heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 5,752
- 8,693
...............................cha ajabu hawatopata mimba kabisaaa saivi wanaenda kwa mpalange mimba wapate saa ngapi
Sabaya kapuku? Nyie endeleeni kujidanganya and muwadunge Mimba hao watoto ndipo utajua kama jela ni ya makapuku au walizonazoUlimuona nani katandikwa miaka 30? Jela hufungwa makapuku wenye nazo wanapeta tu.
Nina mabinti wawili. Najitahidi sana niwalee katika misingi bora ili nao wawe wazazi bora hapo baadae.Wewe unataka mzazi aue mwanae kwasababu kamletea wajukuu?
Au unataka mzazi achukie na akatae mwanae kuendelea na masomo?
Acha kupromote ubakaji we kolo, mashabiki wa Simba mbona mnapenda sana mambo ya ovyo?Yes na adhabu ya miaka 30 kwa kijana aliyempa mimba mwanafunzi inabidi ifikiriwe zaidi, ikiwezekana isiwepo kabisa
Inshu nikwamba yeye mwenye muhusika ukute Hana uhitaji na hiyo Elimu akaona ajibebee mimba ili aache Shuleanaepinga waliozaa kurudi masomoni hana akili timamu,
over mjadala uishie hapa
Prof ni wa Kwa zitto nilidhani Niko peke Yangu .tuko wengi.Huyu profesa huwa simwelewi
Tujifunze Kenya, tujifunze Malawi, tujifunze Gabon nk ,,Nina mabinti wawili. Najitahidi sana niwalee katika misingi bora ili nao wawe wazazi bora hapo baadae.
Nikuulize. Ushawahi kusikia binti wa kizungu kapata mimba shuleni, akaenda kujifungua halafu akarudi kuendelea na masomo? Je, unajua programme hii huko Marekani ni kwa ajili ya African Americans na Latinos tu? Kwanini?
Mkuu maji ya dasani yameadimika sokoniKunywa maji kwanza..🤣🤣
Sina uhakika kama maswali yangu umeyaelewa. Ungeyaelewa ungelinijibu kiufasaha.Tujifunze Kenya, tujifunze Malawi, tujifunze Gabon nk ,,
Tusikomaze shingo wakati hatujawai kujalibu.
Nimekuelewa,,,Sina uhakika kama maswali yangu umeyaelewa. Ungeyaelewa ungelinijibu kiufasaha.
Ukishatoka jela si utakuta Moto kashakuwa mkubwa na ana jitegemea kiuchumi unaenda kuishi kwakeMtupunguzie na adhabu .
30 nyingi
Ahahahahahahahaha!Nimekuelewa,,,
Usisahau kuwa bado kama nchi masikini tunastruggle kujikwamua kutoka huku tuliko,,, elimu ni moja ya factor muhimu.