lyenyi
JF-Expert Member
- Mar 4, 2020
- 2,530
- 6,982
Itakuwa ndugu ni ACT wazarendo!!, Yeye peke yake ndio ccm!!, Wakamwambia wanampa radhi!Aisee! sababu za kifamilia ni kama zipi wakuu?
Itakuwa ndugu ni ACT wazarendo!!, Yeye peke yake ndio ccm!!, Wakamwambia wanampa radhi!Aisee! sababu za kifamilia ni kama zipi wakuu?
Mungu yu mwema
Kama Mtemvu anavyomuwinda Mbunge wa Temeke usiku na mchana ili arudi kuwa Mbunge.hii sio nzuri na ni hatari. Watu wataanza kuuana mkuu.
ACT wanataka wapozwe kitiHaki.... Haki ya watu haiwezi kupotea tu. Dhuluma zote hizi mnazoona leo zitalipwa siku moja...
Kitu chenyewe ni kuwa ACT wanapewa hicho kiti ili wasijitoe kwenye serikali ya umoja wa kitaifa.Panakitu hapaaa ngoja tusikiliziee
😂😂😂😂ACT wametishia kujitoa kwenye serikali ya umoja wa kitaifa huko Zanzibar, hivyo ccm wameona watazidi kuchafuka, hatimaye ikabidi wamtake huyo mbunge ajitoe kuepusha chama chao kuzidi kuchafuka.