Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 13,506
- 51,111
MATAGA katika ubora wako lazima ukubali SSH ndiyo raisiWanzanzibari watu wa hovyo sana
Bwashee kwanini tunavunja kanuni na sheria tulizojiwekea sisi wenyewe?Bavicha acheni nongwa!
Hapa tusimlaumu Jiwe!Athari na chembechembe zingine zilizobaki za utawala wa awamu ya tano kujitolea matamko.
Michezo ina mfumo wake maalum ambayo hupangwa kwa muda mrefu lakini mazoea ya awamu ya 5 yameharibu kabisa utawala wa sheria, mifumo, taratibu na kanuni.
Nchi inategemea zaidi tamko la waziri, wizara, mkuu serikali za mkoa au rais. Utasikia hata humu JF mtu anaweka " Rais wa Kenya aruhusu waTanzania ..." huku ni kuonesha jinsi jamii ya Tanzania ilivyoathirika na kutegemea zaidi matamko, hisani za mtu / watu wenye mamlaka badala ya kufuata sheria, katiba, kanuni , taratibu labda tu pale panapotokea hali ya hatari kwa wananchi na hizo pia zimeainishwa katika sheria na katiba kwa wingi kabisa nini kifanyike.
TFF inajipendekeza tu bwashee!Bwashee kwanini tunavunja kanuni na sheria tulizojiwekea sisi wenyewe?
Muasisi wa haya yote ni yule Shujaa.
MATAGA katika ubora wako lazima ukubali SSH ndiyo raisi
Duh!Mechi inavurugwa kunusuru Team ya Chama dhidi ya kipigo
Ally kessy muulize kuhusu mwendazake uone jibu atakalokupaAlly kesi anasemaje kuhusu hili
Hapa tusimlaumu Jiwe!
Haya ni makosa ya serikali ya Samia Full stop!