Hizo picha zote tulizo kuwekea. Utakuwa na tatizo wewe.kitu nachokumbuka kikubwa ambacho serikali ya kikwete imefanya ni
1.KUUA ELIMU TU,KWA HILO NAMPONGEZA SANA KIKWETE KWA MIPANGO YAKE YA DIVISHENI FIVE.HAKUNA ZAIDI ALICHOFANYA CHA MAANA
2. KUWALINDA MAFISADI NA WEZI WOTE WA MALI ZA UMMA
3. KUUA TEMBO NA KUWALINDA WAUZAJI WA PEMBE ZA NDOVU
4. KUUZA TWIGA UARABUNI NA KUWALINDA WAHUJUMU UCHUMI
We kalia kuchonga mdomo tu. Piga kazi sisi tunakuonesha fursa zilizopo kwa sasa wewe umekalia umbea umbea tu.Nikiamka tu nayaona hayo yote pamoja na Tembo, vifaru na misitu yetu ya asili kupotea, vita ya wakulima na wafugaji, thiki ya waliozaliwa juu ya madini kama nyamongo wanavyoteseka, madawa ya kulevya, Mapesa kujaa benki za nje kama zile chache za uswisi n.k
Unataka uletewe Sinia la ubwabwa nyumbani sio?
View attachment 126587
Wodi ya kina mama wajawazito hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam
View attachment 126595
Darasa la tatu katika shule ya msingi huko Mvomero ambalo fedha zake za ujenzi zilirudi Hazina kwa vile mwaka wa fedha ulikuwa umeisha na hazijatumika.
View attachment 126596
darasa la shule ya msingi huko Geita sio mbali sana na moja ya migodi mikubwa ya dhahabu barani Afrika wa GGM.
View attachment 126598
Elimu inatolewa kwa kila mtoto, na mkuu ameahidi kuharakisha mafunzo ya computer haraka sana kwa wanafunzi wote wa level hii.
JEE MAENDELEO YA KUJIVUNIA NI KUJENGA MAJENGO YA GHOROFA MIJINI PEKEE?