Mama Salma Kikwete, unafiki si mzuri

Mama Salma Kikwete, unafiki si mzuri

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
18,181
Reaction score
29,916
Sasa basi

-------
Mbunge wa Jimbo la Mchinga Salma Kikwete akizungumza nyakati tofauti Bungeni Dodoma, akisifia Uongozi wa Rais Samia ulivyoleta maendeleo Jimboni kwake ikiwemo miundombinu ya Barabara

"Hakuna mbunge yeyote humu ndani atakayesimama, bila kueleza mazuri aliyoyafanya Mheshimiwa Rais katika jimbo lake. Ukienda kwenye barabara, amefanya makubwa..."

Take Two
Mei 21, 2026 Kwa wakati wingine tena anasimama bungeni akitoa hoja Jimbo la Mchinga kukosa barabara ya lami

"Jimbo la Mkinga halina lami hata kidogo! Halina lami hata kidogo. Hata kile kilomita moja sio nukta mbili kwenda kwenye shule ya wasichana, imejengwa hivi karibuni, leo napata taarifa daraja lile limesink . Sasa huu ni ujenzi wa aina gani?"



Soma pia

 
Back
Top Bottom