Maendeleo gani yakufundisha watoto uzinzi...Alafu hiyo lugha tu yako inakuonyesha u binadamu wa desturi gani no wonder unashadadia watoto wetu wapewe motisha za kuendeleza uzinzi mashuleniKwani akibeba mimba wazazi wanaacha kulipa kodi!?? Kwanin abaguliwe? Watu wapumbavu kama wew ni hatari sana kwa ustawi wa jamii inayotafuta kuendelea,,hunyumbuliki!! Uko kama jiwe tu,ulimwengu uko kasi sana kwa sasa nchi ilitakiwa kujadili kwenda anga za juu sio ujinga eti mtoto wa flani kabeba mimba asiende shule!!! Boresha maisha ya wtz muone kama hizi mimba zitakuwepo,, wanaobeba mimba wengi ni watoto wa maskini hali ngumu za maisha zinawafanya kutumbukia katika janga hilo