Serikali ya Tanzania yazuia ndege kutoka shirika la Kenya Airways kutua Dar, Kilimanjaro na Zanzibar

edwardbm

Senior Member
Nov 3, 2016
133
250
Ilitakiwa iandikwe hivi "Due to the persistence of the corona epidemic in Kenya where it is clear that the Kenyan government has failed to control it so the Tanzanian government has decided to use discretion not to allow any flights from Kenya that are Nairobi or Mombasa even kisumu especially for airlines that transport passengers from kenya such as KQ Jambo jet and even Precision air this implementation will involve the transportation of passengers in those airlines that plan to transport passengers to our airports especially Dar es salaam Kia & Arusha as well as Mwanza this ban officially starts tomorrow 01 -08-2020"
Usitufokeee
 

Che mittoga

JF-Expert Member
Mar 28, 2017
5,134
2,000
Kenya Hoi na wameomba PO.
Nasi tunawasamehe.
Msilete jeuri siku nyingine.
Hatuta wasamehe.

Uchumi sio Lugha ya Wakoloni na kuvaa suti.
Pumbaf zenu.
Chokozeni tena muone
 

Emar

JF-Expert Member
Nov 15, 2018
851
1,000
Utupolo ! Utupolo na sema hv huu ni utupolo!
Hoja ya Tanzania kumnyima ruhusa barozi wa kenya kwenye mazishi umeitoa wapi wakati kenya wenyewe wamesema hali ya hewa.
Hoja ya kwamba Tz kuna Corona tunaificha ! Iyo Corona imetokea wapi maana mm ciyoni na simwoni amayeumwa kama wanaumwa wao si sisi?
Hoja ya tz kufunga mipaka naunga mkono iweje mtu atake chako wakati chake hataki kushea huu ni unyonyaji kama taifa lao wanavyo nyonyana naweza sema hii ni pumba namba moja kwenye hii thread naomba Watanzania tuipinge kwa namna yoyote. Wapinzani mnatafuta huruma hamnaga huruma ya hivyo. Sawa
MUTUA: Tanzania ni jirani jeuri, tuvumilie kuishi naye

Na DOUGLAS MUTUA
NCHI inapojipata na jirani mbaya ilhali yenyewe haiwezi kuhama au kumhamisha, inapaswa kufanya nini?
Nimeandika hapa kwa takriban miaka mitano sasa, tangu Dkt John Pombe Magufuli achaguliwe rais Tanzania, kwamba taifa hilo si rafiki bali adui.
Japo halijatangaza uadui wa wazi, kuna mifano kadhaa ya mambo ambayo ukijumuisha moja na moja, utapata hesabu kamili: Tanzania si rafiki wa Kenya.
Juzi tu, ujumbe wa waombolezaji kutoka Kenya uliokuwa njiani kuelekea Tanzania kuhudhuria ibada ya wafu ulirudishwa nchini katika hali isiyoeleweka vyema.
Nimesema hali isiyoeleweka vyema kwa sababu waelekezi wa safari za ndege nchini Tanzania walisema hali mbaya ya hewa haingeruhusu ndege hiyo ya Kenya kutua.
Ujumbe huo ulikusudia kumwakilisha Rais Uhuru Kenyatta katika ibada ya kumuaga aliyekuwa rais wa tatu wa Tanzania, Bw Benjamin Mkapa.
Uliongozwa na kiongozi wa wengi kwenye Bunge la Seneti, Bw Samuel Poghisio, na ulisafiri kwa mojawapo ya ndege maalumu zinatotumiwa na rais wa Kenya na watu mashuhuri. Ndege hiyo, ambayo tayari ilikuwa imevuka mpaka na kuingia Tanzania, ilinyimwa ruhusa ya kutua hivyo ikabidi irejee ilikotoka.
Katika juhudi za labda kuficha uzito wa tukio hilo, Bw Poghisio alidai ujumbe wake uliagizwa ama urejea Kenya au usubiri hewani kwa muda.
Na kwa sababu kwenye Bunge la Seneti kulipangiwa kuwa na majadiliano muhimu kuhusu ugavi wa pesa za ugatuzi, alidai Bw Poghisio, alilazimika kurejea Kenya.
Wataalamu wa masuala ya kiutawala na kidiplomasia watakwambia hakuna shughuli muhimu nchini kokote kuliko kumwakilisha kiongozi wa nchi kwenye hafla ya kimataifa.
Kikawaida, mjumbe aliyetumwa na kiongozi wa nchi hufanya kila juhudi kuhakikisha ametekeleza wajibu wake. Kisa na maana ni kwamba anaiwakilisha nchi.
Kwa kifupi tu, tunaweza kusema Tanzania iliizuia Kenya kuhudhuria ibada ya wafu ya rais wake wa tatu, Mzee Mkapa.
Hebu niseme moja kwa moja kwamba, binafsi nalitilia shaka dai hilo la hali ya hewa kuwa mbaya. Safari hiyo haikuwa ya kushtukiza; hali ya hewa inatabiriwa hata wiki mbili kabla.
Vile vile, kuna njia kadhaa za ndege kupitia ili kutua kwenye uwanja wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere, jijini Dar es Salaam.
Katika ulimwengu wa kidiplomasia, nchi ikitaka kuidharau nyingine, huwatuma wawakilishi wa ngazi ya chini kwenye hafla za nchi inayolengwa.
Nchi hiyo nayo ikishuku tu kwamba hizo ni dharau, hukazana kuidhalilisha iliyozuka na dharau, hivyo hali ikawa ya vita baridi.
Nashuku kwamba kwa upande wa Kenya, hili ni suala la tahadhari tu kuhusiana na janga la Corona, hasa ikizingatiwa kwamba Tanzania na jeuri yake imesema hakuna Corona.
Kumbuka Kenya ilipofunga mpaka wake na Tanzania, taifa hilo la Magufuli liliteta vikali na kuzuia yeyote au chochote kutoka Kenya mpaka Rais Kenyatta akalazimika kuingilia kati.
Haikosi Kenya ililazimika kumtuma Bw Poghisio na ujumbe wa watu wawili pekee badala ya Rais Uhuru Kenyatta kuhudhuria ibada hiyo na kuhatarisha maisha yake.
Hapa unatambua kuwa kuhusiana na jirani mkorofi, ni lazima uwe mwangalifu sana. Katika kisa hicho cha juzi, Kenya ilikabiliwa na hatari mbili za kumkasirisha jirani huyo: siasa za corona na maadili ya kidiplomasia.
Hatua ya pekee ambayo ingekubalika machoni pa Tanzania na Rais Magufuli ni Rais Kenyatta mwenyewe ahudhurie ibada hiyo au amtume Naibu wake, Dkt William Ruto.
Tukubaliane kwamba shughuli muhimu za nchi haziwezi kuwa kuifurahisha nchi nyingine, ndiposa naiunga mkono hatua ya Rais Kenyatta kutofika.
Hata hatua ya kutuma ujumbe Tanzania haikufaa kitu; hakuna maisha ya Mkenya ambayo yanapaswa kuhatarishwa ili tuifurahishe nchi nyingine. Tuna jirani mbaya, hebu tubuni mikakati ya kumdhibiti.

