoa familia ya kiarabu au binti wa kiarabu,hadi leo znznbr waarabu wanaolewa na waarabu tu wahindi na wahindi tu,mbantu haruhusiwi kuoa mwarabu hata ukiwa mchanganyiko hauruhusiwi kabisa,pamoja na kunyanyaswa huko mwarabu hadi leo znzb anruhusiwa kuoa mswahili bila pingamizi lolote tena waswahili wanaona wamebarikiwa kuolewa na mwarabu.Kweli sasa nimeamini mtumwa ni mtumwa tu na hata siku moja hawezi kumsahau bwana wake bali bwana anaweza kumsahau mtumwa wake,kinachowasumbua sasa znzb ni huo utumwa,mnawakumbuka mabwana zenu wa oman,ambao sasa wameamua hata wafanyakazi wa ndani hawatawachukua tena toka Afrika bali watawachukua toka philipiness,malaysia,india na sri lanka sabab wanasema hao hata ukiwapa mimba mtoto atatoka sawa na wao na sio mwafrka sabab hawataki nchi yao ijazwe na waafrika,nyinyi watumwa nyinyi,wanabaguliwa Qatar wasomali na wassudan,na wa mauritania wenye nywele za kiarabu ije kuwa nyinyi wabantu wazenji?hadi jina lenyewe linaonyesha kabisa kuwa nyinyi ni weusi tu.
 
Nadhani Comoros, Somalia, Sudan, Egypt, Tunisia, Morocco, Algeria, Libya, Mauritania, ni tosha kabisa kukujulisha kuwa Uarabu si rangi wala Kontinenti. Nakushangaa hujui kuwa hata Wamalawi wantuita Watanzania kuwa ni Waarabu na nnakuhakikishia hawajakosea. Uarabu si Utaifa wala si Rangi wala si Kontinenti.

Soma mtoto wacha kubishana vitu usivyokuwa na elimu navyo. Kuwa Mtumwa ni sifa kubwa sana kwa ajuae, hivi hiyo "Dulla" unaweza kutuambia kirefu chake ni nini?
 
hivi wewe hiyo elimu yako ya ngumbaro unaweza kuniambia mimi nisome,mimi ndio natahili nikuambie wewe usome kwani bila bara huku wapemba msingesoma nyie,muungano umewaokoa karume alishasema hakuna mpemba atakayesoma maalim sefu ndo kawaokoa mkaja kusoma bara leo unaniambia mimi nikasome,mimi nimesoma kushinda wewe mfuga pweza.Unasema kwamba uarabu sio rangi hivyo ndio mnavyojidanganyaga waswahili nenda libya uone na uzanzibar wako halaf useme mi mwarabu halafu usikie watakujibu vipi.Gadaffi katimuliwa sabab kubwa ni usema libya siyo nchi ya kiarabu bali ya kiafrika na ndo iliyosababisha wananchi wote wa libya kuandamana kumtoa gadafi,Mwarabu ni mbaguzi tu hata hapo znzb sijaona mswahili kuoa binti wa kiarabu wacha hao waarabu feki,we nenda Qatar mweusi tii halaf sema we mwarabu kama hawajatema mate chini na kukuita ABDI yaani mtumwa,Huko yemen kuna wa2 wanaitwa AKHDAM yaani watumishi ukiwaangalia ni kama waarabu na kama wangekuja znzbr wangeitwa waarabu lakini huko yemen wanakataliwa kuwa sio waarabu kisa wazazi wao walitoka afrika kabla ya kuzaliwa yesu,huko iraq kuna waswahili waliotoka znzb,bara na mombasa kipindi cha utumwa wanaishi BASRA hadi leo wanabaguliwa hawaruhusiwi kufanya kazi za maana isipokuwa kazi za kuzalilisha na hawaitwi waarabu wanaitwa blacks kikwao,wanatamani warudi afrika ila hawana jinsi,ukiwaangalia ni kama waarabu na kama wakija kwetu huku wale ni waarabu kabisa,leo hii wewe unasema kila m2 mwarabu wapi na wapi bwana?we mwafrika tu na ukijiunga na mwarabu atakutawala na kukunyanyasa tu tena kisiwa chenyewe kidogo hivyo!!!mujiandae JAMSHID atarudi tu ndo mufurahi aje kupasua mimba za wake zenu shenzi type!!!!!!!!!
 
Taka-uchafu,ash-majivu, jina linajieleza lenyewe. pole sana

Mimi natetea Zanzibar iwe kama ilivivyokuwa kabla ya Muungano 1964. Wakati huo Zanzibar ilikuwa huru kujiamlia mambo yake kitaifa na kimataifa. Imani yangu ya ki-islamu haipingani na uwepo wa Zanzibar huru.

