Serikali Tuachieni wana CCM tupambane na TEC

Serikali Tuachieni wana CCM tupambane na TEC

Waknushe mara mbili,mbina ndio hivyo vifungu Mwabukusi walimtuma apeleke mahakamani nae akashindwa?

Kinachofanywa hapa ninudini wala sio vifungu
😂😂😂😂Ile hukumu Samia asingekuja mbeya ndo ungejua kama vmeshinda mahakamani
 
Naishauri Serikali yangu isihangaike na TEC; hili suala tungeachiwa CCM tunajua fitina za kushughulika na hawa watu sisi ndio chama Dume tuliyopigania na kudumisha uhuru wa nchi hii kwa miaka zaidi ya 60.

Maendeleo mnayoyaona hayakuja kwa bahati mbaya ni mipango madhubuti ya Chama Cha Mapinduzi. Hili suala tuachiwe sisi naona kama serikali itajipa majukumu mepesi wakati mambo ya kufanya ni mengi.

CCM Oyeee.

Bandari sio swala la Chama kuna wanaopinga au kuungamkono kutoka kila pande. Hili ni swala la nchi. Pili wadau wanataka marekebisho ya mkataba je nyie hamtaki mkataba mzuri? Wakati mwingine wadau kama huyu hawajui hata wanataka nini
 
Wewe mtoto wa juzi huelewi hii nchi imetoka wapi waulize baba zako.

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Nchi ina rasilimali kila aina na bado masikini na viongozi wake wanajisifu wanaongoza hii nchi.
Inaenda wapi nchi bado masikini sana hii.
Tangu uhuru matatizo ni yale yale matundu ya choo, maji, umeme, madawa, barabara na madawati.
 
Bandari sio swala la Chama kuna wanaopinga au kuungamkono kutoka kila pande. Hili ni swala la nchi. Pili wadau wanataka marekebisho ya mkataba je nyie hamtaki mkataba mzuri? Wakati mwingine wadau kama huyu hawajui hata wanataka nini
CCM inaunga mkono, Bunge linawakilisha wananchi limeridhia, Mahakama Kuu ya Tanzania imeridhia hako kakikundi ka TEC wao ni nani kuipinga serikali?

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom