Sir John Deere
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 14,246
- 27,502
- Thread starter
- #261
Umezaliwa mwaka gani wewe?. Waulize baba zako nchi imetoka wapi hii siyo sasa hivi mmevimbiwa uhuru mnaachia hewa hovyo tu.Mimi ningekuoneni ccm wajanja kama mkibadili figisu kuwa maendeleo, tatizo mna chagua average presidents miaka yote , foreign investments ni nzuri kukuza uchumi wa nchi lakini hauondoi umasikini kwa asilimia kubwa kama kukuza sector ya kilimo na viwanda, una takiwa uuze bidhaa zaidi nchi za nje kuliko kununua bidhaa, vijana wapate ajira kwa wingi kwa kushiriki katika sector za uzalishaji sio kuwa chawa tu , narudia tena hata mkibinafsisha bandari miaka 10000 hakuna maendeleo mtakayo pata nyie vichwa tikitimaji ccm.
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app