Blueprint 9
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 765
- 1,329
Zanzibar ni kama kimkoa tu sasa hiyo 50% 50% ya nini?Safii. Na Zanzibar tupewe mgao wetu (50%-50%)
Zanzibar ni kama kimkoa tu sasa hiyo 50% 50% ya nini?Safii. Na Zanzibar tupewe mgao wetu (50%-50%)
Nyie mtauza meli muda si mrefuSafii. Na Zanzibar tupewe mgao wetu (50%-50%)
Zanzibar ni mkoa km mikoa mingine.Safii. Na Zanzibar tupewe mgao wetu (50%-50%)
Je, mnachangia kwenye muungano si ninyi mnapata vya bure,Safii. Na Zanzibar tupewe mgao wetu (50%-50%)
KabsaaaTulieni. Muungano mliutaka wenyewe Shehe!
Inaenda kujenga shule na mabarabaraTozo Na Kodi Ya Dhurma