Badala ya kurekebisha wanakusanyana wakafumue sheri bungeni ili kukidhi limkataba la dpw bila kuzingatia waliyo ambiwa na mahakama. Kwanini watu wenye akili wasijitokeze kukemea?Yes vinarekebishika kwenye HGA...
Sasa wale Maaskofu na usomi wao wameshindwa kuelewa nini??
Kama iyo IGA ina mapungufu makubwa namna iyo na unaambiwa ni ndio legal binding framework au ndio msingi wa izo HGA ambazo zitakuwa ni Siri unafikiri kuna kitu kitalekebishwa happy ukizingatia katika iyo IGA kuna harufu ya rushwa?Yes vinarekebishika kwenye HGA...
Sasa wale Maaskofu na usomi wao wameshindwa kuelewa nini??
Kwahiyo unadhani ukiandika kwa hako kakiingereza kako uchwara utakuwa umeandika pwenti sana?The Lord does not rule based on number of buildings as you might imagine.
'He rules by decree'. His single cough-not even his word was capable of generating electricity that could power the planet Earth for 100 years to give u a picture of his awesome power!
Timesikiliza wapi ? Saa ngapi? Acha uzushi kijanaMbona juzi mmesikilizishwa Waraka na mkapiga makofi? Nyie ni wepesi tu kama akina Kipozeo
Kweli, ni vizuri kuelewa hivyo! 😄Katoliki ni taasisi ya Dunia usiilinganishe na bakwata 😄🔥
Gwajima ni Mbunge wa kawe au anajitoa ufahamu huyo mwamakula?Askofu Gwajima alishiriki vikao viwili kupitisha Mkataba wa Bandari - Bunge na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa. Pia, ameshiriki mikutano ya hadhara na kampeni kadhaa za CCM kuunga mkono mkataba. Wakati anashiriki vikao hivyo, hawakuona kuwa anachanganya dini na siasa.
Lakini sisi tunapotoa hoja na matamko kupinga na kutahadharisha juu ya mkataba wa bandari, lakini vigogo wa CCM wanakuja juu na kuanza kutupiga madongo majukwaani kutuonya kuwa tunachanganya dini na siasa.
Hakuna utawala uliowahi kudumu duniani hasa kama viongozi wameanza kuwa wanafiki kwa kuwa wanafiki huukataa na kuuchukia ushauri hata ule ambao una lengo la kuuokoa utawala huo usianguke.
Waache waendelee kutumia majukwaa kupiga madongo maaskofu wanaoonya, wanaoshauri na kukemea kwani CCM walio wengi hawajui kuwa meli yao imeanza kutoboka. Wanadharau boti za wokozi zinazopita kandokando ya meli yao kubwa ya kifahali iliyoanza kutoboka. Muda wa kuzama ukitimu watapiga kelele ili kutafuta msaada wasiweze kupata watu wa kuwaokoa.
Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Dar es Salaam, 21 Agosti 2023; 02:38 Asubuhi
Yeah. I know its hard for you to belive in 'any of these things' but I will be asking the Lord to take you on a journey so that you can pay a visit to 'one of his laboratories' so that when you come back you have 'something nice' to say about him and his marvellous works'! Get ready. Be prepared... for 'acsention'.Kwahiyo unadhani ukiandika kwa hako kakiingereza kako uchwara utakuwa umeandika pwenti sana?
Andika kwa kiswahili wewe mroma wa mchongoYeah. I know its hard for you to belive in 'any of these things' but I will be asking the Lord to take you an a journey so that you can pay a visit to 'one of his laboratories' so that when you come back you have 'something nice' to say about him and his marvellous works'! Get ready. Be prepared... for 'acsention'.
You can use google translator to translate in Swahili. No worries. 'Get ready, be prepared for an amazing trip'...Andika kwa kiswahili wewe mroma wa mchongo
Wana maajabu yapi washafanya nchi hii?Hamuwawezi hata kidogo
Ova
Sawa mroma wa mchongoYou can use google translator to translate in Swahili. No worries. 'Get ready, be prepared for an amazing trip'...
Maskini huwa analalama pale azaliwapo Dume,kwani anajua umaskini mara Dufu umewadia,sasa kama hicho ni chama Dume tena chama chukua chako mapema🤔.Twafwaaa🤸🤸🤸🤸🤸.🚶Naishauri Serikali yangu isihangaike na TEC; hili suala tungeachiwa CCM tunajua fitina za kushughulika na hawa watu sisi ndio chama Dume tuliyopigania na kudumisha uhuru wa nchi hii kwa miaka zaidi ya 60.
Maendeleo mnayoyaona hayakuja kwa bahati mbaya ni mipango madhubuti ya Chama Cha Mapinduzi. Hili suala tuachiwe sisi naona kama serikali itajipa majukumu mepesi wakati mambo ya kufanya ni mengi.
CCM Oyeee.
Unayapimaje hayo maendeleo ewe mwana CCM, unadhani hapa ulipo ndo ulipaswa kua? Hakika laana ya kunyimwa akili ni pigo kwa taifa.Naishauri Serikali yangu isihangaike na TEC; hili suala tungeachiwa CCM tunajua fitina za kushughulika na hawa watu sisi ndio chama Dume tuliyopigania na kudumisha uhuru wa nchi hii kwa miaka zaidi ya 60.
Maendeleo mnayoyaona hayakuja kwa bahati mbaya ni mipango madhubuti ya Chama Cha Mapinduzi. Hili suala tuachiwe sisi naona kama serikali itajipa majukumu mepesi wakati mambo ya kufanya ni mengi.
CCM Oyeee.
Maaskofu wameyataka wenyewe, acha sasa wafichuliwe watoto wa maaskofu waliowatelekeza na wanaowahudumia kisiri huko mitaani. Upepo unavuma, Tutegemee kuona nyeti za kuku.Naishauri Serikali yangu isihangaike na TEC; hili suala tungeachiwa CCM tunajua fitina za kushughulika na hawa watu sisi ndio chama Dume tuliyopigania na kudumisha uhuru wa nchi hii kwa miaka zaidi ya 60.
Maendeleo mnayoyaona hayakuja kwa bahati mbaya ni mipango madhubuti ya Chama Cha Mapinduzi. Hili suala tuachiwe sisi naona kama serikali itajipa majukumu mepesi wakati mambo ya kufanya ni mengi.
CCM Oyeee.
Muulize mzazi wako tumetoka wapi na sasa tupo wapi?Unayapimaje hayo maendeleo ewe mwana CCM, unadhani hapa ulipo ndo ulipaswa kua? Hakika laana ya kunyimwa akili ni pigo kwa taifa.
CCM tupo kazini kama fitina hapa ndio nyumbani.Maaskofu wameyataka wenyewe, acha sasa wafichuliwe watoto wa maaskofu waliowatelekeza na wanaowahudumia kisiri huko mitaani. Upepo unavuma, Tutegemee kuona nyeti za kuku.
Kazi kwenu chama Tawala
Hayo ni mawazo yakoMaskini huwa analalama pale azaliwapo Dume,kwani anajua umaskini mara Fufu umewadia,sasa kama hicho ni chama Dume tena chama chukua chako mapema.Twafwaaa
.
![]()