Pole sana tena sana. Ila nadhani serikali inafahamu zaidi, na lazima kuna kundi lililowaponza kutokana na ununuzi wa korosho. Usiichukie Tanzania na serikali yako, bali amini Mungu anaenda kukufungulia njia nyingine ya wewe kuwa tajiri na kuyasimulia haya machungu ukiwapa moyo wale wote wenye kukata tamaa na maisha.Aisee so pain, nalia sijui nianzie wapi.
Baada ya kukaa bila ajira niliamua kujiajiri bihashara ikawa ngumu, ikabidi nibadilishe aina ya bihashara, kutokana na ndugu yangu alifanya biashara ya Korosho na ikamlipa nikaamua na mimi kutafuta riziki kupitia korosho.
Sikua na mtaji mbaba mmoja ni family friend alikuwa amestaafu so pensheni alikuwa nayo basi akanionea huruma na kunikopesha milioni kumi(10m).
Basi nkaenda kusini aise wananchi walikuwa na hali mbaya yaani mtu mwenyewe ndo anakuletea au kukuitia korosho, basi nilinunua tena bila kumlazimisha mkulima, bali mkulima ndo anakuomba ununua maana hata pesa ya sukari anakuwa hana.
Serikali walipokuja kuhakiki wakaniuliza kama nina shamba nkawaambia sina, me nimekuja kufanya bihashara kama mtanzania maana ni haki yangu kuishi popote,
Bila huruma wakataifisha korosho zangu, nilizimia baadae nkazinduka, Baba alipopata tarifa naye alizima gafra.
Mzee aliyenisave hela ananidai na serikali imechukua Korosho zangu.
Basi Baba ameamua kumuuzia shamba letu maana hakuna jinsi ya kulipa deni.
Naichukia sana Tanzania, sahivi naisi kujitoa muhanga.
Vipi kuhusu mbaazi na mahindi utaratibu ni huo huo?Hama tu nchi
Ulichokua ukikifanya ni kuhujumu uchumi,sheria inataka mkulima akauzw korosho kwenye chama cha msingi,ambacho nacho kitauza kwa chama kikuu au mnunuzi wa jumla
Walanguzi na madalali wa korosho hakuna tena nafasi hiyo
Bora umemuambia huyu dhalimuHebu tuacheni ungese watanzania wenzangu, hakuna asiyejua sekeseke la korosho mwaka huu lilivyotikisa vyombo vya habari. Mie mwenyewe ilibaki kidogo niwe muhanga wa hilo sakata ila kilichonisaidia ni subira...sikuweka hela mpaka mnada wa kwanza ulipopita nikaona mambo hayaeleweki nikavunga!
Hebu acha kujifanya wazimu kwamba hujui biashara nyingi za vilimo zinaendeshwa kienyeji hapa nchini, unaropoka tu kama vile babu yako alikuwa na TIN namba na leseni ya kulimia kahawa na maharage.
Sasa hii serikali ya wapumbavu si watanigeuzia kesiNenda mahakamani acha ufala. Wewe kma unsushahidi wa kutosha kuwa wamekunyanganya nenda kwashtaki na iyokesi watakuja wengi kibao yu watawaunga mkono. Tafta ushahidi maana wao watajitetea kuwa leta ushahidi kuwa ulinyanganywa na kiasi gani. Ila wakishaconfarm kuwa ulinyanganywa kweli lazima kesi uwashinde
Kwa akili hizi za kina Mselewa tuna safari ndefu mno. Huyu ndio yuko ofisi ya sheria chuo kikuu. Yaani hajaona tatizo la mleta maada zaidi ya typographical errors. Mleta maada anawakilisha makumi kwa ma mia ya waliodhulumiwa na serikali ya jiweBihashara=biashara; gafra=ghafla. No further comments
Kwa akili hizi za kina Mselewa tuna safari ndefu. Huyu ndio yuko ofisi ya sheria chuo kikuu. Yaani hajaona tatzo la mleta maada zaidi ya typographical errors. Mleta maaza anawakilisha makumi kwa ma mia waliodhulumiwa na serikali ya JiweBihashara=biashara; gafra=ghafla. No further comments
Pole sana ndugu,inaumiza sana,lakini pamoja na yote unayopitia,the only and only home ni TANZANIA,tunapaswa kujifunza kuipenda nchi yetu,na kuwachukia wanaofanya tuishi vibaya ndani ya nchi yetu!Aisee so pain, nalia sijui nianzie wapi.