Hakuna kundi linalodai sheria (utawala wa kiislamu) ,makundi yote yanaungana kutaka Zanzibar huru kutoka mikononi mwa Tanganyika. Tanganyika kupitia mfumo kristo imeifikisha Zanzibar katika hali mbaya sana. Kiuchumi, kijamii na kiutamaduni Zanzibar imepoteza uhaiba wake.

Leo Watanganyika ndio wamekuwa waamuzi wa mustakbali wa Zanzibar, Kanisa ndio limekuwa linasikilizwa na kutoa ushawishi katika Serikali. Viongozi wa kiislamu wanadharauliwa ndani ya nchi yao na baadae wale makafiri ndio hupewa heshima zote.

Sisi tunataka Zanzibar yetu ambayo tutaishi kwa kuheshimiana na kulinda mila na desturi zetu. Tumechoka kulazimishwa kufuata mambo ya mila na desturi za kigeni. Tanataka tupumue.

Kuvaa mabomu na kujilipua hiyo ni hatua ya mwisho ya muumini kujitoa muhanga...Sitegemei kama t
 
Seriously?!! Ukapimwe brain yako ndugu!
Kwani kuwa africa lazima uwe na Ngozi nyeusi kama yako? Unajua maana ya Africa lakini? Hebu tizama nchi zilizopo kaskazini wana ngozi nyeupe kisha wanaongea kiarabu, aliekwambia kama zanzibar ni ya watu weusi peke yao nani? Mlikua mnatembea uchi nyinyi na mpaka lei swaziland wanawake wanaekwa uchi, hata nguo hamujui ndo nini, mnakaa mnawapapatikia wazungu, haya basi pitisheni ushoga, maana waafrika weusi ndo mnaonekana hamujiwezi ata kidogo, mnapitishiwa ushoga mnakubali kisa ya umaskini, ninawaapia kuwa mataifa ya Africa siku zote yataendelea kuwa tegemezi! Kama unawachukia waarabu ndugu yangu pole, waarabu hawataki ujinga wenu, mtabaki kuendeshwa na kutumwa bila kujitambua! Pole mwafrika pekee mweusi!!!

Umesema nikapimwe brain yangu!Nakuapia sina shaka kuhusu uwezo wa akili yangu!Lakini naona wazi utumwa wa fikra unaotaka kuupandikiza kwa watz,kwamba km waarabu wasingekuja tungeendelea kutembea uchi "wat was wrong wit that?"Kwamba Africa is for Africans sijakosea kwani hakuna niliposema "Black africans" Read carefully hivi ulifaulu hata mtihani wa darasa la nne wewe?Umekurupushwa na hisia zako kali za kipuuzi za kutaKa usultani urudi znz!Angalia asili ya watu wa East Africa na utapata jawabu la nani mwenye haki ya asili ya Znz!Lkn hatuna ugomvi na waarabu au wahindi ambao ni wtz wanaojua nchi hii si ya vurugu,wanaojua nchi hii haina dini wala kabila bali wananchi wake wanazo!Wanaojua znz ni sehemu ya Tz na iko hivyo kwa maendeleo na maslahi ya kiusalama wa nchi hii. Kuhusu ushoga waliouanzisha ushoga ni waarabu wenyewe,kutokana na sharia kali walizowawekea binti na vijana wao, yaani asipokutwa na bikra anapigwa mawe mpk kufa, au vijana wakikutwa na wanafanya ngono km hawajaoana nao wanauawa, hizi sharia zimechochea ushoga sana kwa waarabu na wameueneza kwa watu wengine!Huwezi kutaka kitabu chochote zaidi ya katiba kiongoze nchi na ukataka kuwa na amani!ukianza hilo hiyo ni dalili ya fujo na vurugu!Sikushauri kwenda kupima akili yako kwani kwa thread yako tu unaonyesha una hali mbaya sana,nenda moja kwa moja milembe,huwezi hata kusoma line tatu kwa makini kabla ya ku comment how can u be in this GT forum?!
 
nilidhani wachangia mada watatuelimisha juu ya huyo mtu........ lakini
baadhi hawajatoa taarifa za maana zenye tija....
 
Vipi malawi hawajambo ?Nasikia mashaanza kutupia mabomu upande wetu...kama hujui kiswahili vizuri tumia GOOGLE translator
ahahahahaa wewe ungejua kiswahili si ungefuga nguruwe kwa afya yako? Badala unafuga ndevu! ona swahiba yako faridi, walivyozisembua! Ingekuwa mbuzi katoliki si angefaidi bro? Sasa midevu utatia chumvi nyanya kitungu hoho ndimu na pilipili ukaange ule? Umebaki imeshuka imeshuka! Daah.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom