Serikali ya Kikwete Imefanya nini 2005-2015...

Serikali ya Kikwete Imefanya nini 2005-2015...

bei ya umeme juu.
huduma za afya hovyo
shule hovyo
maji taabu....
_________________
makusanyo ya kodi TRA wanavyunja rekodi
 
Kama hujaridhika na haya uliyaona pichani, huna tabia ya kuridhika na kuaprishieti, hata yakifanywa hayo uliyoyataja hapo juu hutaridhika pia.

MSALANI na jidodo
Hata mfanyize nini hakuna chochote mtachoweza kukibadilisha kwa hoyo ati ajiitaye Appriciator

Mja mkoswa na shukraan.
 
bei ya umeme juu.
huduma za afya hovyo
shule hovyo
maji taabu....
_________________
makusanyo ya kodi TRA wanavyunja rekodi

Kulalamika ndio tabia yako, hata uletewe maendeleo gani, utalalamika tu!
 
bei ya umeme juu.
huduma za afya hovyo
shule hovyo
maji taabu....
_________________
makusanyo ya kodi TRA wanavyunja rekodi

Hatupo hapa kishabiki bali kiueledi,
Hali hiyo hakuna hata katika sisi afuruhikayo nayo,
Na ndo kukicha watanzania sote wenye malezi na uzalendo huinyooshea kidole Serikali juu ya jambo hilo.

Weye umeleta elekezo gani juu ya sakata hilo ama ndo wale wenye kutukuliwa na mawimbi ya upepo tu?!
 
Hatupo hapa kishabiki bali kiueledi,
Hali hiyo hakuna hata katika sisi afuruhikayo nayo,
Na ndo kukicha watanzania sote wenye malezi na uzalendo huinyooshea kidole Serikali juu ya jambo hilo.

Weye umeleta elekezo gani juu ya sakata hilo ama ndo wale wenye kutukuliwa na mawimbi ya upepo tu?!
wewe mtanzania unaejitambua karibu ofisini kisutu.
 
Mkuu Annael endelea kuwawekea Picha! Mbona umeacha! Maandiko matakatifu yanasema usichoke kutenda mema, kwani utavuna kwa wakati.
 
wewe mtanzania unaejitambua karibu ofisini kisutu.

Kisutu nisikiapo napata khofu sana Mkuu Punjaj Singh maana pale nili..... si ni zao la Mahakama ya .....?!

Lakini umenistua na jina lako au uishapewa vitambulisho vya Uraia?

Tukichukua nchi, mawili tutafanyiza dhidi yenu;

(a) tutakufukuzeni hapa Tz

(b)Tutakucheni kama mtakuwa mnakichangia chama chetu maana sisi hatutaki kujua pesa imetoka wapi! tutakacho sie ni mapato/ kodi tu!.
 
Nimendawazimu tu atakaekubali kuindosha Serikali ya CCM kwa vile Rais Kikwete amesawazisha makosa yote ya nyuma
- Amejenga mabarabara mara mbili ya idadi ya kilomita alizozikuta
- Amejenga madaraja makubwa sana 3 kati ya 5 aliyoyaahidi Nyerere
- Ameleta vyuo vikuu zaidi ya 44 ? mara 4 zaidi ya waliowakuta
- Amewezesha wanafunzi 160,000 wa vyuo vikuu mara 4 zaidi ya aliowakuta
- Amejenga chuo kikubwa kuliko vyote EAC.
- Ameejenga chuo kikubwa cha sayari kwenye ukanda huu cha Nelson Mandera
- Amepeleka sekondari hadi kwenye kata
- Amezalisha umeme wa mega wait 1500 mara mbili zaidi ya alioukuta
- Ameanzisha umradi wa kupeleka umeme vijijini?
- Anajenga bomba la gesi kubwa toka Mtwara hadi DAR
- Anajenga barabara ya mabasi yaendayo haraka.
- Anayekubalika na viongozi wote wakubwa wa Dunia hii
- Aliyeanzisha hospital ya tiba ya moyo nchini
- Aliyesogeza huduma za afya karibu na wananchi
- Aliyejenga miundombinu ya afya
- Aliyeboresha huduma ya maji nchini
- Aliyeongeza ajira nchini
Jamani acheni mzaha si tutachekwa tukiiondosha CCM na kuwaweka vichaa?

