Serikali Tuachieni wana CCM tupambane na TEC

We unachekesha kweli, yaani humohumo ndani ya ccm unapoparingia membaz wa TEC ndo mabosi zako...nenda tu kule ndani ya kamati kuu kawahesabu idadi ya wana TEC utapata majibu!!.
Hahaha wapo wakatoliki wengi tu ndani ya CCM lakini hawakohoi unajua kwanini?

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
We Fala tu na ccm wote wajinga, kama hamuwezi kusoma mikataba na kuelewa kwa miaka 60 sasa utu uzima wenu una maana gani? , uelewa haina umri, kwa ufupi Tanzania hakuna maendeleo ni nchi manikini kwa kila kitu, sababu kubwa ni ccm mburura ni 97%, ukiwemo wewe.
CCM ndio inakufanya unalala usingizi wewe Acha dharau

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Imagine this mindset [emoji115][emoji115][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!! Eti kwa akili hizi ndio wanataka kuivusha bongo kwenda Nchi ya maziwa na asali?? Maaafii ya nguchiro!! NB: Pambaneni na hoja za msingi za wanaopinga ule mkataba!! Tec sio CDM... Mara kamata yule, weka ndan yule, mpe kesi yule!!!
TEC si wanajifanya wahuni ngoja tuone sasa

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Imagine this mindset [emoji115][emoji115][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!! Eti kwa akili hizi ndio wanataka kuivusha bongo kwenda Nchi ya maziwa na asali?? Maaafii ya nguchiro!! NB: Pambaneni na hoja za msingi za wanaopinga ule mkataba!! Tec sio CDM... Mara kamata yule, weka ndan yule, mpe kesi yule!!!
Mtoto wa juzi wewe muulize babako tulipotoka.

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Naishauri Serikali yangu isihangaike na TEC; hili suala tungeachiwa CCM tunajua fitina za kushughulika na hawa watu sisi ndio chama Dume tuliyopigania na kudumisha uhuru wa nchi hii kwa miaka zaidi ya 60.

Maendeleo mnayoyaona hayakuja kwa bahati mbaya ni mipango madhubuti ya Chama Cha Mapinduzi. Hili suala tuachiwe sisi naona kama serikali itajipa majukumu mepesi wakati mambo ya kufanya ni mengi.

CCM Oyeee.
Uhuru gani unaongelea CCM haikuwepo kupigania. TANU na ASP,pia Wakatoliki, na Waislamu wanisaidie. Bila Catholic si kama Nyerere angeweza.Bado tupo wengine sisi tusio na dini na wengine dini zingine tunaunga uko TEC
 
CCM ndio inakufanya unalala usingizi wewe Acha dharau

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Mimi ningekuoneni ccm wajanja kama mkibadili figisu kuwa maendeleo, tatizo mna chagua average presidents miaka yote , foreign investments ni nzuri kukuza uchumi wa nchi lakini hauondoi umasikini kwa asilimia kubwa kama kukuza sector ya kilimo na viwanda, una takiwa uuze bidhaa zaidi nchi za nje kuliko kununua bidhaa, vijana wapate ajira kwa wingi kwa kushiriki katika sector za uzalishaji sio kuwa chawa tu , narudia tena hata mkibinafsisha bandari miaka 10000 hakuna maendeleo mtakayo pata nyie vichwa tikitimaji ccm.
 
Naishauri Serikali yangu isihangaike na TEC; hili suala tungeachiwa CCM tunajua fitina za kushughulika na hawa watu sisi ndio chama Dume tuliyopigania na kudumisha uhuru wa nchi hii kwa miaka zaidi ya 60.

Maendeleo mnayoyaona hayakuja kwa bahati mbaya ni mipango madhubuti ya Chama Cha Mapinduzi. Hili suala tuachiwe sisi naona kama serikali itajipa majukumu mepesi wakati mambo ya kufanya ni mengi.

CCM Oyeee.
Wewe ni Panya mdogo hata ukifia daharini hatusumbuki tunakuacha unaoza na kukauka na kusahsulika.
 
Naishauri Serikali yangu isihangaike na TEC; hili suala tungeachiwa CCM tunajua fitina za kushughulika na hawa watu sisi ndio chama Dume tuliyopigania na kudumisha uhuru wa nchi hii kwa miaka zaidi ya 60.

Maendeleo mnayoyaona hayakuja kwa bahati mbaya ni mipango madhubuti ya Chama Cha Mapinduzi. Hili suala tuachiwe sisi naona kama serikali itajipa majukumu mepesi wakati mambo ya kufanya ni mengi.

