Serikali Tuachieni wana CCM tupambane na TEC

Sir John Roberts

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
9,663
16,023
Naishauri Serikali yangu isihangaike na TEC; hili suala tungeachiwa CCM tunajua fitina za kushughulika na hawa watu sisi ndio chama Dume tuliyopigania na kudumisha uhuru wa nchi hii kwa miaka zaidi ya 60.

Maendeleo mnayoyaona hayakuja kwa bahati mbaya ni mipango madhubuti ya Chama Cha Mapinduzi. Hili suala tuachiwe sisi naona kama serikali itajipa majukumu mepesi wakati mambo ya kufanya ni mengi.

CCM Oyeee.
 
Hahahaha! Chongolo kasitisha kuitetea DP Tulia anasema na yeye ni mwanasheria na kasoma sana dhidi ya wale wengine Sasa naloona hapa ni kama Kuna mikataba miwili yenye vipengele tofauti.

Yaani mkataba uliopitishwa bungeni sio ule unaodadavuliwa na akina Shivji, madeleka, Lisu, Nshala, Mwambukusi na wengineo ikiwamo TEC.
 
Naishauri Serikali yangu isihangaike na hako kakikundi ka wanaojiita TEC hili suala tuangeachiwa CCM tunajua fitina za kushughulika na hawa watu sisi ndio chama Dume tuliyopigania nankudumisha uhuru wa nchi hii kwa miaka zaidi ya 60. Maendeleo mnayoyaona hayakuja kwa bahati mbaya ni mipango madhubuti ya Chama Cha Mapinduzi. Hili suala tuachiwe sisi naona kama serikali itajipa majukumu mepesi wakati mambo ya kufanya ni mengi.

CCM Oyeee.
CCM ni mataahira fulani hivi, hawajui hata wanataka nini?
 
Kuna mtu alikuuliza kama una undugu na Sir Elton John nashangaa haujajibu mpaka leo.
 
Naishauri Serikali yangu isihangaike na hako kakikundi ka wanaojiita TEC hili suala tuangeachiwa CCM tunajua fitina za kushughulika na hawa watu sisi ndio chama Dume tuliyopigania nankudumisha uhuru wa nchi hii kwa miaka zaidi ya 60. Maendeleo mnayoyaona hayakuja kwa bahati mbaya ni mipango madhubuti ya Chama Cha Mapinduzi. Hili suala tuachiwe sisi naona kama serikali itajipa majukumu mepesi wakati mambo ya kufanya ni mengi.

CCM Oyeee.
CCM ni mataahira fulani hivi, hawajui hata wanataka nini?
 
Hahahaha! Chongolo kasitisha kuitetea DP Tulia anasema na yeye ni mwanasheria na kasoma sana dhidi ya wale wengine Sasa naloona hapa ni kama Kuna mikataba miwili yenye vipengele tofauti. Yaani mkataba uliopitishwa bungeni sio ule unaodadavuliwa na akina Shivji, madeleka, Lisu, Nshala, Mwambukusi na wengineo ikiwamo Tec

Sent from my Nokia C10 using JamiiForums mobile app
CCM tunajua kucheza na fitina .hayo mambo madogo sana

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Naishauri Serikali yangu isihangaike na hako kakikundi ka wanaojiita TEC hili suala tuangeachiwa CCM tunajua fitina za kushughulika na hawa watu sisi ndio chama Dume tuliyopigania na kudumisha uhuru wa nchi hii kwa miaka zaidi ya 60. Maendeleo mnayoyaona hayakuja kwa bahati mbaya ni mipango madhubuti ya Chama Cha Mapinduzi. Hili suala tuachiwe sisi naona kama serikali itajipa majukumu mepesi wakati mambo ya kufanya ni mengi.

Hapo kwenye wekundu ndo ulipochemkia..!!
Nyie katika imani zenu za chama SI MNASEMA FITINA KWENU MWIKO..!??
 
Back
Top Bottom