Serikali imeninyang'anya korosho zangu

Serikali imeninyang'anya korosho zangu

Naomba nikwambia tu ukweli hujui chochote kuhusu ushirika wala hujawahi hata kuwa karani katika ivyo vyama

ingekuwa hivyo tumbaku, pamba, korosho zisinge kuwa zinauzwa katika vyama vya ushirika wangeuza masoko huria.

Vyama haviruhusu mkulima kujigharamia pembejeo ingekuwa ni ruhusa basi wakulima wangeuza watakapo bila ya kupitia vyama vya ushirika.

unaongea hata usivyo vijua et"huwezi chukua mkopo kuliko thamani ya mazao" thamani ya mazao hujulikana baada ya kuuzwa (hapo unakuwa usha chukua mkopo) ingekua hivyo wakulima wasinge kuwa wanalaza madeni ya pembejeo.

mkuu huna uzoefu wowote na hili jambo nimekuwa karani wa vyama vya msingi kwa misimu 3 nafahamu nacho zungumza.
Naomba ujibu swali hili, Mwaka huu wakazi wa nachingwea hadi masasi hawakupata pembejeo kwa wakati asilimia kubwa wamenunua na kukopa kwenye maduka ya watu au kuwakopa watu pesa ili wahudumie mashamba yao. je hii imekaaje
 
Huu ndio ukweli japo watu wa jiwe watajifanya hawaoni hii comment, walipwe basi hao wenye mashamba, mtu ana kilo 400 tu lakini kulipwa inashindikana hii ni aibu ya mwaka.
Kwa taarifa yako wakulima wa korosho huuza kiasi kidogo sana chini ya robo ya korosho zao zote kwa hao wanunuzi wadogowadogo ili wapate hela ya kujikimu wakati wakisubiri mnunuzi mkuu yaani vyama vya ushirika. Hapa hakuna athari yoyote kwa mkulima na chama chake cha ushirika. Lakini zaidi ni kwamba hata baadhi ya hao wakulima wenyewe wametapeliwa na serikali kwa madai kwamba korosho waliyouza ni nyingi kuliko uwezo wa mashamba yao. Hakuna shaka serikali hii imedhulumu watu haki zao kwenye hili sakata la korosho.
 
Naomba ujibu swali hili, Mwaka huu wakazi wa nachingwea hadi masasi hawakupata pembejeo kwa wakati asilimia kubwa wamenunua na kukopa kwenye maduka ya watu au kuwakopa watu pesa ili wahudumie mashamba yao. je hii imekaaje
imekaa poa, si mara moja ama 2 wakulima kuchelewetshewa pembejeo

kinachofanyika kama wamenunua wanakuwa na risiti kuonesha walinunua mbolea madawa kiasi gani ili kujiridhisha

kukosa risiti huleta mashaka, kuomesha umelangua kwa mtu .

kuepusha usumbufu wote huu serikali imesema "tuoneshe shamba" hayo ya umejinunulia pembejeo yatajibiwa na shamba li wapi?
 
Kwa taarifa yako wakulima wa korosho huuza kiasi kidogo sana chini ya robo ya korosho zao zote kwa hao wanunuzi wadogowadogo ili wapate hela ya kujikimu wakati wakisubiri mnunuzi mkuu yaani vyama vya ushirika. Hapa hakuna athari yoyote kwa mkulima na chama chake cha ushirika. Lakini zaidi ni kwamba hata baadhi ya hao wakulima wenyewe wametapeliwa na serikali kwa madai kwamba korosho waliyouza ni nyingi kuliko uwezo wa mashamba yao. Hakuna shaka serikali hii imedhulumu watu haki zao kwenye hili sakata la korosho.
Ukiacha kukopeshwa pembejeo wakulima hukopeshwa pesa nyingine (wakati mwingine huitwa "okoa zao",) ambayo huitumia kujikimu.

kuuza korosho zilizo chukuliwa mkopo (hata kama ni kilo 3) ni makosa sema ndo iyo kujiongeza

alafu kuna makadirio/tathimini ya heka moja kutoa kilo/tani ngapi. huwezi kuwa na heka 1 ukazalisha tani 50 ukiulizwa ujifiche kwenye kivuli cha nimeonewa.

