Serikali Tuachieni wana CCM tupambane na TEC

Kwanza unatakiwa uijue TEC vizuri ndio unaweza kupambana. Hao sisiemu unaosema waachiwe TEC leo walikuwa ibadani na kumshukuru MUNGU kwa yote anayoyatenda
We mtoto mdogo sana fitina za kisiasa nchi hii zimeasisiwa na CCM sasa hao TEC kama wao wanajifanya wanajua sana basi wasubiri majibu.

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Naishauri Serikali yangu isihangaike na hako kakikundi ka wanaojiita TEC hili suala tuangeachiwa CCM tunajua fitina za kushughulika na hawa watu sisi ndio chama Dume tuliyopigania na kudumisha uhuru wa nchi hii kwa miaka zaidi ya 60. Maendeleo mnayoyaona hayakuja kwa bahati mbaya ni mipango madhubuti ya Chama Cha Mapinduzi. Hili suala tuachiwe sisi naona kama serikali itajipa majukumu mepesi wakati mambo ya kufanya ni mengi.

CCM Oyeee.
 
Hakuna chama cha siasa chenye watu

Makanisa ndio.yana watu.

Maaskofu katoliki huheshimiwa kuliko.kiongozi yeyote wa chama cha siasa au serikali

Muumini katoliki mwana CCM hawezi heshimu chama kuliko Askofu wake

Hujui unachoongea

Wewe utakuwa muislamu hujui mfumo wa Katoliki ulivyo.Askofu katoliki akitamka kitu.hakuna muumini wa kumuambia fyoko bila kujali ana cheo gani ndani ya CCM Bunge au mahakama au Jeshi lolote
 
Naishauri Serikali yangu isihangaike na hako kakikundi ka wanaojiita TEC hili suala tuangeachiwa CCM tunajua fitina za kushughulika na hawa watu sisi ndio chama Dume tuliyopigania na kudumisha uhuru wa nchi hii kwa miaka zaidi ya 60. Maendeleo mnayoyaona hayakuja kwa bahati mbaya ni mipango madhubuti ya Chama Cha Mapinduzi. Hili suala tuachiwe sisi naona kama serikali itajipa majukumu mepesi wakati mambo ya kufanya ni mengi.

CCM Oyeee.
Kadi ya chama upo nayo au na wewe ni Chawa?
 
Back
Top Bottom