kwa hisani ya watu wa marekani
 
kitu nachokumbuka kikubwa ambacho serikali ya kikwete imefanya ni
1.KUUA ELIMU TU,KWA HILO NAMPONGEZA SANA KIKWETE KWA MIPANGO YAKE YA DIVISHENI FIVE.HAKUNA ZAIDI ALICHOFANYA CHA MAANA
2. KUWALINDA MAFISADI NA WEZI WOTE WA MALI ZA UMMA
3. KUUA TEMBO NA KUWALINDA WAUZAJI WA PEMBE ZA NDOVU
4. KUUZA TWIGA UARABUNI NA KUWALINDA WAHUJUMU UCHUMI

kaka,, kama kuna mtu kafanya kizuri msifie tu,, haya mengine watafanya wengine, inawezekana akawa slaa na CDM au CCM tena,, lakini JK kafanya sehemu yake, hawezi kufanya yote ndio maana kapewa miaka 10 na chama chake baada ya hapo mtu mwingine au chama kingine kitakuja kufanya.. sasa kwa mfano asingejenga lile daraja mto malagalasi halafu akazibiti tembo wasife bado ungesema mbona hakujenga daraja..

hata hiyo CDM ikiingia madarakani isipopewa sapoti na raia we unafikili tutafika wapi, tumsapoti JK afanye yale ya muhimu!!!!! wabongo tuache siasa za unafiki, tusiwe kama wanasiasa ambao akili yao ni kwenda ikulu, na sio kuangalia hali halisi.

MBOWE, alishampongeza JK siku amekwenda kuzindua ile barabara ya hai, rejea ile hotuba yake MBOWE ile siku...

JK IS GOOD, HE HAS DONE HIS PARTY, I HAVE SEEN PHYSICALLY WITH MY TWO EYE.
 
Watandike na chuo kikuu cha Nelson Mandera Arusha.
imagejpeg
 
Kulalamika ndio tabia yako, hata uletewe maendeleo gani, utalalamika tu!

maendeleo pekee yaliyopo labda huu mfumo wa misukule kulipwa buk7, maisha bora kwa kili mtanzania yameshindikana!
 
yah limekamilika na mimi nimeshawahi kuingia kushughulikia mambo yangu

kwa akili yako ndogo unadhani maendeleo ni majengo? maendeleo ya kweli ni yale tu yanayogusa maisha ya kila siku ya wananchi ie,upatikanaji wa huduma za msingi kama afya,maji,umeme,elimu bora,makazi bora ya raia na si maofisi ya wachache, kama gharama za maisha zipo juu na haziendani na vipato vya wengi hakuna maendeleo hapo!
 
maendeleo pekee yaliyopo labda huu mfumo wa misukule kulipwa buk7, maisha bora kwa kili mtanzania yameshindikana!

Mbowe na chama chake wameshapoteza imani tuliokua nayo watz,Viti maalum mpaka awananilii ndio wapate hizo nyazifa,ruzuku za chama anajitafunia atakavyo,anasaidiwa na mafisadi kujenga chama na mbaya zaidi kwenye chama hizo pesa alizopata kwa mafisadi anazikopesha,Jengo la bilcanaz mkataba wake na NHC ni kanjanja,........
 
Mbowe na chama chake wameshapoteza imani tuliokua nayo watz,Viti maalum mpaka awananilii ndio wapate hizo nyazifa,ruzuku za chama anajitafunia atakavyo,anasaidiwa na mafisadi kujenga chama na mbaya zaidi kwenye chama hizo pesa alizopata kwa mafisadi anazikopesha,Jengo la bilcanaz mkataba wake na NHC ni kanjanja,........

propaganda za kitoto kabisa!
 
Mnatuzingua tu badala ya kushusha bei za bidhaa kama umeme,mafuta na chakula angalau yule bibi yangu kule kijijini apumue eti manatuwekea mipicha apa!wakuu tupieni na yale mapicha ya maccm kama wabunge wachapa usingizi manake hata yale ni maendeleo ya maccm!
 
Back
Top Bottom