China mbioni kuchukua uendeshaji wa reli ya TAZARA

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,054
49,738
My Take
Kuliko kuendelea kuwa na reli inayoleta hasara,Tanzania na Zambia zimpe Mchina.

Naunga mkono ubinafsishaji wa Tazara na Mashirika mengine yote yanayotupa hasara au laa yafutwe kabisa.

===========

CHINA WANTS TO TAKE OVER THE OPERATIONS OF TAZARA

China has quietly been in talks with the governments of Tanzania and Zambia over the past few years on the possibility of operating the underperforming Tanzania-Zambia Railway Authority (TAZARA)

The Chinese-built railway connecting the two neighbouring countries was constructed in the 1970s, but has largely been operating significantly below capacity.

China owns copper mines in Zambia, Africa’s second-largest producer of the strategic metal, and may be looking to export copper shipments more efficiently via TAZARA through the Dar es Salaam port by operating the railway line itself

Although Tanzania and Zambia hold joint and equal shares in TAZARA, under the governance structure the MD comes from Zambia and the Deputy MD is appointed from Tanzania

During Tanzanian President Samia Suluhu Hassan's current state visit to Zambia, the future of TAZARA will be high on the agenda at bilateral talks with her host, President Hakainde Hichilema

The two leaders could make a decision on China's request for a 20-year concession to operate TAZARA

Tanzania Business Insight
 
Nilipata bahati ya kusafiri na reli hii.
Ni miongoni mwa reli nzuri na kubwa kwa ya kimataifa upande huu wa SADC ukiachana na Rovoos ya afrika kusini.

Nadhani ni wakati sahihi wa Tazara kupanuliwa na iwe angalau inafika Lusaka, na pia miundombinu iliyopo sasa iboreshwe iendene na kasi ya karne ya ishirini na moja.
Tazara ni njia kuu ya utalii pamoja na biashara baina ya nchi hizi mbili na si vibaya kama itaongeza njia zaidi huko mbeleni ikafika mpaka Livingstone na Ndola kwa sababu uwezo uo upo baina ya hizi serekali mbili.
 
Sasa serikali ingefuta karibia wizara zote ibakie ya fedha, wizara ya michezo na wizara ya utalii pia wizara ya wanawake na watoto.

Kila kitu tunashindwa kusimamia jamani?

Tusimung'unye maneno CCM imeshakata pumzi mazima
Mashirika yaliyoundwa yaingize faida Kwa kufanya biashara na yakashindwa ndio yabinafsishwe.

Wizara na Biashara wapi na wapi?
 
Nilipata bahati ya kusafiri na reli hii.
Ni miongoni mwa reli nzuri na kubwa kwa ya kimataifa upande huu wa SADC ukiachana na Rovoos ya afrika kusini.

Nadhani ni wakati sahihi wa Tazara kupanuliwa na iwe angalau inafika Lusaka, na pia miundombinu iliyopo sasa iboreshwe iendene na kasi ya karne ya ishirini na moja.
Tazara ni njia kuu ya utalii pamoja na biashara baina ya nchi hizi mbili na si vibaya kama itaongeza njia zaidi huko mbeleni ikafika mpaka Livingstone na Ndola kwa sababu uwezo uo upo baina ya hizi serekali mbili.
Wafanye hayo private sector kuliko kupoteza Kodi zetu Kwa kufanya betting
 
Kama unajua una low IQ Sasa si wenye high IQ wakusaidie? Vinginevyo hakuna kitakachobadilika.

Kodi tunazopeleka Kuendesha Kwa hasara zingefanya mambo ya msingi
Sasa kwa nini ulitaka Uhuru kutoka kwa Wakoloni? Maana tulitaka kupata Uhuru ili tufanye mambo wenyewe, kwa hiyo unakubali kuwa waliopigania Uhuru walikuwa limbukeni? Maana kila kitu sasa hivi ni wageni; Shule nzuri, hospitali nzuri, bandari, kila kitu !!
 
CHADEMA wameongoza nchi mwaka gani?
Tufike mahali tujivunie utawala bora na maendeleo ya nchi na wananchi wake.Kweli wewe mkuu unawapongeza watawala kwa kua na ofisi nzuri,ambazo zinatumika kusainia mikataba tata baada ya kupewa nchi miaka zaidi ya 60 iliyopita?
Ukiitwa uongee mafanikio ya serikali yetu,toka tupate uhuru,utasema serikali ya chama flani imeweza kuje ga ofisi?
Sorry mkuu,kama ntakua nimekukwaza,ila naomba tuangalie vitu,kwa mawanda mapana.
 
Back
Top Bottom