Serikali ya Kikwete Imefanya nini 2005-2015...

Serikali ya Kikwete Imefanya nini 2005-2015...

Mbowe hawezi toa kioja kama hiki!Mmetunga tu kama mlivyo tunga juzi kuwa JK ndiye "ataongoza"mazishi ya Mzee Mandela

Nipe link yyt ile tofauti na ya Lumumba7FC inayo onyesha kauli hii!Sera za CCM zimeshindwa kuongoza

Kazi kwako;

[video=youtube_share;vlH-YG_Kmnw]http://youtu.be/vlH-YG_Kmnw[/video]
 
Kazi kwako;

[video=youtube_share;vlH-YG_Kmnw]http://youtu.be/vlH-YG_Kmnw[/video]
Hawa watu ni majnoon, wasikushuhulishe; wao wameshaamua kuwa wasimamia umajnoon basi kila kitu ni kubisha tu. Sasa wanakaidi hata maneno aliyotoa bosi wao. Si ajabu wakaja kwambia hii video imepikwa-Indio umajnoon huo walionao.
 
Nami nakubaliana na wewe kwamba kilimo ndio uti wa mgongo wa Taifa letu, lakini ebu leo hii tujiulize sote mimi na wewe tukafanikiwa kuboresha kilimo 100% kule vijijini lakini chakula kile ambacho wakulima wale wamekipata hawawezi kusafilisha kwenda sokoni kwa sababu ya barabara,bado kilimo kile hakina tija kwa sababu mazoa yataoza .mf mimi naishi mikoa hi ya Rukwa ,tunazalisha chakula kwa wingi sana lakini barabara zetu hazifikiki kwa msimu wote wa mwaka kwa hiyo tunashindwa kuuza mazoa ya ziada.kwetu sisi barabara ndio kipaumbele as longo bado tunauwezo wa kuzalisha chakula cha kutoshelezea mahitaji yetu ya mwaka.

Ndugu yangu Myanguneni mambo haya yanakwenda Pamoja na Kiuhalisia hata sehemu zenye usafiri ni kichekesho sana kwani juhudi zinaonekana kufanywa kwa kubahatisha au bila kuwa na malengo halisi ya kumkomboa mkulima hebu imagine Mkulima wa Kiteto ambaye barabara siyo changamoto kubwa kama huko Rukwa analima Mahindi na kuyapeleka soko la Kibaigwa Dodoma tathmini ,jaribu kutathmini bei anayouza na toa na gharama za pembejeo kwa mkulima wa kawaida atalima mpaka Yesu atakaporudi na hatafanikiwa...Tazama maeneo kama Ifakara yanafikika kwa urahisi lakini kutokana kukosekana kwasera zinazomlinda Mkulima katika suala la masoko na bei ya mazao Mchele"super" kwa mwezi uliopita ulikuwa unauzwa kwa shilingi 700 kwa kilo na zungumzia Ifakara ambapo panafikika na nikaribu kabisa na Walaji.

Kimsingi ni kwamba mipango ya maendeleo inafanyika kwa dharula au kwa kubahatisha na nahisi bila kushirikisha kikamilifu wataalamu wanyanja zote . Hata vyuo vikuu na vile vishiriki vinavyojihusisha na kilimo utakuta uwekezaji wa serikali ni mdogo sana na tunakimbilia kuwekeza mamilioni kwenye vyuo vya kisiasa tu na mabo mengine ya ajabuajabu ambayo kimsingi na kimaadili si vema kuyaweka hapa .
 
Kuanzisha div. 5, na kusamehe wezi wa mali za umma,kama wale wa Epa, pia amejitaidi kusafiri sana duniani, bila kusahau kuficha majina ya wauza unga!
 
Tumevuka changamoto nyingi tunasonga mbele
 
Nimendawazimu tu atakaekubali kuindosha Serikali ya CCM kwa vile Rais Kikwete amesawazisha makosa yote ya nyuma
- Amejenga mabarabara mara mbili ya idadi ya kilomita alizozikuta
- Amejenga madaraja makubwa sana 3 kati ya 5 aliyoyaahidi Nyerere
- Ameleta vyuo vikuu zaidi ya 44 ? mara 4 zaidi ya waliowakuta
- Amewezesha wanafunzi 160,000 wa vyuo vikuu mara 4 zaidi ya aliowakuta
- Amejenga chuo kikubwa kuliko vyote EAC.
- Ameejenga chuo kikubwa cha sayari kwenye ukanda huu cha Nelson Mandera
- Amepeleka sekondari hadi kwenye kata
- Amezalisha umeme wa mega wait 1500 mara mbili zaidi ya alioukuta
- Ameanzisha umradi wa kupeleka umeme vijijini?
- Anajenga bomba la gesi kubwa toka Mtwara hadi DAR
- Anajenga barabara ya mabasi yaendayo haraka.
- Anayekubalika na viongozi wote wakubwa wa Dunia hii
- Aliyeanzisha hospital ya tiba ya moyo nchini
- Aliyesogeza huduma za afya karibu na wananchi
- Aliyejenga miundombinu ya afya
- Aliyeboresha huduma ya maji nchini
- Aliyeongeza ajira nchini
Jamani acheni mzaha si tutachekwa tukiiondosha CCM na kuwaweka vichaa?
 
