Naona huna majibu haya kwendaaa.
Unachagua majibu?
Hayo ndio majibu kaa tuliza kipele chako
Naona huna majibu haya kwendaaa.
Hujui ulipaswa kua wapi? hujui nani ulipaswa kujilinganisha nae?Unataka tuwe wapi na unajilinganisha na nani?
Hujuwi....utajuwa tuWana maajabu yapi washafanya nchi hii?
Hujuwi....utajuwa tuWana maajabu yapi washafanya nchi hii?
Sisi wakina nani?Hujuwi....utajuwa tu
Nyie mna maajabu gani
Ova
Tuambie wewe unaejua. acha kuruka rukaHujui ulipaswa kua wapi? hujui nani ulipaswa kujilinganisha nae?
Hakika tupo ktk giza totoro, tumelala fofofo.
Ukishapewa hints ni juu yako kutafta habari, kama historia ya kidato cha kwanza umeichukua kama ilivo pasipo kkuichakata hata nkikupa tango poliutalitafuna kama lilivoTuambie wewe unaejua. acha kuruka ruka
Basi nimekuelewa huna unalojua mchana mwemaUkishapewa hints ni juu yako kutafta habari, kama historia ya kidato cha kwanza umeichukua kama ilivo pasipo kkuichakata hata nkikupa tango poliutalitafuna kama lilivo
SawaBasi nimekuelewa huna unalojua mchana mwema