Sir John Deere
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 14,246
- 27,500
- Thread starter
- #101
Sikupi sasa nenda popoteNimekuuliza kama mtu ninakuzidi kila kitu.
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Sikupi sasa nenda popoteNimekuuliza kama mtu ninakuzidi kila kitu.
Wakurugenzi "Makada" wenu ati ndio wasimamizi wa uchaguzi na hao ndio waratibu wa wizi wa kura.Mkishindwa uchaguzi mnasingizia mmeibiwa kura tunawajua nyie.
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Unapoteza muda wako .ukishindwana nao jiunge nao.
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
TEC wanatumia mkataba wa bandari kama kichaka cha kuupiga vita utawala wa awamu ya 6 .hujui kitu bwanamdogoFitna huwa hazifanywi wazi wazi. Kuupinga mkataba hadharani siyo fitna.
Tutakurudisha kwenu huko Makunduchi muda si mrefu
Waknushe mara mbili,mbina ndio hivyo vifungu Mwabukusi walimtuma apeleke mahakamani nae akashindwa?Umeusoma walaka lakini? Wakanushe vipengere Ivo walivo discuss sio habar za dini
Tatizo mawazo yenu mnayafanya ndo tamko la TECTEC wanatumia mkataba wa bandari kama kichaka cha kuupiga vita utawala wa awamu ya 6 .hujui kitu bwanamdogo
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Huyo mjunga ana tabia ya kusambaza uongo wake akipigwa maswali mawili matatu anapotea ghafla kama zimwi.Wewe ni mbumbumbu wa kuzaliwa. Mahakama ilitamka wazi kuwa mkataba una kasoro nyingi, ila yenyewe mahakama haina uwezo uwezo wa kubadilisha maamuzi ya mahakama.
Sijui kwa nini ninyi nyote mnaoutetea huo mkataba ni watu wenye upeo na akili ndogo.
Mbona iko peke yake kwenye bench
Kama mnaibiwa kura kwanini hamuendi mahakamani?Fitina za kuiba kura kwenye Sandarusi. Pambaf kabisa
Hivi unajua hata mbowe unaemtegemea sana yupo CCM?Wakurugenzi "Makada" wenu ati ndio wasimamizi wa uchaguzi na hao ndio waratibu wa wizi wa kura.
CCM ni Zimwi kumbe unajua hilo.jiandaeni sasaNdani ya CCM TEC wamo pia. Utafanya fitina gani wasiijue?
Orodha ya viongozi waliondani ya CCM ambao wanatii maagizo ya TEC:Hivi unajua hata mbowe unaemtegemea sana yupo CCM?
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Ndio mnavyojidanganya hivyo hapo Lumumba?Hivi unajua hata mbowe unaemtegemea sana yupo CCM?
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Chongolo hajapewa waraka ausome tena kwa sauti parokiani kwake? [emoji1787]Naishauri Serikali yangu isihangaike na hako kakikundi ka wanaojiita TEC hili suala tuangeachiwa CCM tunajua fitina za kushughulika na hawa watu sisi ndio chama Dume tuliyopigania na kudumisha uhuru wa nchi hii kwa miaka zaidi ya 60. Maendeleo mnayoyaona hayakuja kwa bahati mbaya ni mipango madhubuti ya Chama Cha Mapinduzi. Hili suala tuachiwe sisi naona kama serikali itajipa majukumu mepesi wakati mambo ya kufanya ni mengi.
CCM Oyeee.
Serikali haiwezi kulikwepa kanisa...maana kanisa ni watu...
Fuatilia nini kinaendelea kanisa la roman Buhongwa Mwanza baada ya paroko kuwanyang'anya maduka waumini wa awali na kurekebisha mkataba wa pango. Hii nchi kila mtu anaangalia masrahi yake so utaamua kumsikiliza au kutomsikiliza kiongozi kwa kutegemea amelinda au ameathiri vp masrahi yako. Hao hao waumini kama wanafaidika na bandari hawatokaa wawaelewe mapdre wao na kama hawafaidiki its obvious watawasikiliza.Wewe utakuwa muislamu hujui mfumo wa Katoliki ulivyo.Askofu katoliki akitamka kitu.hakuna muumini wa kumuambia fyoko bila kujali ana cheo gani ndani ya CCM Bunge au mahakama au Jeshi lolote
Ivi chawa wanaakili ya kujibu hoja zilizopo kwenye huwo waraka?.Naishauri Serikali yangu isihangaike na hako kakikundi ka wanaojiita TEC hili suala tuangeachiwa CCM tunajua fitina za kushughulika na hawa watu sisi ndio chama Dume tuliyopigania na kudumisha uhuru wa nchi hii kwa miaka zaidi ya 60. Maendeleo mnayoyaona hayakuja kwa bahati mbaya ni mipango madhubuti ya Chama Cha Mapinduzi. Hili suala tuachiwe sisi naona kama serikali itajipa majukumu mepesi wakati mambo ya kufanya ni mengi.
CCM Oyeee.