Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa, amesema kuwa serikali imefanya malipo ya awali ya shilingi bilioni 212.95 kwa ajili ya Ndege 5, Ndege kubwa 2, za masafa ya kati 2 na Bombardier ndogo 1, pamoja na malipo ya bilioni 50 kwa ajili mradi wa kufua umeme wa katika bwawa la Julius Nyerere.

Kauli hiyo ameitoa hii leo Septemba 4, 2021, wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma pamoja na kupokea na kujibu maswali ya wananchi waliokuwa wakipiga simu.

"Serikali imefanya malipo ya awali ya ya shilingi bilioni 212.95 kwa ajili ya Ndege 5, Ndege kubwa 2, za masafa ya kati 2 na Bombadier ndogo 1, pia serikali imefanya malipo ya bilioni 50 kwenye mradi wa reli na bilioni 50 kwenye mradi wa kufua umeme wa Julius Nyerere," amesema Msigwa.
kila siku midege midege.. wakuze sekta nyingne
 
Huyu si ndo alitaka kuaminisha watu kwamba tozo haziwezi kupunguzwa eti ni sheria haibadiliki, leo hii anakuja kubwabwaja kuhusu manunuzi ya ndege zisizo na faida yoyote. Kumbe pesa za kujenga vituo vya afya na madarasa mnazo ila mmeamua kwa makusudi kuibia wananchi pesa zao kidogo wanazohangaika kuzipata, hopeless...
 
Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa, amesema kuwa serikali imefanya malipo ya awali ya shilingi bilioni 212.95 kwa ajili ya Ndege 5, Ndege kubwa 2, za masafa ya kati 2 na Bombardier ndogo 1, pamoja na malipo ya bilioni 50 kwa ajili mradi wa kufua umeme wa katika bwawa la Julius Nyerere.

Kauli hiyo ameitoa hii leo Septemba 4, 2021, wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma pamoja na kupokea na kujibu maswali ya wananchi waliokuwa wakipiga simu.

"Serikali imefanya malipo ya awali ya ya shilingi bilioni 212.95 kwa ajili ya Ndege 5, Ndege kubwa 2, za masafa ya kati 2 na Bombadier ndogo 1, pia serikali imefanya malipo ya bilioni 50 kwenye mradi wa reli na bilioni 50 kwenye mradi wa kufua umeme wa Julius Nyerere," amesema Msigwa.
Tupo wakandarasi wa ndani tunaidai serikali malipo yetu hatulipwi ila kuwalipa wazungu watuuzie ndege ili wao wapige hela yao hawasiti
 
ATCL deni ni 473 billions hasara tangu 2016 ni 354 billions ni ujinga mkubwa mambo yanayoendelea nchi hii.
Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa, amesema kuwa serikali imefanya malipo ya awali ya shilingi bilioni 212.95 kwa ajili ya Ndege 5, Ndege kubwa 2, za masafa ya kati 2 na Bombardier ndogo 1, pamoja na malipo ya bilioni 50 kwa ajili mradi wa kufua umeme wa katika bwawa la Julius Nyerere.

Kauli hiyo ameitoa hii leo Septemba 4, 2021, wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma pamoja na kupokea na kujibu maswali ya wananchi waliokuwa wakipiga simu.

"Serikali imefanya malipo ya awali ya ya shilingi bilioni 212.95 kwa ajili ya Ndege 5, Ndege kubwa 2, za masafa ya kati 2 na Bombadier ndogo 1, pia serikali imefanya malipo ya bilioni 50 kwenye mradi wa reli na bilioni 50 kwenye mradi wa kufua umeme wa Julius Nyerere," amesema Msigwa.
 
Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa, amesema kuwa serikali imefanya malipo ya awali ya shilingi bilioni 212.95 kwa ajili ya Ndege 5, Ndege kubwa 2, za masafa ya kati 2 na Bombardier ndogo 1, pamoja na malipo ya bilioni 50 kwa ajili mradi wa kufua umeme wa katika bwawa la Julius Nyerere.

Kauli hiyo ameitoa hii leo Septemba 4, 2021, wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma pamoja na kupokea na kujibu maswali ya wananchi waliokuwa wakipiga simu.

"Serikali imefanya malipo ya awali ya ya shilingi bilioni 212.95 kwa ajili ya Ndege 5, Ndege kubwa 2, za masafa ya kati 2 na Bombadier ndogo 1, pia serikali imefanya malipo ya bilioni 50 kwenye mradi wa reli na bilioni 50 kwenye mradi wa kufua umeme wa Julius Nyerere," amesema Msigwa.
Ifike wakati walipe na SALARY ARREARS sasa waache sifa za kijinga.
 
Hivi kwa nini ccm na makada wao hawasemi wataanzisha kiwanda cha kutengeneza hizo ndege ili tusipoteze fedha za kigeni kama tunavyotaka kuanzisha kiwanda cha chanjo?

Ccm anzisheni kiwanda cha kuunda bomberdier na boeing bana. Acheni kuzuga kama vile hamuoni hii fursa
 
Mikataba ya ununuzi wa hizo ndege ulisainiwa tangu kitambo kipindi cha Magu?,maana kama imekuwa ghafra sana wakati ufanisi wa shirika si mzuri kihivyo.
 
Safii. Na Zanzibar tupewe mgao wetu (50%-50%)
Haaa mgao usiwe kwa mfanano yaani 50 kwa 50 inabidi uwe kwa usawa yaani kulingana na hali halizi nyingine kama idadi ya watu na ukubwa wa eneo!

Au kama vp fursq za migao kama hiyo ikijiyokeza visiwani wapewe 100% kwa miaka mitano mtawalia, najua baada ya miaka mitano hawatakuwa na uhitaji tena!
 
Hizi zilizopo hazitoshi ?

Yaani wateja wanakosa nafasi ?
Ndio, kwa mfano juzi nilikuwa natoka mtwara kuja dar ndege ilikuwa na abiria wanne tu nikakosa siti ikabidi nisimame.
Hivi mimi nimeansika nini hapa?
 
Back
Top Bottom