Serikali ya China inafanikiwa vipi kufanya biashara huku Tanzania tukiaminishwa Serikali haiwezi chochote(Biashara na huduma)

Ila tunapaswa kufahamu kuwa ufisadi upo duniani kote hata huko uchina upo ila Je, mbinu gani inatumika kukabiliana nao ? Hapa ndipo ulipo utofauti baina yetu na wao.
Uchina risasi hadharani,nyonga hadharani,ama kwa ufisadi au hujuma kwa taifa,ndio maana wanaa wa ulaya na Amerika wanawaona Gere na kuwapigia milele miiingi,kwani wana jua hayo hawataweza kwao,na hivyo mchina na wengine wa style hiyo lazima wawaache mbali mno,siku sio nyingi 😂😂😂.
 
Awamu ya kwanza waliyaona haya mapema.
Hawakufanikiwa moja ya sababu ikiwa ni kutokuweka Sheria Kali Sana dhidi ya wezi. Walidhani watakao kuja watakuwa waadilifu kama wao.
Awamu ya pili walivyo legeza Tu basi watu wakaanza kujipigia.
Nasisitiza hali yetu iko duni ni kwa sababu kuu mbili,,: kukosa uzalendo na wizi ( ufisadi, tamaa)
 
Uchina risasi hadharani,nyonga hadharani,ama kwa ufisadi au hujuma kwa taifa,ndio maana wanaa wa ulaya na Amerika wanawaona Gere na kuwapigia milele miiingi,kwani wana jua hayo hawataweza kwao,na hivyo mchina na wengine wa style hiyo lazima wawaache mbali mno,siku sio nyingi .
Bila kufanya hivyo ni kazi bure. Angalia bongo wezi nanavyo tukuzwa
 
Awamu ya kwanza waliyaona haya mapema.
Hawakufanikiwa moja ya sababu ikiwa ni kutokuweka Sheria Kali Sana dhidi ya wezi. Walidhani watakao kuja watakuwa waadilifu kama wao.
Awamu ya pili walivyo legeza Tu basi watu wakaanza kujipigia.
Nasisitiza hali yetu iko duni ni kwa sababu kuu mbili,,: kukosa uzalendo na wizi ( ufisadi, tamaa)
Unaweza kukuta wezi kadhaa uwezo wao ni sawa au zaidi ya benki yetu kuu😂😂😂.
 
Awamu ya kwanza waliyaona haya mapema.
Hawakufanikiwa moja ya sababu ikiwa ni kutokuweka Sheria Kali Sana dhidi ya wezi. Walidhani watakao kuja watakuwa waadilifu kama wao.
Awamu ya pili walivyo legeza Tu basi watu wakaanza kujipigia.
Nasisitiza hali yetu iko duni ni kwa sababu kuu mbili,,: kukosa uzalendo na wizi ( ufisadi, tamaa)
Hatukuwa na misingi mizuri ya kuendesha vitu vya umma katika mafanikio sioni kama tumezitatua hizi changamoto
 
Uchina risasi hadharani,nyonga hadharani,ama kwa ufisadi au hujuma kwa taifa,ndio maana wanaa wa ulaya na Amerika wanawaona Gere na kuwapigia milele miiingi,kwani wana jua hayo hawataweza kwao,na hivyo mchina na wengine wa style hiyo lazima wawaache mbali mno,siku sio nyingi 😂😂😂.
Mambo magumu
 
Swali mezani:
Serikali ya uchina inafanikiwa vipi kufanya biashara na kutoa huduma kwa mafanikio makubwa kwa kutikisa dunia huku Tanzania tukiaminishwa serikali haiwezi vyote ila ubinafsishaji unaweza?

In fact, 71% of China's Fortune 500 companies are state-owned. State ownership is most common in China's strategic sectors, such as energy, telecommunications, and banking.

Over 150,000 SOEs dominate China's economy, 98 of these SOEs are owned by the central government. A government entity called the “State-owned Assets Supervision and Administration Commission” is in charge of these companies. Other SOEs are managed by entities similar to the SASAC at the provincial and local levels of government.
Swali zuri sana ila jibu unalipata kwa kwenda kumsoma na kujua reforms zilizofanywa na Deng Xiaoping kuitoa china kwenye uchumi wa kijamaa na kuipeleka kwenye market economy na kuasi sera za Mao,pia aliifungua china kwa kukaribisha wawekezaji wageni na kurudisha mahusiano ya kidiplomasia na biashara na marekani na kutenga maeneo ya zile special economic zones na hizo reforms ziliasisiwa mwaka 1978 matunda yake ndio hii China ya sasa. Swali sisi tulikuwa tunafanya nini kipindi hicho hadi sasa unataka tufanane hatuwezi kufanana na pia huwezi kuchukua makosa ya sera zetu ya kiuchumi ya miongo kadhaa na kulaumu leo ni jambo la busara na vizuri kwa kinachofanyika sasa na ndicho wachina walifanya hivyo huko zamani sana .
 
Tanzania tunaweza pia...

Kitu cha kwanza tubadilishe sheria zetu kuhusu ufisadi na mambo yanayoendana na hayo

Iwe ni marufiku kuzifanyia uhujumu wa aina yeyote mali za umma, adhabu yake iwe kifo

Jambo la pili tutengeneze demokrasia inayoendana na mazingira ya nchi yetu, tuwe na upinzani wenye lengo la kukosoa penye kosa kwa lengo la kujenga na sio kupinga kila kitu kwa chuki...

Tunaweza.
 
Ni kipi ambacho tunafanya sisi sasa wachina walifanya zamani ?
 
Swali mezani:
Serikali ya uchina inafanikiwa vipi kufanya biashara na kutoa huduma kwa mafanikio makubwa kwa kutikisa dunia huku Tanzania tukiaminishwa serikali haiwezi vyote ila ubinafsishaji unaweza?

In fact, 71% of China's Fortune 500 companies are state-owned. State ownership is most common in China's strategic sectors, such as energy, telecommunications, and banking.

Over 150,000 SOEs dominate China's economy, 98 of these SOEs are owned by the central government. A government entity called the “State-owned Assets Supervision and Administration Commission” is in charge of these companies. Other SOEs are managed by entities similar to the SASAC at the provincial and local levels of government.
China wafanyakazi Serikalini wakiiba wananyongwa ndio maana Serikali inaweza kufanya Biashara !!
 
Tanzania tunaweza pia...

Kitu cha kwanza tubadilishe sheria zetu kuhusu ufisadi na mambo yanayoendana na hayo

Iwe ni marufiku kuzifanyia uhujumu wa aina yeyote mali za umma, adhabu yake iwe kifo

Jambo la pili tutengeneze demokrasia inayoendana na mazingira ya nchi yetu, tuwe na upinzani wenye lengo la kukosoa penye kosa kwa lengo la kujenga na sio kupinga kila kitu kwa chuki...

Tunaweza.
Pamoja sana
 
Ni mwendo wa dili . Sasa tufanye nini kuondoa hilo ?
Kwa bahati mbaya sana Namna ya kutatua huo upumbavu haipo, kwa sababu walio kwenye mfumo wakiondoka wanaweka watu wao ili milija iendelee kutiririsha kuelekea kwao

hata wakiwa kwenye kikao Chao cha chama alafu likatokea tetemeko kama lile la Libya wafe wote bila kupona hata mmoja bado hatuko salama kwa sababu mizizi yao ipo itachipua majani tena
 
Back
Top Bottom