Baada ya kukaa bila ajira niliamua kujiajiri bihashara ikawa ngumu, ikabidi nibadilishe aina ya bihashara, kutokana na ndugu yangu alifanya biashara ya Korosho na ikamlipa nikaamua na mimi kutafuta riziki kupitia korosho.
Sikua na mtaji mbaba mmoja ni family friend alikuwa amestaafu so pensheni alikuwa nayo basi akanionea huruma na kunikopesha milioni kumi(10m).
Basi nkaenda kusini aise wananchi walikuwa na hali mbaya yaani mtu mwenyewe ndo anakuletea au kukuitia korosho, basi nilinunua tena bila kumlazimisha mkulima, bali mkulima ndo anakuomba ununua maana hata pesa ya sukari anakuwa hana.
Serikali walipokuja kuhakiki wakaniuliza kama nina shamba nkawaambia sina, me nimekuja kufanya bihashara kama mtanzania maana ni haki yangu kuishi popote,
Bila huruma wakataifisha korosho zangu, nilizimia baadae nkazinduka, Baba alipopata tarifa naye alizima gafra.
Mzee aliyenisave hela ananidai na serikali imechukua Korosho zangu.
Basi Baba ameamua kumuuzia shamba letu maana hakuna jinsi ya kulipa deni.
Naichukia sana Tanzania, sahivi naisi kujitoa muhanga.
Wewe unatetea wizi , dhuluma ya serikali kwa raia wake. Kwani serikali hii kudhulumu raia wake wameanza leo kwenye korosho? Si hata hela za rambirambi Bukoba walizidhulumu, ili hali rambirambi zilizotolewa kwenye msiba wa dada yake Magufuli hatukusikia zikichukuliwa na serikali kufanya kazi za jamii.Ukiacha kukopeshwa pembejeo wakulima hukopeshwa pesa nyingine (wakati mwingine huitwa "okoa zao",) ambayo huitumia kujikimu.
kuuza korosho zilizo chukuliwa mkopo (hata kama ni kilo 3) ni makosa sema ndo iyo kujiongeza
alafu kuna makadirio/tathimini ya heka moja kutoa kilo/tani ngapi. huwezi kuwa na heka 1 ukazalisha tani 50 ukiulizwa ujifiche kwenye kivuli cha nimeonewa.
kama serikali haijawalipa wasio na matatizo hapo inazingua
Pole sana mkuu mambo mengi kwa sasa ni ya kukurupuka. Hakuna busara wala utuAisee so pain, nalia sijui nianzie wapi.
Baada ya kukaa bila ajira niliamua kujiajiri bihashara ikawa ngumu, ikabidi nibadilishe aina ya bihashara, kutokana na ndugu yangu alifanya biashara ya Korosho na ikamlipa nikaamua na mimi kutafuta riziki kupitia korosho.
Sikua na mtaji mbaba mmoja ni family friend alikuwa amestaafu so pensheni alikuwa nayo basi akanionea huruma na kunikopesha milioni kumi(10m).
Basi nkaenda kusini aise wananchi walikuwa na hali mbaya yaani mtu mwenyewe ndo anakuletea au kukuitia korosho, basi nilinunua tena bila kumlazimisha mkulima, bali mkulima ndo anakuomba ununua maana hata pesa ya sukari anakuwa hana.
Serikali walipokuja kuhakiki wakaniuliza kama nina shamba nkawaambia sina, me nimekuja kufanya bihashara kama mtanzania maana ni haki yangu kuishi popote,
Bila huruma wakataifisha korosho zangu, nilizimia baadae nkazinduka, Baba alipopata tarifa naye alizima gafra.
Mzee aliyenisave hela ananidai na serikali imechukua Korosho zangu.
Basi Baba ameamua kumuuzia shamba letu maana hakuna jinsi ya kulipa deni.
Naichukia sana Tanzania, sahivi naisi kujitoa muhanga.
Jamaa hawaulizi leseni, wanakuuliza shamba liko wapi?Baba yangu jee ulikuwa na leseni ya biashara??????????????
Kisheria inawezekana kuwa wewe ni mlanguzi kwa sababu huna shamba wala leseni ya biashara hiyo.
Ninadhani mwisho wa siku mtalipwa ila jamani tujifunze kufuata sheria na taratibu zake.