CCM Oyeee.
mkifa mnazikwa na hao hao TEC, mmesahau dhihaka mliyofanyiwa kwa magufuli, yule yule askofu waliyekuwa wanasema sio raia wakamnyang'anya na passport ndiye aliyekuja kumzika. mjifunzege kupitia makosa yenu basi.
 
Naishauri Serikali yangu isihangaike na TEC; hili suala tungeachiwa CCM tunajua fitina za kushughulika na hawa watu sisi ndio chama Dume tuliyopigania na kudumisha uhuru wa nchi hii kwa miaka zaidi ya 60.

Maendeleo mnayoyaona hayakuja kwa bahati mbaya ni mipango madhubuti ya Chama Cha Mapinduzi. Hili suala tuachiwe sisi naona kama serikali itajipa majukumu mepesi wakati mambo ya kufanya ni mengi.

CCM Oyeee.
Kama ni kiongozi basi wewe ni kiongozi wa ovyo sana.
Maendeleo gani unayoongelea?
Tangu 1961 tulipopata uhuru bado matatizo ni yale yale. Maji, matundu ya choo, madawati, madawa, umeme, madarasa n.k
 
Hakuna hoja pale ni chuki iliyofichwa kwa mgongo wa bandari.

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23] Muulize subwoofer Leo alikuwepo kanisani anasikiliza hoja kwa makini, nadhani kunakitu kimeingia vizuri kichwaki kwake.
Vinginevyo tingisha bichwa kidogo alafu jiulize hii nguvu kubwa ya kuupinga huo mkataba mbovu inatokea wapi ndio utajua ujui.

Iviumejiuliza uliwezaje kuvuja?.
 
Vipengele vile ni vyepesi sana ndani ccm wamejaa wasomi tu hatuwezi kushindwa na waliosoma moral theology.
Bila fitina, policcm na uongo hamuwezi kujibu hoja. Hao ni watu wenye PHD zao kwahiyo kwa hoja walizotoa hamuwezi kujibu kwa hoja.
Lissu mlimshindwa mpk mkatumia risasi.
Toeni hoja, waambieni wananchi kuwa huo ni mkataba mzuri kwa hoja
 
Naishauri Serikali yangu isihangaike na TEC; hili suala tungeachiwa CCM tunajua fitina za kushughulika na hawa watu sisi ndio chama Dume tuliyopigania na kudumisha uhuru wa nchi hii kwa miaka zaidi ya 60.

Maendeleo mnayoyaona hayakuja kwa bahati mbaya ni mipango madhubuti ya Chama Cha Mapinduzi. Hili suala tuachiwe sisi naona kama serikali itajipa majukumu mepesi wakati mambo ya kufanya ni mengi.

CCM Oyeee.
Umesahau kuweka namba za simu Mkuu. Huenda meza kuu ikakufikiria kupitia kiherehere chako.
 
Bila fitina, policcm na uongo hamuwezi kujibu hoja. Hao ni watu wenye PHD zao kwahiyo kwa hoja walizotoa hamuwezi kujibu kwa hoja.
Lissu mlimshindwa mpk mkatumia risasi.
Toeni hoja, waambieni wananchi kuwa huo ni mkataba mzuri kwa hoja
PhD za mora theology siyo competitive ukataka kujua Hilo aache uaskofu halafu uone anaajirika au la!
 
Naishauri Serikali yangu isihangaike na TEC; hili suala tungeachiwa CCM tunajua fitina za kushughulika na hawa watu sisi ndio chama Dume tuliyopigania na kudumisha uhuru wa nchi hii kwa miaka zaidi ya 60.

Maendeleo mnayoyaona hayakuja kwa bahati mbaya ni mipango madhubuti ya Chama Cha Mapinduzi. Hili suala tuachiwe sisi naona kama serikali itajipa majukumu mepesi wakati mambo ya kufanya ni mengi.

CCM Oyeee.
Kaka Chama cha siasa hakiwezi kupigana na Dini hata siku moja... Humo humo kwenye Chama cha Siasa inakuwemo Dini, ukipiganisha Chama... Umekiua chama
 
Uhuru gani unaongelea CCM haikuwepo kupigania. TANU na ASP,pia Wakatoliki, na Waislamu wanisaidie. Bila Catholic si kama Nyerere angeweza.Bado tupo wengine sisi tusio na dini na wengine dini zingine tunaunga uko TEC
Nyie wasabato na wapentekoste na wa mwamposa kaeni pembeni tumsulubu huyu kakaenu anaejiita TEC

Back
Top Bottom