NB: TANZANIA NA WATANZANIA NI LAZIMA KUENDELEA KUWA IMARA KWA MUSTAKHABARI WA NCHI KAMA WENZETU WANAVYOSIMAMA NA NCHI ZAO.
 

Emar

JF-Expert Member
Nov 15, 2018
851
1,000
Hili ni topolo lingine naomba tulipuuze kwasababu haliitakii mema nchi yetu
Nchi sio CCM mzee

Nchi sio bwana mawe

Nchi sio Abbas

Nchi sio Mkurugenzi wa Mamlaka ya Viwanja..

Nchi ni wananchi Watanzani who are loving hardworking people!

Hao niliowataja ni watu binafsi wenye akili binafsi zenye kufanya mambo ya hovyo kama mimi na wewe!

Wameona tatizo,badala ya kutatua kwa kutumia akili,wamefanya maamuzi ya chooni

Lazima tuwaseme na tu-demand answers from them,tumewapa ajira na tunawalipa!

We didnt employ them for this nonsense they are doing!

Acheni mihemko ya kipumbavu ya huko machakani Chattle,tunataka sober minds zenye kujua kucheza this economic chess!

Kaanza Kenya,watafata wengine kupiga ban,you dont have answers to all these coming tragedies!

Tunataka jawabu la kwanini wanatudanganya na korona,kwa evidences...hawana wanatuletea stori za Abbas and his minions eti "TZ hakuna corona" sababu madomo yao yanaweza funguka kutamka kitu....evidence?hakuna

Subiri anafuata SA,anakuja UG,then Rwanda,Ulaya na America ndio sahau kabisa....wait and see!
 

Vandetta

JF-Expert Member
Dec 5, 2013
685
500
Blah blah blah

Vindege vya mozambique ni mavi au nini?

Mizigo ya TZ 90% inapitia Nairobi,deal with it...Ndege za mizigo unazijua?

Na Nairobi kuna facilities ku-process mizigo,sio mozambique uwanja mavi zaidi ya KIA...

Ukisikia Nairobi Airport ni regional hub uelewe hilo,nobody is joking here!

Mtalii akitoka Ulaya,ni lazima apite Nairobi ndio aje TZ,shortest.....

