Serikali imeninyang'anya korosho zangu

Serikali imeninyang'anya korosho zangu

Naichukia sana Tanzania, sahivi naisi kujitoa muhanga.
Hama tu nchi
Ulichokua ukikifanya ni kuhujumu uchumi,sheria inataka mkulima akauzw korosho kwenye chama cha msingi,ambacho nacho kitauza kwa chama kikuu au mnunuzi wa jumla
Walanguzi na madalali wa korosho hakuna tena nafasi hiyo
 
Ukiwa muongo inabidi pia ujue namna ya kuandika uwongo uliokaribu ma ukweli!

Hii story yako utawaokota nyumbu wengi!
Hivi story hii uongo wake na wa yule anayesema tunajenga reli na mradi wa Rufiji kwa hela zetu kumbe hazina kuko chwee mpaka waziri wake analia "wanaume" wamesitisha Misaada ni yupi muongo mwenye athari kwa nchi?
Halafu ni aibu unaaminiwa na raia kisha unakuwa mtu wa fix!
 
Kwani mkuu hakuna pakwenda kushtaki?????
Jalibu kushtaki au tafuta au sambaza taarifa hizi kwenye tv watanzania wengine wasikie.
Aisee so pain, nalia sijui nianzie wapi.

Baada ya kukaa bila ajira niliamua kujiajiri bihashara ikawa ngumu, ikabidi nibadilishe aina ya bihashara, kutokana na ndugu yangu alifanya biashara ya Korosho na ikamlipa nikaamua na mimi kutafuta riziki kupitia korosho.

Sikua na mtaji mbaba mmoja ni family friend alikuwa amestaafu so pensheni alikuwa nayo basi akanionea huruma na kunikopesha milioni kumi(10m).

Basi nkaenda kusini aise wananchi walikuwa na hali mbaya yaani mtu mwenyewe ndo anakuletea au kukuitia korosho, basi nilinunua tena bila kumlazimisha mkulima, bali mkulima ndo anakuomba ununua maana hata pesa ya sukari anakuwa hana.

Serikali walipokuja kuhakiki wakaniuliza kama nina shamba nkawaambia sina, me nimekuja kufanya bihashara kama mtanzania maana ni haki yangu kuishi popote,

Bila huruma wakataifisha korosho zangu, nilizimia baadae nkazinduka, Baba alipopata tarifa naye alizima gafra.

Mzee aliyenisave hela ananidai na serikali imechukua Korosho zangu.

Basi Baba ameamua kumuuzia shamba letu maana hakuna jinsi ya kulipa deni.

Naichukia sana Tanzania, sahivi naisi kujitoa muhanga.
 
Kwa sasa ni vyema kila tutakayemkuta na mazao ya kilimo tumuulize amelipa wapi na shamba lake atuonyeshe pia..
 
juz kati niliwaambia hii kitu kama haijakukuta unaweza kudhan ni masihara
 
Baba yangu jee ulikuwa na leseni ya biashara??????????????
Kisheria inawezekana kuwa wewe ni mlanguzi kwa sababu huna shamba wala leseni ya biashara hiyo.
Ninadhani mwisho wa siku mtalipwa ila jamani tujifunze kufuata sheria na taratibu zake.
Amekosea sheria ipi mkuu, mlanguzi ni middle man kwa kiingereza, ni kazi kama kazo zingine.
 
Aisee so pain, nalia sijui nianzie wapi.

Baada ya kukaa bila ajira niliamua kujiajiri bihashara ikawa ngumu, ikabidi nibadilishe aina ya bihashara, kutokana na ndugu yangu alifanya biashara ya Korosho na ikamlipa nikaamua na mimi kutafuta riziki kupitia korosho.

Sikua na mtaji mbaba mmoja ni family friend alikuwa amestaafu so pensheni alikuwa nayo basi akanionea huruma na kunikopesha milioni kumi(10m).

Basi nkaenda kusini aise wananchi walikuwa na hali mbaya yaani mtu mwenyewe ndo anakuletea au kukuitia korosho, basi nilinunua tena bila kumlazimisha mkulima, bali mkulima ndo anakuomba ununua maana hata pesa ya sukari anakuwa hana.

Serikali walipokuja kuhakiki wakaniuliza kama nina shamba nkawaambia sina, me nimekuja kufanya bihashara kama mtanzania maana ni haki yangu kuishi popote,

Bila huruma wakataifisha korosho zangu, nilizimia baadae nkazinduka, Baba alipopata tarifa naye alizima gafra.

Mzee aliyenisave hela ananidai na serikali imechukua Korosho zangu.

Basi Baba ameamua kumuuzia shamba letu maana hakuna jinsi ya kulipa deni.

Naichukia sana Tanzania, sahivi naisi kujitoa muhanga.
Pole sana lakini hujatwambia ulikua unanunua kwa kilo bei gani? Je ulijiuliza kwanza kama biashara unayoenda kufanya kisheria inakatiwa lesseni? Ulikua nayo Leseni? Je TIN ya TRA unayo pia?
 
Baba yangu jee ulikuwa na leseni ya biashara??????????isheria inawezekana kuwa wewe ni mlanguzi kwa sababu huna shamba wala leseni ya biashara hiyo.
Ninadhani mwisho wa siku mtalipwa ila jamani tujifunze kufuata sheria na taratibu zake.
Pumbavu! Mkulima ana leseni ya biashara?! Kazi aliyokuwa anaifanya ni kimsaidia mkulima kusogeza mazao sokoni!!
 
Aisee so pain, nalia sijui nianzie wapi.

Baada ya kukaa bila ajira niliamua kujiajiri bihashara ikawa ngumu, ikabidi nibadilishe aina ya bihashara, kutokana na ndugu yangu alifanya biashara ya Korosho na ikamlipa nikaamua na mimi kutafuta riziki kupitia korosho.

Sikua na mtaji mbaba mmoja ni family friend alikuwa amestaafu so pensheni alikuwa nayo basi akanionea huruma na kunikopesha milioni kumi(10m).

Basi nkaenda kusini aise wananchi walikuwa na hali mbaya yaani mtu mwenyewe ndo anakuletea au kukuitia korosho, basi nilinunua tena bila kumlazimisha mkulima, bali mkulima ndo anakuomba ununua maana hata pesa ya sukari anakuwa hana.

Serikali walipokuja kuhakiki wakaniuliza kama nina shamba nkawaambia sina, me nimekuja kufanya bihashara kama mtanzania maana ni haki yangu kuishi popote,

Bila huruma wakataifisha korosho zangu, nilizimia baadae nkazinduka, Baba alipopata tarifa naye alizima gafra.

Mzee aliyenisave hela ananidai na serikali imechukua Korosho zangu.

Basi Baba ameamua kumuuzia shamba letu maana hakuna jinsi ya kulipa deni.

Naichukia sana Tanzania, sahivi naisi kujitoa muhanga.
Hapo awali ulkuwa chama gani!!!!
 
Mungu atakulipia shoga,,Mungu anapokea dua za mwenye kudhulumiwa haraka sana,,Rais ndio amewaambia hao wafanye ivyo ,kwaiyo rais ndio chanzo chanzo cha ww kuporwa jasho lako, nakuhakikishia Mungu atakulipia shoga yangu,, kuanzia aliyewatuma kufanya iyo dhuluma hadi waliotekeleza , imeniuma sana
 
Pole sana, ila kwenye para ya mwisho naomba neno Tanzania lisomeke 'serikali', usiichukie nchi yako bali unaweza kuichukia serikali iliyopo. Asante.
Hasante mkuu
 
Back
Top Bottom