Serikali ya Kikwete Imefanya nini 2005-2015...

Serikali ya Kikwete Imefanya nini 2005-2015...

Emc2

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Posts
16,808
Reaction score
16,961
Naomba tujikite kwenye thread. Ikiwezekana tupia picha.
Matusi na kuongea mtu sio mazuri kwa GT.
attachment.php
 

Attachments

  • MOI.jpg
    MOI.jpg
    91.4 KB · Views: 5,147
Akili fupi hii, gesi ilinayochimbwa leo unafikiri iligunduliwa mwaka jana? Hivyo na uwekezaji na mipango mingine pia utekelezaji wake ni hatua. "Mtaji wa mjinga ni majungu" We endelea kupiga majungu Serikali inapiga kazi.
 
Rapid Transport ndani ya jiji la Dar es Salaam
BTR.jpg
 
Kikwete amekula "mfupa uliomshinda fisi" wache wakae na majungu yao. Bandika picha mwanangu wapi daraja la kigamboni?
 
Ccm hawatakiwi kujinadi kwa nguvu na jasho ila umri wao ktk siasa na sera zao na kiwango cha utekelezaji wa sera zao wananchi wakiviona hivyo,hakuna wakuibeza ccm.lakini kama ni maneno na maandishi tu hata mwana ccm ataikana ccm.
 
Mji wa Dar kupambwa na magorofa ya Kisasa kabia
hili hapa ni la Agens ya serikali
TPA (Tanzania Port Authority)
TPA1.jpg TPA2.jpg

TPA3.jpg
Kazi inafanyika kama hapo juu.
 
jk noma kwelii kafanya mambo makubwa sana kathubutu na sasa anasonga mbele.
 
Back
Top Bottom