Serikali Tuachieni wana CCM tupambane na TEC

Serikali Tuachieni wana CCM tupambane na TEC

Muulize mzazi wako tumetoka wapi na sasa tupo wapi?
Hapo ulipo ndo ulipaswa kua? Kama uliwahi kumuuliza mzazi wako akakuaminisha ivo basi unaishi ktk kizazi cha ajabu, shituka , hama , wew na mzazi aliekupa jibu la ivo ote mna safari ndefu.
 
Naishauri Serikali yangu isihangaike na TEC; hili suala tungeachiwa CCM tunajua fitina za kushughulika na hawa watu sisi ndio chama Dume tuliyopigania na kudumisha uhuru wa nchi hii kwa miaka zaidi ya 60.

Maendeleo mnayoyaona hayakuja kwa bahati mbaya ni mipango madhubuti ya Chama Cha Mapinduzi. Hili suala tuachiwe sisi naona kama serikali itajipa majukumu mepesi wakati mambo ya kufanya ni mengi.

CCM Oyeee.
Wakujibu hoja za TEC nani hapo Lumumba?

1.Msukuma
2.Kibajaji
3.Babutale
4.Kubwa Jaah
5.Maji marefu
Hizi hoja zijibiwe na wanganga wekyeji mnazingua nyie.
 
Mnaipa promo tu hawana lolote malofa tu wamewahi kufanya nini cha ajabu hapa Tanzania?
Wao wakiwa malofa wewe utakuwa Apeche alolo mkubwa kutwa kujipendekeza ili wanene wa CCM wakuone,na bahati mbaya sana hata hao CCM watu kama nyie huwa wanawadharau pia kwakuwa hamna msaada sana zaidi ya njaa zenu
 
Badara ya kurekebisha wanakusanyana wakafumue sheri bungeni ili kukidhi limkataba la dpw bila kuzingatia waliyo ambiwa na mahakama. Kwanini watu wenye akili wasijitokeze kukemea?
Wamekula kiapo cha kulinda katiba hipi hawa?
 
Maaskofu wameyataka wenyewe, acha sasa wafichuliwe watoto wa maaskofu waliowatelekeza na wanaowahudumia kisiri huko mitaani. Upepo unavuma, Tutegemee kuona nyeti za kuku.

Kazi kwenu chama Tawala
Hayo maneno ya kwenye khanga tulishayazoea,wewe fichua watoto wote wa Maaskofu bado waraka wa TEC utasimama pale pale.
 
Germany na power zake walishindwa kudhibiti Catholic na Jesuit wewe unazungumzia CCM? 😄😄😄
Hata USA pia walishindwa kuwazuia Jesuits, Lincoln alijaribu kupambana na Jesuits akaishia kupigwa risasi. China dini nyingi zimeshindwa kuingia lakini Jesuits walijipenyeza hata kuwa msaaada kwenye mambo yao ya uchumi.
 
CCM tunajua kucheza na fitina .hayo mambo madogo sana

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Ungejua 80 ya wanasisiem wanakula sakrament ya madhabahuni RC na kuungama dhambi zao KWA mapadri wa RC sasa mnapambana nao kivipi? TEC KWA maana ya RC ilikuwepo tanganyika na zanzibar kabla ya ccm kuwako TEc yenyewe ni nzee kuliko ccm TEC yenyewe ina mashushushu nguli kuliko ccm na kila ccm inachofanya tec wanakijua unamkumbuka Dr slaa kabla haijawa Dr mihogo aliwahi kusema 1/2 ya RSO's wote nchini wanaripoti kwake taarifa za ndani kabisa? Na kumbuka slaa aliyasema hayo miaka michache nyuma alikuwa ndio katibu wa TEC yani kitima wa sasa! Wakati wa sakata la mwembechai slaa ndio alikuwa katibu wa TEC sasa watu wa hivyo walioko ndani ya mfumo wa serikali unapambana nao vipi kama sio kujidhuru wenyewe? Mwisho kabisa kumbuka TEC ni serikali kificho kama hujui !!!!
 
Hata USA pia walishindwa kuwazuia Jesuits, Lincoln alijaribu kupambana na Jesuits akaishia kupigwa risasi. China dini nyingi zimeshindwa kuingia lakini Jesuits walijipenyeza hata kuwa msaaada kwenye mambo yao ya uchumi.
Wenye CCM yao wenyewe wanatambua vizuri nguvu za Kanisa Katoliki na ndiyo maana mpaka sasa wapo kimya,hata wale waropokaji wao wa siku zote wamemute kwenye hili wanasikilizia viongozi wao watasema nini kwanza.
 
Hata USA pia walishindwa kuwazuia Jesuits, Lincoln alijaribu kupambana na Jesuits akaishia kupigwa risasi. China dini nyingi zimeshindwa kuingia lakini Jesuits walijipenyeza hata kuwa msaaada kwenye mambo yao ya uchumi.
Mweleze mtoto huyo
 
Kanisa katoliki haina na serikali ktk uendeshaji wa shughuli zake, watulize vitako vyao hivyo wakaeneze injili ndio kazi yao. Wazinzi tu hao nimewadharau sana
Hivi umewahi kujiuliza tangu tumepata uhuru maraisi ni mkatoliki au muislam? Unadhani hiyo ni bahati mbaya? Hao majamaa ni noma sana wao wana mabalozi karibia nchi zote je unajua kazi ya hao mabalozi??.
 
Hapo ulipo ndo ulipaswa kua? Kama uliwahi kumuuliza mzazi wako akakuaminisha ivo basi unaishi ktk kizazi cha ajabu, shituka , hama , wew na mzazi aliekupa jibu la ivo ote mna safari ndefu.
Unataka tuwe wapi na unajilinganisha na nani?
 
Wakujibu hoja za TEC nani hapo Lumumba?

1.Msukuma
2.Kibajaji
3.Babutale
4.Kubwa Jaah
5.Maji marefu
Hizi hoja zijibiwe na wanganga wekyeji mnazingua nyie.
Hao ni wabunge na wameshatumia nafasi yao kikatiba ya kuridhia uendeshaji wa bandari kwa DP WORLD
 
Wao wakiwa malofa wewe utakuwa Apeche alolo mkubwa kutwa kujipendekeza ili wanene wa CCM wakuone,na bahati mbaya sana hata hao CCM watu kama nyie huwa wanawadharau pia kwakuwa hamna msaada sana zaidi ya njaa zenu
Umepanic tayari [emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom