Mbolabilika
JF-Expert Member
- Jul 30, 2019
- 2,123
- 2,854
Kwahiyo ndege zinaweza kwenda bila ya abiria kutoka TANZANIA haijalishi awe mtanzania au mtu kutoka TANZANIA ndio waliozuia sababu ya korona au ndege tupu inakua na Corona?Mkuu naomba uiniekeweshe,je waliozuiwa kwenda Kenya ni watanzania au ni ndege za Tanzania?maana ninachojua Mimi wakenya wametangaza ndege za nchi 11 zinazoruhusiwa kutua kwenye viwanja vyao.