Serikali imeninyang'anya korosho zangu

Serikali imeninyang'anya korosho zangu

Inaonekana muathirika amezoe vya kunyonga, vya kuchinja haviwezi, kila biashara ina utaratibu wake mojawapo ni kuwa na leseni, pili kushiriki kwwnye minada na tatu kulipa kodi. Tofauti na hayo ulikuwa unakula vibudu na ukila vibudu kuna adha zake.
 
Pole sana Mkuu..ila hiyo uliyokuwa unafanya ndio KANGOMBA..yaani unanunua korosho kwa mkulima kwa shilingi 1000 ili wewe uje kuuza kwa 3300. Japo umesema hukuwa unawalazimisha ila ulitumia shida za wakulima kujinufaisha. Suala lako linafanana na utetezi wa kufanya mapenzi na binti chini ya miaka 18, hata kama ulimtongoza na kukubaliana lakini sheria itakuambia umebaka.
Comment yako imesheheni ukweli na uhalisia japo itamuudhi mtoa mada.
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Aisee so pain, nalia sijui nianzie wapi.

Baada ya kukaa bila ajira niliamua kujiajiri bihashara ikawa ngumu, ikabidi nibadilishe aina ya bihashara, kutokana na ndugu yangu alifanya biashara ya Korosho na ikamlipa nikaamua na mimi kutafuta riziki kupitia korosho.

Sikua na mtaji mbaba mmoja ni family friend alikuwa amestaafu so pensheni alikuwa nayo basi akanionea huruma na kunikopesha milioni kumi(10m).

Basi nkaenda kusini aise wananchi walikuwa na hali mbaya yaani mtu mwenyewe ndo anakuletea au kukuitia korosho, basi nilinunua tena bila kumlazimisha mkulima, bali mkulima ndo anakuomba ununua maana hata pesa ya sukari anakuwa hana.

Serikali walipokuja kuhakiki wakaniuliza kama nina shamba nkawaambia sina, me nimekuja kufanya bihashara kama mtanzania maana ni haki yangu kuishi popote,

Bila huruma wakataifisha korosho zangu, nilizimia baadae nkazinduka, Baba alipopata tarifa naye alizima gafra.

Mzee aliyenisave hela ananidai na serikali imechukua Korosho zangu.

Basi Baba ameamua kumuuzia shamba letu maana hakuna jinsi ya kulipa deni.

Naichukia sana Tanzania, sahivi naisi kujitoa muhanga.
Nani atakuajiri wewe usiyejua hata kuandika,'bihashara=biashara', gafra=ghafula/ghafla. Hongera kwa hadithi nzuri. Hadithi yako inatufundisha nini?
 
Ndio anazitetea korosho hivyo !
hapa kadhi tu !
mtanunuliwa ndege nyingine mwende India kununua pilipili..
Binafsi nilishasema "POMBE AKIINGIA PEPONI MIMI NITATOKA"
 
Kwa wale ambao wana leseni za kununua korosho huwa hawaulizwi mashamba kwani huwa na vibali pia
kwani kuna wanaonunua korosho mkuu, zaidi ya serikali? maana waziri mkuu alisema kuna wafanyabiashara walio tayari kununua akini JPM akakataa na kusema zitanunuliwa na serikali kwa kusimamiwa na Jeshi
 
Angalia ITV wamewavua nguo yaani polisi wanapora pesa na korosho
 
Nani atakuajiri wewe usiyejua hata kuandika,'bihashara=biashara', gafra=ghafula/ghafla. Hongera kwa hadithi nzuri. Hadithi yako inatufundisha nini?
Wewe mbuzi umejionea ITV polisi wamepora pesa na Korosho za watu
 
Ebu pata kuelewa. Hawa Kangomba hawanunui Korosho mnadani hata siku moja. Wana njia zao za kupata korosho nawewe unajua hilo.
Umejionea ITV polisi wamepora pesa na Korosho za watu endelea kuropoka
 
Aisee so pain, nalia sijui nianzie wapi.

Baada ya kukaa bila ajira niliamua kujiajiri bihashara ikawa ngumu, ikabidi nibadilishe aina ya bihashara, kutokana na ndugu yangu alifanya biashara ya Korosho na ikamlipa nikaamua na mimi kutafuta riziki kupitia korosho.

Sikua na mtaji mbaba mmoja ni family friend alikuwa amestaafu so pensheni alikuwa nayo basi akanionea huruma na kunikopesha milioni kumi(10m).

Basi nkaenda kusini aise wananchi walikuwa na hali mbaya yaani mtu mwenyewe ndo anakuletea au kukuitia korosho, basi nilinunua tena bila kumlazimisha mkulima, bali mkulima ndo anakuomba ununua maana hata pesa ya sukari anakuwa hana.

Serikali walipokuja kuhakiki wakaniuliza kama nina shamba nkawaambia sina, me nimekuja kufanya bihashara kama mtanzania maana ni haki yangu kuishi popote,

Bila huruma wakataifisha korosho zangu, nilizimia baadae nkazinduka, Baba alipopata tarifa naye alizima gafra.

Mzee aliyenisave hela ananidai na serikali imechukua Korosho zangu.

Basi Baba ameamua kumuuzia shamba letu maana hakuna jinsi ya kulipa deni.

Naichukia sana Tanzania, sahivi naisi kujitoa muhanga.

................................................. ..........

UPDATES

Naamini mmejionea wenyewe kupitia ITV asikari polisi wamepora pesa na Korosho za watu, afu wamewapa kipigo.

Nyie mbuzi wa Lumumba mlikuwa mnabisha nini. Jiwe ni laana kwa nchi yetu
Mungu akusaidie tuu, mtetezi wa wanyonge anawatetea wakina rostam azizi , omba mungu tuu
 
Hama tu nchi
Ulichokua ukikifanya ni kuhujumu uchumi,sheria inataka mkulima akauzw korosho kwenye chama cha msingi,ambacho nacho kitauza kwa chama kikuu au mnunuzi wa jumla
Walanguzi na madalali wa korosho hakuna tena nafasi hiyo
Wewe mbwa kabisa unafikiri mchele au mahindi yanayofika dar na wewe unakula na kunya yanaletwa na wakulima?
 
Hii kitu imemkuta kaka yangu, kwa kipindi kirefu biashara yake ni Korosho na Mbaazi.

Mwaka huu amejiingiza kwenye korosho kama kawaida. Alikuwa na 25m na mimi nikaingiza 12m ikiawa Jumla 37M. Amenunua mzigo, ghafla serikali wanakuja na sera ya kuhakiki masahamba wakati huo alikuwa tayari ameshapeleka mzigo AMCOS. Ameshindwa kuonyesha shamba, amepoteza Korosho

Nimejifunza kwanini Somalia raia wanajilipua na mabomu.
 
Back
Top Bottom