Serikali ya Kikwete Imefanya nini 2005-2015...

TANROADS inasonga mbele...
TANROADS3.jpg

TANROADS4.jpg
 
Upuuzi mtupu hayo majengo watanzania yanawasaidia nini kama bei ya chumvi, ya sukari inapanda kila kukicha, kundi la vijana wasio na ajira linaongezeka maradufu. Sio kwamba serikal haijafanya lolote lakini yaliyofanywa hayajafika hata nusu ya yale tuliyoahidiwa mpaka tukawapa kura zetu, hivo ccm wamewataperi wapiga kura.
 
Ni maendeleo hayo siyo kuandamana na kupiga makelele tu pipooooz! magwanda yananuka jasho.

Mambo ya kilimo kwanza. Wewe endelea kuchonga tu sisi tunasonga mbele, Tutakuacha.
Kilimo1.jpg

Kilimo2.jpg
 
Twambie ni kwa kiwango gani ya watanzania zaidi ya 90% ambao wanaishi kwa kilimo ni kwa vipi JK amewaboreshea maisha yao. Nyingi ya nyumba zao bado ni mbavu za mbwa. Hospital nzuri kwao ni zile zilizojengwa na wamisionari kabla ya nchi kupata uhuru. Viwango vyake vilikuwa bora zaidi ya leo. Watu hawa ndio wanawafitini watoto wasifaulu darasa la 7 kwa kuchelea kushindwa karo ya 20,000. Maji safi na salama ni ndoto pamoja nakupatikana mbali na maskani yao. Watoto wanafeli kwa viwango vikubwa. Ukienda polisi au mahakamani unanua karatasi za kuandikia kesi yako huko vijijini. Zimejengwa zahanati zisizo na dawa. Reli zimehujumiwa ili mkopo uimarishe barabra ili magari ya mafisadi yaweze kudumu ktk kusafirisha mizigo na abiria kwa gharama kubwa, akinyonywa mkulima kwa kulipa gharama za usafirishaji na mkulima atalipa mkopo unaochukuliwa kila uchao. Nitaendelea.,.,.,.
 
Ninakuja tena kuleta yale yaliyofanywa na serikali. Kama unahasira vimba upasuke, kama unawivu jinyonge.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom