Job K
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 9,314
- 7,167
Kweli ni kichaa tu ambaye haoni mafanikio ya JK
Ni taahira tu anayefikri kuwa haya maendeleo yameletwa na Kikwete!! Hata kama tungekuwa na Rais mwehu kwa mikopo hii lazima anagejenga miradi mingi tu!! Huyu aliingia madarakani kukiwa na deni lisilozidi 6 trillion, sasa hivi limefikia trillion 27 na mpaka anaondoka litakuwa limefikia trillion 30. Sasa hapo kipi cha ajabu?
Namhurumia sana Rais atakayefuatia awamu hii ya zombi.e!!