Serikali Tuachieni wana CCM tupambane na TEC

Serikali Tuachieni wana CCM tupambane na TEC

Hata USA pia walishindwa kuwazuia Jesuits, Lincoln alijaribu kupambana na Jesuits akaishia kupigwa risasi. China dini nyingi zimeshindwa kuingia lakini Jesuits walijipenyeza hata kuwa msaaada kwenye mambo yao ya uchumi.
Jiandaeni na huku mabadiliko yanakuja lazima muyapokee.
Screenshot_20230822_110700_Google.jpg
 
Ungejua 80 ya wanasisiem wanakula sakrament ya madhabahuni RC na kuungama dhambi zao KWA mapadri wa RC sasa mnapambana nao kivipi? TEC KWA maana ya RC ilikuwepo tanganyika na zanzibar kabla ya ccm kuwako TEc yenyewe ni nzee kuliko ccm TEC yenyewe ina mashushushu nguli kuliko ccm na kila ccm inachofanya tec wanakijua unamkumbuka Dr slaa kabla haijawa Dr mihogo aliwahi kusema 1/2 ya RSO's wote nchini wanaripoti kwake taarifa za ndani kabisa? Na kumbuka slaa aliyasema hayo miaka michache nyuma alikuwa ndio katibu wa TEC yani kitima wa sasa! Wakati wa sakata la mwembechai slaa ndio alikuwa katibu wa TEC sasa watu wa hivyo walioko ndani ya mfumo wa serikali unapambana nao vipi kama sio kujidhuru wenyewe? Mwisho kabisa kumbuka TEC ni serikali kificho kama hujui !!!!
Wewe subiri mabadiliko acha maneno
Screenshot_20230822_110700_Google.jpg
 
Hivi umewahi kujiuliza tangu tumepata uhuru maraisi ni mkatoliki au muislam? Unadhani hiyo ni bahati mbaya? Hao majamaa ni noma sana wao wana mabalozi karibia nchi zote je unajua kazi ya hao mabalozi??.
Kijana acha kuongea nadharia hapa tunataka "facts" nimeuliza hapa hawa TEC wamewahi kufanya nini cha ajabu hapa Tanzania ? mnaruka ruka tu hamnipi majibu. Shawaiin
 
Kizazi kipya ndio kinapanga ukatoliki uwendeshwaje?
Wewe endelea kutafuta maarifa siku utajua namna dunia inavyo endeshwa. Ccm hadi leo ipo madarakani kwasababu imekubali kuwatii mabwana zao siku ijifanye kichwa ngumu huo ndiyo utakuwa mwisho wao.
 
We mtoto mdogo sana fitina za kisiasa nchi hii zimeasisiwa na CCM sasa hao TEC kama wao wanajifanya wanajua sana basi wasubiri majibu.

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app

Usichokijua ni kuwa 60% ya wana CCM ni wakatoliki, ikifika jumapili wao wenyewe wanaenda kuungama dhambi zao kwa maaskofu wa tec na mapadiri wao.

Pole sana Sir Elton John
 
Wewe endelea kutafuta maarifa siku utajua namna dunia inavyo endeshwa. Ccm hadi leo ipo madarakani kwasababu imekubali kuwatii mabwana zao siku ijifanye kichwa ngumu huo ndiyo utakuwa mwisho wao.
Kama katoliki ndio inaendesha dunia kwa hizo tabia bora kubaki bila dini nakushauri uachane nao kabla hujaharibikiwa na wewe.
 
Usichokijua ni kuwa 60% ya wana CCM ni wakatoliki, ikifika jumapili wao wenyewe wanaenda kuungama dhambi zao kwa maaskofu wa tec na mapadiri wao.

Pole sana Sir Elton John
Hii 60%:umeikokotoa kutoka wapi? Japo nakubali CCM ina dini zote siyo wakatoliki tu yani CCM ni Zimwii.
 
Kijana acha kuongea nadharia hapa tunataka "facts" nimeuliza hapa hawa TEC wamewahi kufanya nini cha ajabu hapa Tanzania ? mnaruka ruka tu hamnipi majibu.
Hivi unajua Katoliki ni kitu gani katika dunia hii? Hujasikia kama Mkapa alitaka kubinafsisha shirika la ndege Hao Maskofu wakampiga stop. ??
 
Hii 60%:umeikokotoa kutoka wapi? Japo nakubali CCM ina dini zote siyo wakatoliki tu yani CCM ni Zimwii.

Waliposema wana taarifa kuanzia ngazi za shina unadhani waliropoka tu? Mtaani wana kitu inaitwa jumuia ambazo husali majumbani mwa watu kila jumapili. Na kuna wenyeviti wa hizo jumuia ni kama ilivyo wajumbe wa nyumba 10. Kwahiyo taarifa ya walichokisema na sensa ya watu wao huanzia huko
 
Hivi unajua Katoliki ni kitu gani katika dunia hii? Hujasikia kama Mkapa alitaka kubinafsisha shirika la ndege Hao Maskofu wakampiga stop. ??
Acheni kutoa promo ambazo hazipo nimeuliza mmeshafanya maajabu gani nchi hii mnaruka ruka tu hamnipi majibu.
 
Waliposema wana taarifa kuanzia ngazi za shina unadhani waliropoka tu? Mtaani wana kitu inaitwa jumuia ambazo husali majumbani mwa watu kila jumapili. Na kuna wenyeviti wa hizo jumuia ni kama ilivyo wajumbe wa nyumba 10. Kwahiyo taarifa ya walichokisema na sensa ya watu wao huanzia huko
Sasa kama ni suala la taarifa unajua CCM ina wawakilishi mpaka wapi kwenye hii nchi? Sehemu ambazo hata makanisa hakuna utakuta bendera ya Kijani Chama Cha Mapinduzi inapepea .CCM Oyeee
 
Naishauri Serikali yangu isihangaike na TEC; hili suala tungeachiwa CCM tunajua fitina za kushughulika na hawa watu sisi ndio chama Dume tuliyopigania na kudumisha uhuru wa nchi hii kwa miaka zaidi ya 60.

Maendeleo mnayoyaona hayakuja kwa bahati mbaya ni mipango madhubuti ya Chama Cha Mapinduzi. Hili suala tuachiwe sisi naona kama serikali itajipa majukumu mepesi wakati mambo ya kufanya ni mengi.

CCM Oyeee.
Uzi huu unanikumbusha walevi wa pombe za kienyeji ambao hawana pesa za kununua pombe, lakini mwenye pesa anaweza kuwatuma kutukana mtu ili wapewe pombe.

Wewe CCM huu mkataba ni wako? UNajua hata aliyeuandika ni nani? UNataka nafasi ya kutukana ili upate teuzi, au?
 
Mimi ni mtanzania mzalendo sina haja ya uteuzi nawajibu hawa wanaotaka kuleta fitina kwa viongozi wetu.
 
Acheni kutoa promo ambazo hazipo nimeuliza mmeshafanya maajabu gani nchi hii mnaruka ruka tu hamnipi majibu.
Si unaona na spika wako alikuwa katulia kanisani siku tamko linaongelewa kanisani, na baadae ataenda kuungama tu kwa tec. We endelea kujiresi, ila viongozi wako wametulia kimyaaa na hawathubutu kunyoosha kidole kwa tec directly
 
Naona huna majibu haya kwendaaa.
 
Mch. Kimaro keshawaambia kichwa kimoja Cha Padri ni wanaume 700, Sasa chukua wanaume wa sisiem chakata idadi ya mapadri utaelewa kuwa mko makopo matupu
 
Back
Top Bottom