Serikali imeninyang'anya korosho zangu

Serikali imeninyang'anya korosho zangu

Sirikali ya kunyonga wanyonge, mlipoambiwa mtaishi kama mashetani si mlipiga makofii na kuimba wataisoma no!! ccm mbele Kwa mbele
 
Baba yangu jee ulikuwa na leseni ya biashara??????????????
Kisheria inawezekana kuwa wewe ni mlanguzi kwa sababu huna shamba wala leseni ya biashara hiyo.
Ninadhani mwisho wa siku mtalipwa ila jamani tujifunze kufuata sheria na taratibu zake.
Kwa mtaji wa milioni kumi alipaswa kuwa na japo hata kaofisi, TIN ya biashara, kaleseni. Bila hivyo hawezi kuthibitisha kuwa hajaiba hizo korosho. Ndio hali imeshakuwa hivyo tunaishi kwa kuviziana. Masikitiko. Mungu amsaidie tu, maana hakuna namna.
 
Ukiwa muongo inabidi pia ujue namna ya kuandika uwongo uliokaribu ma ukweli!

Hii story yako utawaokota nyumbu wengi!
Granted story ya kubuni,ukweli upo pale pale, wapo wafanyabiashara wadogo wengi walinunua korosho kwa lengo la kuuza kwa faida.Kosa lao hawana mtetezi ,nguvu za dola zimewadhulumu.
 
Mungu atakulipia shoga,,Mungu anapokea dua za mwenye kudhulumiwa haraka sana,,Rais ndio amewaambia hao wafanye ivyo ,kwaiyo rais ndio chanzo chanzo cha ww kuporwa jasho lako, nakuhakikishia Mungu atakulipia shoga yangu,, kuanzia aliyewatuma kufanya iyo dhuluma hadi waliotekeleza , imeniuma sana
Mina, I like your contribution
 
Ulikua mfanyabiashara wa mazao bila leseni pole
 
Baba yangu jee ulikuwa na leseni ya biashara??????????????
Kisheria inawezekana kuwa wewe ni mlanguzi kwa sababu huna shamba wala leseni ya biashara hiyo.
Ninadhani mwisho wa siku mtalipwa ila jamani tujifunze kufuata sheria na taratibu zake.
Tuache ushauri mbaya, nenda kwa watu wanaonunua mahidi mashambani ama wana leseni, je ukinunua ndizi kwa wameru au wahaya au wachaga ukazileta mjini unakuwa na leseni mbali ya ushuru wa sokoni?, Je ukinunua ng'ombe toka kwa wamasai au wasukuma ukaleta mnadani Pugu unakuwa na leseni, Ukinunua alizeti toka Singida au kuku unakuwa na leseni? Kuna vitu vinahitaji leseni la vingine uwa ni ushuru ukifika sokoni
 
Naelewa kinachoendelea mkuu
Hana pa kushtaki mkuu, hii nchi unaijua. Watoa haki wamewambia madiwani wa chadema uko Magu kuwa ni marufuku majengo ya serikali kutumiwa na vya vya siasa.
Hivi wajua kinacheoendelea ikulu jana na leo.....
You better shut up your chicken mouth... BICK
 
Mkuu kwa bahati mbaya hii taarifa yako, hatuna namna ya kuweza kuithibitisha. Angalia tu usijekua unatumika au unatoa hii taarifa kama sehemu ya propaganda za kuichafua serikali.
 
iko hivi hawa wakulima wana vikundi kama utalaza deni basi linagawiwa kwa kukundi kuzima kilishindwa kulipa linagawiwa kwa kijiji kikishindwa lipa libabebwa na chama (mara nyingi ni ngumu kufika huku) ndo maana ujawah sikia chama kikipata hasara

II. unajuaje izo korosho zinalipa deni ikiwa weww hujui ubora wake na zitauzwa vp? aya hata ukijua unauza kimakosa kwa kuwa inafaa upeleke zote maana ndo makubaliano yenu.
a
kwenye tumbaku hakuna mtu wa kati na haruhusiwi sema tumeishi hivyo kimazoea

maana iyo tumbaku tu kuchukua pembejeo chache na kuja ma mzigo mkubwa unao zidi maradufu makisio ni makosa. pia mkulima A kuchukua pembejeo na tumbaku kuuzia kwa mkulima B ni makosa maana anakwepa deni na kuwabambikia wanakikundi wake.

unashangaa mkulima kukwepa deni la pembejeo (wanakikundi hulilipa deni hilo maana wamedhaminiana) na mwakani atapewa na ile hela (deni alilokopa) atakatwa na litaenda kwa walio mlipia (wanakikundi)

mkuu hayo mambo kifupi ni ulanguzi hakuna haki kwa wafanyayo hayo ila huruma tu
Kwahiyo njia nzuri ni serikali kuchukua korosho zao? Kama wana vikundi nina uhakika wamewekeana utaratibu wa kushughulikiana ikiwemo namna ya kulipa na ukishindwa kulipwa wanakuchukulia hatua gani? Hilo la tumbaku usinibishie nina ishi kwenye jamii ya wakulima wa tumbaku, middle ni wengi sana.
 
Aisee so pain, nalia sijui nianzie wapi.

Baada ya kukaa bila ajira niliamua kujiajiri bihashara ikawa ngumu, ikabidi nibadilishe aina ya bihashara, kutokana na ndugu yangu alifanya biashara ya Korosho na ikamlipa nikaamua na mimi kutafuta riziki kupitia korosho.

Sikua na mtaji mbaba mmoja ni family friend alikuwa amestaafu so pensheni alikuwa nayo basi akanionea huruma na kunikopesha milioni kumi(10m).

Basi nkaenda kusini aise wananchi walikuwa na hali mbaya yaani mtu mwenyewe ndo anakuletea au kukuitia korosho, basi nilinunua tena bila kumlazimisha mkulima, bali mkulima ndo anakuomba ununua maana hata pesa ya sukari anakuwa hana.

Serikali walipokuja kuhakiki wakaniuliza kama nina shamba nkawaambia sina, me nimekuja kufanya bihashara kama mtanzania maana ni haki yangu kuishi popote,

Bila huruma wakataifisha korosho zangu, nilizimia baadae nkazinduka, Baba alipopata tarifa naye alizima gafra.

Mzee aliyenisave hela ananidai na serikali imechukua Korosho zangu.

Basi Baba ameamua kumuuzia shamba letu maana hakuna jinsi ya kulipa deni.

Naichukia sana Tanzania, sahivi naisi kujitoa muhanga.

Mkuu kwa we hukuandamana kwa kusherekea rais mtetezi wa korosho
 
Hili la kutaifisha korosho za wananchi ni wizi haliwezi kuwaacha Lumumba salama; 2020 imeshafika. Hakuna sheria hapa Tanzania kama unauza zao lolote lazima uonyeshe shamba kwanza.
 
Pole sana kaka.
Ila uzuri ni kuwa wanaowachukia wanazidi kuongezeka.
Mwisho watabaki peke yao tu.
 
Back
Top Bottom