Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 10,340
- 6,856
Actually ukifanya sensa leo unaweza ukagundua kuwa pengine hata tumeshavuka million 65!Lakini kuna jambo haliko sawa kweny hiz takwimu.
Tunaambiwa tupo kama 50mil hiv, nusu ya hiyo ni watoto chini ya miaka 15-18
Sasa wamiliki wa simu 40mil wanatoka wapi??
Ok, tusidadisi sana, lakini kwa wazo lako, bora kutoa elfu6 kwa mwaka kuliko 500 kila mwezi