Sasa hivi Tanzania ndiyo inaongoza katika Afrika Mashariki, kati na kusini kwa kuwa na bei nafuu katika mahitaji muhimu kama vyakula, sukari, mafuta ya kula, sabuni nk. Wananchi wana unafuu mkubwa kulinganisha na majirani zetu.
 
Serikali ya Mkapa ilifanya nini tangu 1995-2005?
Kisha katafute kitabu cha Mkapa alichomgeiya Kikwete na jibu la Kikwete utalipata mwenyewe baada ya yale aliyoyaacha Mkapa,

Sasa utafanya balancing na baada ya hapo rejea hapa jamvini utambie nasi tuanze kuchambua.
 
Wewe fanya summary hayo ya mkapa yalete hapa mjadala uendelee. Kwani watanzania hawana utamaduni wa kusoma vitabu, wanataka kuona kwa macho.

Serikali ya Mkapa ilifanya nini tangu 1995-2005?
Kisha katafute kitabu cha Mkapa alichomgeiya Kikwete na jibu la Kikwete utalipata mwenyewe baada ya yale aliyoyaacha Mkapa,

Sasa utafanya balancing na baada ya hapo rejea hapa jamvini utambie nasi tuanze kuchambua.

Ukitaka kujua Mkapa alifanya nini angalia haya aliyoyafanya Kikwete utapata jibu.
- Amejenga mabarabara mara mbili ya idadi ya kilomita alizozikuta
- Amejenga madaraja makubwa sana 3 kati ya 5 aliyoyaahidi Nyerere
- Ameleta vyuo vikuu zaidi ya 44 ? mara 4 zaidi ya waliowakuta
- Amewezesha wanafunzi 160,000 wa vyuo vikuu mara 4 zaidi ya aliowakuta
- Amejenga chuo kikubwa kuliko vyote EAC.
- Ameejenga chuo kikubwa cha sayari kwenye ukanda huu cha Nelson Mandera
- Amepeleka sekondari hadi kwenye kata
- Amezalisha umeme wa mega wait 1500 mara mbili zaidi ya alioukuta
- Ameanzisha umradi wa kupeleka umeme vijijini?
- Anajenga bomba la gesi kubwa toka Mtwara hadi DAR
- Anajenga barabara ya mabasi yaendayo haraka.
- Anayekubalika na viongozi wote wakubwa wa Dunia hii
- Aliyeanzisha hospital ya tiba ya moyo nchini
- Aliyesogeza huduma za afya karibu na wananchi
- Aliyejenga miundombinu ya afya
- Aliyeboresha huduma ya maji nchini
- Aliyeongeza ajira nchini. Tatizo la ajira nchi ni 20% ukilinganisha na Kenya 40% A. Kusini 40% . kwa mujibu wa Takwimu za ILO na UNDP.
 
Ahsanta duchi, sasa kwa ihsaani yako mkaribishe Appreciate aje akusome japo kwa kejeli zake hizo huenda akiambulia chochote hapa.
 
Ahsanta duchi, sasa kwa ihsaani yako mkaribishe Appreciate aje akusome japo kwa kejeli zake hizo huenda akiambulia chochote hapa.

Hongera Duchi hii ni hesabu rahisi ameitoa hata mwenye akili ndogo anainailewa nami ngoja ni nisaidae kwa summary hii
1. Kwa miaka 7 amejenga barabara mara mbili zaidi ya awamu zilizo tangulia.
2. Madaraja makubwa yalihitajika 5 yeye amejenga 3 kati ya hayo
3. Kwa miaka yake 7 Vyuo vikuu vimekuwa ni mara 4 zaidi ya alivyovikuta.
4. Amezalisha umeme mara mbili zaidi ya awamu zilizotangulia
5. Waliounganishiwa umeme ni mbili zaidi ya awamu zilizotangulia
6. Sekondari kila kata.
7. Pamoja na maajabu mengine kama
-Chuo kikubwa kuliko vyote EAC,
-Chuo cha Sayansi kikubwa kuliko vyote EAC,
-Barabara ya mabasi yaendayo haraka.
-Bomba la gesi
-Daraja la Kigamboni
-Katiba mpya
-Vitambulisho vya Taifa.
Kwa kasi hii CCM 2015, wapinzani watawatimuliwa vumbi tu.
 
maendeleo embu tuwekee alivyodhibiti foleni dar? embu wekeni flyover? alizoahidi? embu wekeni reli ya kisasa pamoja n'a mabehewa 200?

Kama hujaridhika na haya uliyaona pichani, huna tabia ya kuridhika na kuaprishieti, hata yakifanywa hayo uliyoyataja hapo juu hutaridhika pia.
 
maendeleo embu tuwekee alivyodhibiti foleni dar? embu wekeni flyover? alizoahidi? embu wekeni reli ya kisasa pamoja n'a mabehewa 200?

"Hata Roma haikujengwa kwa siku moja" Je huna macho kuona ujenzi unaoendelea? au kuna siku ulikuja Dar wakati wa X-mas ukaona foleni basi ndiyo iliyokichwani mwako?
 
Back
Top Bottom