Serikali ya Tanzania yazuia ndege kutoka shirika la Kenya Airways kutua Dar, Kilimanjaro na Zanzibar

Mkuu naomba uiniekeweshe,je waliozuiwa kwenda Kenya ni watanzania au ni ndege za Tanzania?maana ninachojua Mimi wakenya wametangaza ndege za nchi 11 zinazoruhusiwa kutua kwenye viwanja vyao.
Kwahiyo ndege zinaweza kwenda bila ya abiria kutoka TANZANIA haijalishi awe mtanzania au mtu kutoka TANZANIA ndio waliozuia sababu ya korona au ndege tupu inakua na Corona?
 
Acha upumbavu...

Hela na uchumi ndio utumwa unaotakiwa!

Unataka utumwa wa nini?

Utumwa wa upumbavu wako kichwani humo?

Economy kwanza,emotions zako peleka kwa mkeo huko!

Hela utapata wapi na trade routes zote ni locked?

Na brother,mind you,we will be shocked when other countries follow suit!

Utakuja na majibu ya chooni hapa "wanatuonea wivu"....nchi zote zikuonee wivu wewe nani?

Tumebakia kua nchi ya comedy kuhusu korona kama Madagascar na Burundi,tumekua nchi shithole kabisa

Tupo level moja na manchi mavi matupu....

The world countries demand answers about our stupid ways of dealing with corona,tumejaza virus humu,na tunakua banned....left and right!

Wait and see
 
Kwahiyo ndege zinaweza kwenda bila ya abiria kutoka TANZANIA haijalishi awe mtanzania au mtu kutoka TANZANIA ndio waliozuia sababu ya korona au ndege tupu inakua na Corona?
Ndege gani za tz zilikuwa zinaenda Kenya kabla ya corona na zilikuwa zinaenda Mara ngapi? Ila najua watanzania hata kabla ya corona tulikuwa tunaenda Nairobi kwa KQ ambao hutua bongo zaidi Mara tano kwa siku.lakini pia watanzania tumekuwa tukienda bongo kwa basi la saibaba ambalo huenda Kenya kila siku.Sasa Kama tulikuwa tunaenda Kenya miaka yote kwa KQ na saibaba kitu gani kimefanya Leo tuwazuie wao kuja Kama si mihemuko? Au watanzania wamezuiliwa pia kupanda KQ?
 
Kwa iyo majibu ya wengine ndo tungekopi then tufanye modifications tutoe majibubyetu au majibu ya wengine ndo majibu yetu?
Au tungesubili tuone madhara ndo tu react au tungetakiwa kuchukua muda gani ndo tujibu?
 
Kwa iyo majibu ya wengine ndo tungekopi then tufanye modifications tutoe majibubyetu au majibu ya wengine ndo majibu yetu?
Au tungesubili tuone madhara ndo tu react au tungetakiwa kuchukua muda gani ndo tujibu?
Madhara gani kwa mfano? Kabla ya corona ni ndege gani za Tanzania zilikuwa zinatua kwenye viwanja hivyo vya Kenya? Labda tuanzie hapo
 
Relax usipanick na matusi, jibu hoja, hizo route sio za barabara kwamba haziwezi kubadilika, hebu lete orodhesha hizo economic benefits tutakazo kosa kiasi kwamba uchumi wa nchi utayumba au tutapoteza customers kiwango unachoeleza.
Wewe ndo unahisia bro ndio maana unatukana, relax usipanick. Trade embargo na kenya hatujaanza leo, ili uwe na win win kwenye trade lazima uwe na upper hand ngoja tuone kwenye hii saga nani ana upper hand?
 
Hayahaya kumekucha kumekucha


Watetezi wa Kenya mmeshasalitiwa na mjumbe hapa.
Walijaribu kusikojaribiwa
 
Hapana sababu sio Corona Kama ni Corona. Asinge Bana za Tz tu, hata zake angezizuia zisije Tz.

Yaana angeitenga Tz kwa ujumla.
Sasa unazuiaje za Tz zisitue kwako. Coz of Corona?

Ina maana hizo zako zikija tz Zina port yake binafsi au zinateremshia angani. Bila any Contacts Kati ya ndege na watu wako na Hawa wa Tz.
Pia hazichukui mtu yeyote labda Wala kitu from Tz ports.

Ukisema sababu ya wao kuzuia ndege za Tz Hilo ni upumbavu kama hajakataa n awao kutua kwetu.

Reaction iliyochukuliwa na Tz na sawa. Some times short cut is the right cut,
Kwanini tuumize kichwa..
Waje wao Sasa kuomba mazungumzo.
Au kila mtu abaki na viwanja vyake
 
Unaona vile huwa munajidanganya! Route ya pesa mingi kwa KQ in EAC ni Nairobi-Mombasa ambayo iko na 10 flights kwa siku. Tafadhali penda kufanya research annual books of account za KQ ziko mtandaoni.
Nyingi ni nyingi tu. Hata kama haiongozi.

Haya hmaishie hizi route za Tz to Nairobi Mombasa. M make up for the loss
 
Usitufokeee
 
Kenya Hoi na wameomba PO.
Nasi tunawasamehe.
Msilete jeuri siku nyingine.
Hatuta wasamehe.

Uchumi sio Lugha ya Wakoloni na kuvaa suti.
Pumbaf zenu.
Chokozeni tena muone
 
Wazee, kama nimeona kwa Millard Ayo kuwa waziri mhusika uko Kenya kasema watanzania wataruhusiwa kuingia, ilikuwa ni hitilafu tu?
 
Utupolo ! Utupolo na sema hv huu ni utupolo!
Hoja ya Tanzania kumnyima ruhusa barozi wa kenya kwenye mazishi umeitoa wapi wakati kenya wenyewe wamesema hali ya hewa.
Hoja ya kwamba Tz kuna Corona tunaificha ! Iyo Corona imetokea wapi maana mm ciyoni na simwoni amayeumwa kama wanaumwa wao si sisi?
Hoja ya tz kufunga mipaka naunga mkono iweje mtu atake chako wakati chake hataki kushea huu ni unyonyaji kama taifa lao wanavyo nyonyana naweza sema hii ni pumba namba moja kwenye hii thread naomba Watanzania tuipinge kwa namna yoyote. Wapinzani mnatafuta huruma hamnaga huruma ya hivyo. Sawa
 
Hili ni topolo lingine naomba tulipuuze kwasababu haliitakii mema nchi yetu
 
Ona sasa unavyoongea upuuzi !
Unashindwa kuzibiti vidole vyako kuandika upuuzi.
Maamuzi ya ....... hebu niambie ni ya aina gani?
Kuitakia mema serikali ya ccm?

Inayofanya maamuzi ya kimavi?

Over my dead body!
 


Tushapiga ban... We baki na tathimin zako za kikanjanja..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…