kama serikali haijawalipa wasio na matatizo hapo inazingua
 
imekaa poa, si mara moja ama 2 wakulima kuchelewetshewa pembejeo

kinachofanyika kama wamenunua wanakuwa na risiti kuonesha walinunua mbolea madawa kiasi gani ili kujiridhisha

kukosa risiti huleta mashaka, kuomesha umelangua kwa mtu .

kuepusha usumbufu wote huu serikali imesema "tuoneshe shamba" hayo ya umejinunulia pembejeo yatajibiwa na shamba li wapi?
Vizuri sana, Tokea serikali imedai watu waonyeshe mashamba hadi sasa ni mwezi unaisha kwanini inashindwa kuwalipa wakulima, inamaana wote wana mashamba hewa? wazee wetu wanahangaishwa kwenda kuzunguka mashamba yao na kuhakikiwa na inabainika ni mali yao halali, nini ninakwamisha kupewa jasho lao?
 
Aisee so pain, nalia sijui nianzie wapi.

Baada ya kukaa bila ajira niliamua kujiajiri bihashara ikawa ngumu, ikabidi nibadilishe aina ya bihashara, kutokana na ndugu yangu alifanya biashara ya Korosho na ikamlipa nikaamua na mimi kutafuta riziki kupitia korosho.

Sikua na mtaji mbaba mmoja ni family friend alikuwa amestaafu so pensheni alikuwa nayo basi akanionea huruma na kunikopesha milioni kumi(10m).

Basi nkaenda kusini aise wananchi walikuwa na hali mbaya yaani mtu mwenyewe ndo anakuletea au kukuitia korosho, basi nilinunua tena bila kumlazimisha mkulima, bali mkulima ndo anakuomba ununua maana hata pesa ya sukari anakuwa hana.

Serikali walipokuja kuhakiki wakaniuliza kama nina shamba nkawaambia sina, me nimekuja kufanya bihashara kama mtanzania maana ni haki yangu kuishi popote,

Bila huruma wakataifisha korosho zangu, nilizimia baadae nkazinduka, Baba alipopata tarifa naye alizima gafra.

Mzee aliyenisave hela ananidai na serikali imechukua Korosho zangu.

Basi Baba ameamua kumuuzia shamba letu maana hakuna jinsi ya kulipa deni.

Naichukia sana Tanzania, sahivi naisi kujitoa muhanga.
Aliye kuzurumu in Jiwe huyo usiseme serikali be so specific. Dictator in action.
 
Naomba nikwambia tu ukweli hujui chochote kuhusu ushirika wala hujawahi hata kuwa karani katika ivyo vyama

ingekuwa hivyo tumbaku, pamba, korosho zisinge kuwa zinauzwa katika vyama vya ushirika wangeuza masoko huria.

Vyama haviruhusu mkulima kujigharamia pembejeo ingekuwa ni ruhusa basi wakulima wangeuza watakapo bila ya kupitia vyama vya ushirika.

unaongea hata usivyo vijua et"huwezi chukua mkopo kuliko thamani ya mazao" thamani ya mazao hujulikana baada ya kuuzwa (hapo unakuwa usha chukua mkopo) ingekua hivyo wakulima wasinge kuwa wanalaza madeni ya pembejeo.

mkuu huna uzoefu wowote na hili jambo nimekuwa karani wa vyama vya msingi kwa misimu 3 nafahamu nacho zungumza.
Nauza pembejeo kwa wakulima wa korosho na nina shamba la Korosho kijiji cha Msijute Mtwara vijijini la ekari 30, I know exactly what am talking about. Mimi mwenyewe natumia madawa yangu na sikopi mahali popote. What are you on about? Unaongea na mwenye mkaa sio mchoma mkaa.

Ukiendelea ntakushushia data zaidi, sio tu kwenye.vyama vya ushirika vya korosho bali pia kwenye kahawa, miwa, etc
 
Naichukia sana Tanzania, sahivi naisi kujitoa muhanga.

