Unfortunately hakuna mtu, kikundi au taasisisi inayoweza kupambana na kanisa ikashinda!
Hii inatokana na Yesu Kristo kumwambia Petro kuwa, 'juu ya mwamba huu, nitalijenga kanisa ambalo milango ya kuzimu haiwezi kulishinda'.
Pia utaona katika kitabu cha Daniel 4, mfalme Beltshaza (kama sikosei) alivyo ondolewa madarakani na kupelekwa nyikani akale majani kama ng'ombe hadi vipindi saba vipite ili 'ajue ya kuwa Mbingu (kanisa) ndio zinazotawala' na ya kwamba Mungu baba humuweka madarakani yeyote amtakaye...