Ukimzungusha J'burg basi huyo mzungu atabaki SA haruki huku mavini maana SA kuna mbuga inazizunguka za TZ mara 20....

We are playing with fire here...

Hawa viazi waje na majibu sahihi na kuhakikisha we win this na sio hizi shortcuts za mavichaa walizochukua

Tushapiga ban... We baki na tathimin zako za kikanjanja..
 

Vandetta

JF-Expert Member
Dec 5, 2013
685
500
Rais wako kakurupuka kwenye hili, angeweza kuonyesha busara kwa kuomba mazungumzo.. utadhania alikua anasubiria Kenya wachemke awafundishe ujeuri! Sijui nani kamshauri kufanya hivi, yaani anasahau Kama ni yeye ndie alitoa tausi! Lol

We kilaza wa kiwango cha SGR... Yaan umezuiwa halafu niombe mazunguzo???
 

Wyatt Mathewson

JF-Expert Member
Dec 22, 2017
9,041
2,000
Ona sasa unavyoongea upuuzi !
Unashindwa kuzibiti vidole vyako kuandika upuuzi.
Maamuzi ya ....... hebu niambie ni ya aina gani?
Upuuzi according to who?You?

Buaahaahahaha

Kama ni upuuzi umepitia na ku-comment,which means my post has a pull on you!

Who cares thereafter?Nobody!

Tumeyapa ajira hayo matakataka yafanye maamuzi sahihi kuhakikisha yanatetea our best economic interests at all costs,instead wameenda kufanya maamuzi ya mavi kama unavyowashabikia!

October 2020 tunafukuza kazi yote yakalime,tuweke wenye akili!

Yameshindwa kazi kabisa!
 

The best 007

JF-Expert Member
Oct 6, 2019
6,431
2,000
Nasikia wameufyata ila kwanini Wakenya ukigusa KQ wanasanda kama wameshikwa kende ...hata Mkwere alipunguzaga tu route wakanyooka vibaya ...

Ndio mjue hilo shirika hata kama linaendeshwa kwa hasara lakini taifa linapata faida kwa milango mingine muhimu zaidi ...
Katika hilo shirika la kq serikali ya kenya inamiliki ndege tatu tu nyingine zote ni za mabeberu so wamemshinikiza Kenyatta aombe radhi haraka cz hawako tayari kupata hasara na kwakuwa Kenyatta ana 10% ameufyata.
 

Coolhigh

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
715
500
Najiuliza kwanini wasingeenda Kenya au kumtumia balozi wetu kutatua kidiplomasia kuliko kujimwambafy?
Je umejiuliza pale China walipofunga ofisi ndogo ya ubalozi wa Marekani nchini China baada ya Wamarekani kuufunga wa China kule Marekani?
 

Emar

JF-Expert Member
Nov 15, 2018
851
1,000
Whom one mwenye akili?
Unawaza kwa kitumia nn !
Just look your self 90% people blame you instead ya kuukiri ukweli umeanza kutukana kama defence mechanism ya kukinga hoja zako
Alafu hebu jaribu kufikiri huyo mwenye Maamuzi ya kimavi leo hii uko huru kwenda huku na kule bila lock down na bila bugdha coz of him
- vituo bwelele vya afya
- wanyonge nao ni watu
- fly over dar kama mbele
-uchumi wa kati tuseme basi uchumi hauja reflect maisha ya watu but la serikali kuweza kujiendesha kasoro ya kusubiria misaada yenye masharti ya kuharibu wanao wa kiume
-sasa kwenye jamii kuna equality , no one above mwingine , maonez hamna
-Rushwa tunaisikia kwengine .
- Miradi ya trillion za pes a Kama S. Gauge

Kama utashindwa ku appreciate basi watoto wako watajutia siku moja kupata mzazi bure kama ww pamoja na hayo nahisi ww x mzima hebu jichunguze kdg
La mwisho jiandae kuangukia pua kama JPM atashindwa njoo chukua 5M kwangu. Ukitaka mawasiliano nitakupa ila kama akishinda ita prove ur nothing na hayo matusi yako hayaongozi nchi yatabaki kuwa matusi tu ya mitandao na kero kwa familia yako. Kwaheri
-
Upuuzi according to who?You?

Buaahaahahaha

Kama ni upuuzi umepitia na ku-comment,which means my post has a pull on you!

Who cares thereafter?Nobody!

Tumeyapa ajira hayo matakataka yafanye maamuzi sahihi kuhakikisha yanatetea our best economic interests at all costs,instead wameenda kufanya maamuzi ya mavi kama unavyowashabikia!

October 2020 tunafukuza kazi yote yakalime,tuweke wenye akili!

Yameshindwa kazi kabisa!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom