Sir John Deere
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 14,246
- 27,500
- Thread starter
- #321
Sema CCM Hoyeee utapata nafuuHiyo minyoo inayokusumbua nenda hosp haraka
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Sema CCM Hoyeee utapata nafuuHiyo minyoo inayokusumbua nenda hosp haraka
Itaanyoosha mumeo na siyo sisi
Kama mumeo ameleta magimbi umevimbiwa kajisaidie upumzike.
Bwanamdogo ni rahisi sana kuongea unayoyasema lakini baba zako wanajua tumetoka wapi na sasa tupo wapi. Subiri sasa hii inayokuja kubwa kuliko zote Reform and Rebuilding ya mama Samia mtakubali tu.Nchi ina rasilimali kila aina na bado masikini na viongozi wake wanajisifu wanaongoza hii nchi.
Inaenda wapi nchi bado masikini sana hii.
Tangu uhuru matatizo ni yale yale matundu ya choo, maji, umeme, madawa, barabara na madawati.
Chama kilichoko madarakani kwa kupora uchaguzi unakitengaje na uhuni?Hakuna kosa ila watambue kuna Chama na Serikali haviendeshwi kwa matamko ya kihuni huni.
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Ikulu ya bongo nayo unaona ni kitu cha maana sana? Ingekuwa ya US ingekuwaje?
Wewe kila siku unalalamika umeporwa uchaguzi. Umechukua hatua gani?Chama kilichoko madarakani kwa kupora uchaguzi unakitengaje na uhuni?
Hamia U.S basi unapiga kelele za nini hapa ooh mara uchaguzi nyoko nyoko.Ikulu ya bongo nayo unaona ni kitu cha maana sana? Ingekuwa ya US ingekuwaje?
Sasa kama unajuwa siyo suluhisho basi usipende kufananisha nchi na nchi kila nchi ina matatizo yake na mazuri yake.Sio suluhisho la matatizo ya watanganyika
Sasa kama unajuwa siyo suluhisho basi usipende kufananisha nchi na nchi kila nchi ina matatizo yake na mazuri yake.
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Silalamiki naweka record sawa. Hatua nilizochukua ni kutaka machafuko ili chama la majizi liwe historia, ama jeshi kupindua serikali ya wezi hatimaye tuanze zama mpya za kiutawala hapa nchini kwa katiba ya wananchi.Wewe kila siku unalalamika umeporwa uchaguzi. Umechukua hatua gani?
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Hahaha unataka machafuko hapa JF au nchini 🤣🤣Silalamiki naweka record sawa. Hatua nilizochukua ni kutaka machafuko ili chama la majizi liwe historia, ama jeshi kupindua serikali ya wezi hatimaye tuanze zama mpya za kiutawala hapa nchini kwa katiba ya wananchi.
Hizi sofa za kujibebea milaana zitakutokea piano...unatoka pambana na viongozi wa dini?? Wewe nikiongozi wa majini?? Tuliza kiherehere usitafute laana itembee na watoto mpaka wajikuu kwasiasa uchwaraNaishauri Serikali yangu isihangaike na TEC; hili suala tungeachiwa CCM tunajua fitina za kushughulika na hawa watu sisi ndio chama Dume tuliyopigania na kudumisha uhuru wa nchi hii kwa miaka zaidi ya 60.
Maendeleo mnayoyaona hayakuja kwa bahati mbaya ni mipango madhubuti ya Chama Cha Mapinduzi. Hili suala tuachiwe sisi naona kama serikali itajipa majukumu mepesi wakati mambo ya kufanya ni mengi.
CCM Oyeee.
Wewe uwe naakili kuliko maaskofu!! Labda akili za ngono na pombe!!! Ogopa mtu hajawahi Kula katerero masta!!Yes vinarekebishika kwenye HGA...
Sasa wale Maaskofu na usomi wao wameshindwa kuelewa nini??
Unataka kutuaminisha kuwa huu mkataba wa DPW niwaccm na si wa watanzania wate?Naishauri Serikali yangu isihangaike na TEC; hili suala tungeachiwa CCM tunajua fitina za kushughulika na hawa watu sisi ndio chama Dume tuliyopigania na kudumisha uhuru wa nchi hii kwa miaka zaidi ya 60.
Maendeleo mnayoyaona hayakuja kwa bahati mbaya ni mipango madhubuti ya Chama Cha Mapinduzi. Hili suala tuachiwe sisi naona kama serikali itajipa majukumu mepesi wakati mambo ya kufanya ni mengi.
CCM Oyeee.
Hakuna viongozi wa siasa TEC ni kikundi cha wahuni tuHizi sofa za kujibebea milaana zitakutokea piano...unatoka pambana na viongozi wa dini?? Wewe nikiongozi wa majini?? Tuliza kiherehere usitafute laana itembee na watoto mpaka wajikuu kwasiasa uchwara
Nani kakudanganya maaskofu hawat...bi??Wewe uwe naakili kuliko maaskofu!! Labda akili za ngono na pombe!!! Ogopa mtu hajawahi Kula katerero masta!!
Maswali yamejibiwa na Mahakama Kuu imetoa Go ahead kuendelea na mchakato, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeridhia sasa hako kakikundi kanakojitoa kimbele mbele kupinga kana maslahi gani?Unataka kutuaminisha kuwa huu mkataba wa DPW niwaccm na si wa watanzania wate?
Mbona ukipingwa tu, CCM na vibaraka wake wanajitetea sana kuliko kutoa majibu ya maswali yanayoulizwa?
TEC wametoa maoni yao kuhusu mapungufu yaliyopo kwenye mkataba, sasa kilichopo toeni majibu ya maswali yaliyoulizwa na si kukusema maendeleo yameletwa na ccm.
Wewe utakuwa taahira kwa taarifa yako kuna wanaCCM wengi tu ni wafuasi pia wa TECNaishauri Serikali yangu isihangaike na TEC; hili suala tungeachiwa CCM tunajua fitina za kushughulika na hawa watu sisi ndio chama Dume tuliyopigania na kudumisha uhuru wa nchi hii kwa miaka zaidi ya 60.
Maendeleo mnayoyaona hayakuja kwa bahati mbaya ni mipango madhubuti ya Chama Cha Mapinduzi. Hili suala tuachiwe sisi naona kama serikali itajipa majukumu mepesi wakati mambo ya kufanya ni mengi.
CCM Oyeee.