Hii mbona inafanyika mazao yote? Mkulima akivuna mahindi yake, pamba yake, chochote kile, anapohitaji fedha ya haraka, anauza kwa mtu yeyote ambaye yuko tayari. kuna sheria gani inayozuia mtu kuuza mazao aliyolima mwenyewe?Pole sana Mkuu..ila hiyo uliyokuwa unafanya ndio KANGOMBA..yaani unanunua korosho kwa mkulima kwa shilingi 1000 ili wewe uje kuuza kwa 3300. Japo umesema hukuwa unawalazimisha ila ulitumia shida za wakulima kujinufaisha. Suala lako linafanana na utetezi wa kufanya mapenzi na binti chini ya miaka 18, hata kama ulimtongoza na kukubaliana lakini sheria itakuambia umebaka.
Mahakama zipo nenda kafanye figisu hukoAisee so pain, nalia sijui nianzie wapi.
Baada ya kukaa bila ajira niliamua kujiajiri bihashara ikawa ngumu, ikabidi nibadilishe aina ya bihashara, kutokana na ndugu yangu alifanya biashara ya Korosho na ikamlipa nikaamua na mimi kutafuta riziki kupitia korosho.
Sikua na mtaji mbaba mmoja ni family friend alikuwa amestaafu so pensheni alikuwa nayo basi akanionea huruma na kunikopesha milioni kumi(10m).
Basi nkaenda kusini aise wananchi walikuwa na hali mbaya yaani mtu mwenyewe ndo anakuletea au kukuitia korosho, basi nilinunua tena bila kumlazimisha mkulima, bali mkulima ndo anakuomba ununua maana hata pesa ya sukari anakuwa hana.
Serikali walipokuja kuhakiki wakaniuliza kama nina shamba nkawaambia sina, me nimekuja kufanya bihashara kama mtanzania maana ni haki yangu kuishi popote,
Bila huruma wakataifisha korosho zangu, nilizimia baadae nkazinduka, Baba alipopata tarifa naye alizima gafra.
Mzee aliyenisave hela ananidai na serikali imechukua Korosho zangu.
Basi Baba ameamua kumuuzia shamba letu maana hakuna jinsi ya kulipa deni.
Naichukia sana Tanzania, sahivi naisi kujitoa muhanga.
Ni utamaduni wa wapi huo mtu anaanza na kicheko ndipo akatoa pole?fyekelea mbali hicho kicheko !hariri haraka!Hahahah pole sana mkuu.ndo tuna rais wa wanyonge huyu.chochea Kuni chochea kuniii
Nenda mahakamani hakuna sheria inayoruhusu serikali ikunyang'anye korosho zakoAisee so pain, nalia sijui nianzie wapi.
Baada ya kukaa bila ajira niliamua kujiajiri bihashara ikawa ngumu, ikabidi nibadilishe aina ya bihashara, kutokana na ndugu yangu alifanya biashara ya Korosho na ikamlipa nikaamua na mimi kutafuta riziki kupitia korosho.
Sikua na mtaji mbaba mmoja ni family friend alikuwa amestaafu so pensheni alikuwa nayo basi akanionea huruma na kunikopesha milioni kumi(10m).
Basi nkaenda kusini aise wananchi walikuwa na hali mbaya yaani mtu mwenyewe ndo anakuletea au kukuitia korosho, basi nilinunua tena bila kumlazimisha mkulima, bali mkulima ndo anakuomba ununua maana hata pesa ya sukari anakuwa hana.
Serikali walipokuja kuhakiki wakaniuliza kama nina shamba nkawaambia sina, me nimekuja kufanya bihashara kama mtanzania maana ni haki yangu kuishi popote,
Bila huruma wakataifisha korosho zangu, nilizimia baadae nkazinduka, Baba alipopata tarifa naye alizima gafra.
Mzee aliyenisave hela ananidai na serikali imechukua Korosho zangu.
Basi Baba ameamua kumuuzia shamba letu maana hakuna jinsi ya kulipa deni.
Naichukia sana Tanzania, sahivi naisi kujitoa muhanga.
Hahahaha huez jua nilivomuelewa mtoa mada Mkuu,sifyekelei mbali hata kidogoNi utamaduni wa wapi huo mtu anaanza na kicheko ndipo akatoa pole?fyekelea mbali hicho kicheko !hariri haraka!