Usijitoe mapema mkuu, subiri watanzania wengine nao wafikie hyo stage ili muwe wengi, hasa hawa wa Lumumba

Just a matter of time, waiting for hio style mtayojitoa muhanga
 
Vizuri sana, Tokea serikali imedai watu waonyeshe mashamba hadi sasa ni mwezi unaisha kwanini inashindwa kuwalipa wakulima, inamaana wote wana mashamba hewa? wazee wetu wanahangaishwa kwenda kuzunguka mashamba yao na kuhakikiwa na inabainika ni mali yao halali, nini ninakwamisha kupewa jasho lao?
Akikujibu nifahamishe. Mie ni mmojawapo ambae shamba limehakikiwa lakini malipo hakuna
 
Kila nikirudia kusoma humo nilipoweka Red naona sielewi kama ulienda kwa lengo la kwenda kununua korosho huko kusini au ulikuwa unapita tu ukaombwa na wakulima wa korosho ununue korosho zao?

Hivi ukimkuta teja ana msokoto akakuomba akuuzie ana kiu ya maji nawe ukanunua ukakaa na msokoto dola ikaja ikakukuta nayo utajielezea vipi?
Aliyekutwa na ngozi ndiye mwizi..! Wewe ulienda kusini kulangua korosho na ulanguzi ni kosa.
Ndugu yangu ukitaka kumtetea JIWE unahitaji kujipunguza akili kiasi hiki? Yaani bangs unaiweka kundi moja na korosho, kweli?
 
Hama tu nchi
Ulichokua ukikifanya ni kuhujumu uchumi,sheria inataka mkulima akauzw korosho kwenye chama cha msingi,ambacho nacho kitauza kwa chama kikuu au mnunuzi wa jumla
Walanguzi na madalali wa korosho hakuna tena nafasi hiyo
Mahindi ,ndizi mihogo n.k. vinauzwa wapi?
 
Aisee so pain, nalia sijui nianzie wapi.

Baada ya kukaa bila ajira niliamua kujiajiri bihashara ikawa ngumu, ikabidi nibadilishe aina ya bihashara, kutokana na ndugu yangu alifanya biashara ya Korosho na ikamlipa nikaamua na mimi kutafuta riziki kupitia korosho.

Sikua na mtaji mbaba mmoja ni family friend alikuwa amestaafu so pensheni alikuwa nayo basi akanionea huruma na kunikopesha milioni kumi(10m).

Basi nkaenda kusini aise wananchi walikuwa na hali mbaya yaani mtu mwenyewe ndo anakuletea au kukuitia korosho, basi nilinunua tena bila kumlazimisha mkulima, bali mkulima ndo anakuomba ununua maana hata pesa ya sukari anakuwa hana.

Serikali walipokuja kuhakiki wakaniuliza kama nina shamba nkawaambia sina, me nimekuja kufanya bihashara kama mtanzania maana ni haki yangu kuishi popote,

Bila huruma wakataifisha korosho zangu, nilizimia baadae nkazinduka, Baba alipopata tarifa naye alizima gafra.

Mzee aliyenisave hela ananidai na serikali imechukua Korosho zangu.

Basi Baba ameamua kumuuzia shamba letu maana hakuna jinsi ya kulipa deni.

Naichukia sana Tanzania, sahivi naisi kujitoa muhanga.
Pole sana mkuu, Mungu atakulipa kwa namna yake. Wale wote walioshiriki October 2015 kutufikisha hapa kwa makusudi au kwa ugumu wa shingo zao au kwa maslahi yao binafsi hakika wana la kujibu mbele za Mungu.
 
Mkuu kwa bahati mbaya hii taarifa yako, hatuna namna ya kuweza kuithibitisha. Angalia tu usijekua unatumika au unatoa hii taarifa kama sehemu ya propaganda za kuichafua serikali.
Toka nimeanza kusoma post zako, naona we no kibaraka dhahiri was JIWE. Kazana hakikisha hashitukiwi na wananchi mana utarudi benchi uanze kulialia.
 
Pole sana Mkuu..ila hiyo uliyokuwa unafanya ndio KANGOMBA..yaani unanunua korosho kwa mkulima kwa shilingi 1000 ili wewe uje kuuza kwa 3300. Japo umesema hukuwa unawalazimisha ila ulitumia shida za wakulima kujinufaisha. Suala lako linafanana na utetezi wa kufanya mapenzi na binti chini ya miaka 18, hata kama ulimtongoza na kukubaliana lakini sheria itakuambia umebaka.
Ulichosema hapo ndio biashara yenyewe.
Biashara no kununuwa cheap na kuuza Kwa being ya juu.....na hapo ndio inapopatikana faida.
Biashara sio a charitable activity....sema kosa lake hapo, na amevunja Sheria ipi.
 
Back
Top Bottom