peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 12,827
- 21,456
Jimbo la Kawe .....tunasubiri Kwa hamu
Jimbo la Kawe .....tunasubiri Kwa hamu
Yaani mie nafikiri, ili kuepukana na gharama kwa nchi zetu maskini', inapotokea nafasi imekuwa wazi kabasi aliefuatia kwa kura ndo achukue nafasi kuepuka gharama zisizo na tija kwa nchi.Hii nafasi naomba mnipatie niongoze hilo jimbo.
hii sio nzuri na ni hatari. Watu wataanza kuuana mkuu.Yaani mie nafikiri, ili kuepukana na gharama kwa nchi zetu maskini', inapotokea nafasi imekuwa wazi kabasi aliefuatia kwa kura ndo achukue nafasi kuepuka gharama zisizo na tija kwa nchi.
Sio uislami wala nini..ni maslahi ya chama tu..kama angekua muislam safi asinge thubutu kujiiingiza kwenye siasa za ccm ambazo zimejaa unafiki na dhuruma...Muislamu wa kweli hawezi kuwa sehemu ya dhuluma na uonezi. Hongera kwake kwa kufanya uamuzi sahihi
mods mnanifurahisha sana style yenu 😂 😂 👉
tukishindana ukinishinda nakumaliza nateuliwahii sio nzuri na ni hatari. Watu wataanza kuuana mkuu.
Aisee! sababu za kifamilia ni kama zipi wakuu?
Sasa chama sikingetatua hizo changamotoAisee! sababu za kifamilia ni kama zipi wakuu?
ACT wametishia kujitoa kwenye serikali ya umoja wa kitaifa huko Zanzibar, hivyo ccm wameona watazidi kuchafuka, hatimaye ikabidi wamtake huyo mbunge ajitoe kuepusha chama chao kuzidi kuchafuka.Sasa chama sikingetatua hizo changamoto
Hilo sasa ni suala la katiba mpya, ambayo imemweka Mwamba Mbowe mahabusu na kesi ya kutengeneza ya ugaidi!Yaani mie nafikiri, ili kuepukana na gharama kwa nchi zetu maskini', inapotokea nafasi imekuwa wazi kabasi aliefuatia kwa kura ndo achukue nafasi kuepuka gharama zisizo na tija kwa nchi.
kuongoza kampuni ni tofauti na kuongoza jimbo. we utawaza faida tuHii nafasi naomba mnipatie niongoze hilo jimbo.
Leo ndio ameslimu mkuu?Muislamu wa kweli hawezi kuwa sehemu ya dhuluma na uonezi. Hongera kwake kwa kufanya uamuzi sahihi
Panakitu hapaaa ngoja tusikiliziee