The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 6,191
- 13,616
Hao tayari wamesha halalisha kula kiti moto ila tu iwe kwa kujificha inakuwa haramu ukila hadharani.Mashehe......View attachment 1958744
Hao tayari wamesha halalisha kula kiti moto ila tu iwe kwa kujificha inakuwa haramu ukila hadharani.Mashehe......View attachment 1958744
Nikajua watasema kutokana na bei ya nyama kupanda kwenye soko la dunia.
hahah noma sanaWapromote ufugaji wa Ngrooohhhh? Miezi sita tu anaingia sokoni, wakati Ng'ombe anahitaji miaka miwili na uzao wao ni wa 1\1\ na mimba ya miezi 9. Wakati Ngrooohhh mimba moja watoto 12 na mimba ni miezi mitatu tu.
🖕🖕🖕Pole Dada
Mwaka huu sisi wasingida
Mafuta bei juu
Ng'ombe juu
Mbuzi juu
Kuku juuu
Mungu atupe nini zaidi?
Leo uko kwenye joto nini
Kitoweo kinatokana majini..samaki ndiyo kitoweo! Nyama ni mbogaWAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega ameeleza sababu ya nyama kupanda kwa bei katika maeneo mbalimbali nchini ni kutokana na upungufu wa upatikanaji wa ng’ombe na ongezeko la mahitaji ya viwanda vya kuchakata nyama.
Hata hivyo wafanyabiashara wa mifugo na wauza mabucha wamesema kuwa kupanda kwa kitoweo hicho kuanzia wanakochukua (machinjioni), gharama za usafirishaji na msimu huu wa kiangazi kumesababisha pia bei ya nyama kupanda kwani wafugaji wengi hawapendi kuuza ng’ombe wakati huu wakidai kwamba mifugo hiyo inakua haina uzito kutokana na kupungua kwa malisho na maji.
Bei ya nyama kwenye mikoa ya Arusha, Moshi na Dar es Salaam inadaiwa kuwa shilingi 7,000 mpaka shilingi 8,000 kwa kilo tofauti na awali ambapo kitoweo hicho kilikua kikiuzwa shilingi 6,000.
Jamii za kifugaji asilimia kubwa wamekataa kubadilika na kuachana na ufugaji wa kizamani.Baada ya Ethiopia ni Tanzania ndiyo ya pili kwa idadi ya mifugo Afrika.
Ukweli ni kwamba, wafugaji hasa wasukuma hawataki kuuza mifugo yao kwa sababu wanacho chakula cha kutosha (Mahindi na mpunga), na hakuna namna ya kuwalazimisha wauze kwa sababu wanafuga kama ufahari, na huuza wanapokuwa na njaa!
Serikali lazima ijikite kuwawezesha wafugaji wafuge kibiashara.
Jana niliwasikia wenye mabucha wakisema sababu ni upungufu wa wateja! Hivyo wanawakamua hao wachache.WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega ameeleza sababu ya nyama kupanda kwa bei katika maeneo mbalimbali nchini ni kutokana na upungufu wa upatikanaji wa ng’ombe na ongezeko la mahitaji ya viwanda vya kuchakata nyama.
Hata hivyo wafanyabiashara wa mifugo na wauza mabucha wamesema kuwa kupanda kwa kitoweo hicho kuanzia wanakochukua (machinjioni), gharama za usafirishaji na msimu huu wa kiangazi kumesababisha pia bei ya nyama kupanda kwani wafugaji wengi hawapendi kuuza ng’ombe wakati huu wakidai kwamba mifugo hiyo inakua haina uzito kutokana na kupungua kwa malisho na maji.
Bei ya nyama kwenye mikoa ya Arusha, Moshi na Dar es Salaam inadaiwa kuwa shilingi 7,000 mpaka shilingi 8,000 kwa kilo tofauti na awali ambapo kitoweo hicho kilikua kikiuzwa shilingi 6,000.
🖕🖕🖕Leo uko kwenye joto nini
Mekundu ya Mthimbadhi juuuMikono juuu
Mbezi bwaloniMbona mimi Dar nanunua nyama kilo 7000 miaka 3 sasa. Hiyo 6000 ni Dar ya wapi?
The last time I checked Abdala Ulega alikuwa naibu waziri wa mifugo na uvuvi na Si vinginevyo kama unavyotujuza hapaWAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega ameeleza sababu ya nyama kupanda kwa bei katika maeneo mbalimbali nchini ni kutokana na upungufu wa upatikanaji wa ng’ombe na ongezeko la mahitaji ya viwanda vya kuchakata nyama.
Hata hivyo wafanyabiashara wa mifugo na wauza mabucha wamesema kuwa kupanda kwa kitoweo hicho kuanzia wanakochukua (machinjioni), gharama za usafirishaji na msimu huu wa kiangazi kumesababisha pia bei ya nyama kupanda kwani wafugaji wengi hawapendi kuuza ng’ombe wakati huu wakidai kwamba mifugo hiyo inakua haina uzito kutokana na kupungua kwa malisho na maji.
Bei ya nyama kwenye mikoa ya Arusha, Moshi na Dar es Salaam inadaiwa kuwa shilingi 7,000 mpaka shilingi 8,000 kwa kilo tofauti na awali ambapo kitoweo hicho kilikua kikiuzwa shilingi 6,000.
Kama kuna watu wana bahati duniani ni huyu jamaa anayeitwa Waziri, .... Kwanza uongeaji wake tu unaonyesha ni mwongo, ni fundi wa kupanga maneno balaa... namkumbuka akiwa naibu Waziri wa Habari na Michezo kwenye ishu ya SERA YA MICHEZO TANZANIA ..Jibu la kipumbavu sana kutoka kwa huyo waziri. Suala la idadi ya mifugo katika nchi ni sera ambayo inapaswa kusimamiwa na serikali ili kuregulate bei ya nyama pamoja na mifugo hiyo katika nchi.
Huyu waziri ni sawa na anawaambia wananchi kuwa kazi imemshinda, halafu sad enough hana hata habari kuwa anadeliver message kama hiyo.
Wafanya biashara katika habari hii wanaonekana kutoa sababu ambazo ni za kiuchumi na ambazo ni genuine kuliko waziri mwenye dhamana.
Hapo ningeshauri, Kitimoto iwe 7000,na ng'ombe iwe 9000.Nipo geita ng'ombe ni wengi samaki wapo ila kilo ya nyama ni 7,000 kitimoto 9,000 tushazoea