Serikali imeninyang'anya korosho zangu

Serikali imeninyang'anya korosho zangu

Aisee so pain, nalia sijui nianzie wapi.

Baada ya kukaa bila ajira niliamua kujiajiri bihashara ikawa ngumu, ikabidi nibadilishe aina ya bihashara, kutokana na ndugu yangu alifanya biashara ya Korosho na ikamlipa nikaamua na mimi kutafuta riziki kupitia korosho.

Sikua na mtaji mbaba mmoja ni family friend alikuwa amestaafu so pensheni alikuwa nayo basi akanionea huruma na kunikopesha milioni kumi(10m).

Basi nkaenda kusini aise wananchi walikuwa na hali mbaya yaani mtu mwenyewe ndo anakuletea au kukuitia korosho, basi nilinunua tena bila kumlazimisha mkulima, bali mkulima ndo anakuomba ununua maana hata pesa ya sukari anakuwa hana.

Serikali walipokuja kuhakiki wakaniuliza kama nina shamba nkawaambia sina, me nimekuja kufanya bihashara kama mtanzania maana ni haki yangu kuishi popote,

Bila huruma wakataifisha korosho zangu, nilizimia baadae nkazinduka, Baba alipopata tarifa naye alizima gafra.

Mzee aliyenisave hela ananidai na serikali imechukua Korosho zangu.

Basi Baba ameamua kumuuzia shamba letu maana hakuna jinsi ya kulipa deni.

Naichukia sana Tanzania, sahivi naisi kujitoa muhanga.
Watakaokufuata PM ili wakusaidie,jua wanaitaka roho yako hao,kuwa makini shoga angu
 
Pole sana Mkuu..ila hiyo uliyokuwa unafanya ndio KANGOMBA..yaani unanunua korosho kwa mkulima kwa shilingi 1000 ili wewe uje kuuza kwa 3300. Japo umesema hukuwa unawalazimisha ila ulitumia shida za wakulima kujinufaisha. Suala lako linafanana na utetezi wa kufanya mapenzi na binti chini ya miaka 18, hata kama ulimtongoza na kukubaliana lakini sheria itakuambia umebaka.
Kwa Msimbati, maafisa wa serikali walikuwa wanawauliza wenye korosho wawaonyeshe mashamba walikovuna korosho hizo..!!! Nikajiuliza
1. kama korosho zikiwa nyingi zaidi ya uweo wa shamba lililoonyeshwa, maana yake ni KANGOMBA?
2. Je kama korosho ni chache kuliko uwezo wa shamba..!!! Wanafanya nini?

BTW, hadi leo wengi sana hawajalipwa hela zao... inasemekana kati ya 700B, zimelipwa 80B pekee.... hapo muda wa kusubiria kulipwa mkulima anaishije? KANGOMBA HAIWEZI KWISHA....Wakulima ndo watakuwa wanakangomba sasa..
 
Baba yangu jee ulikuwa na leseni ya biashara??????????????
Kisheria inawezekana kuwa wewe ni mlanguzi kwa sababu huna shamba wala leseni ya biashara hiyo.
Ninadhani mwisho wa siku mtalipwa ila jamani tujifunze kufuata sheria na taratibu zake.
Kwa hiyo, anayefanya biashara bila leseni, adhabu yake ni hiyo?

WEZI WA EPA WALIPORUDISHA WALIZOZIIBA MKAWASAMEHE..!!!
 
Mkuu sio kuwahi kuishi,ndio nipo huku. Nikuambie tu kwamba hawa 'wafanyabiashara wadogo' ndio wametufikisha hapa,kama utakumbuka mwaka jana korosho kwa kilo mnadani iliuzwa hadi 4,000/. Bei hii ikawavutia walanguzi waliokuwepo miaka ya nyuma na wapya kama huyu mtoa Uzi kuja kununua korosho kwa wakulima kwa bei ya chini ili wauze kwenye minada kwa bei ya juu.
Kilichotokea bei walionunulia kwa magendo kwa mkulima ndio hiyo ambayo ilitangazwa kwenye minada hivyo wakajikuta hamna wanachopata.Walichoamua kufanya kwa muamvuli wa wakulima wakatangaza kususa kuuza korosho kwenye minada. Utauliza kwavipi,jibu ni kwamba mwaka jana bei ya dira kwa kilo ilikuwa sh1300-1500 lakini wakulima hawakususia bei ya minada ya sh 2300 na ambayo ilipanda hadi hiyo 4000.
Hii 'biashara' ya korosho isome tu humu.
Mimi ninachoongelea ni uhalisia wa maisha ya mkulima. Siongeleei mgomo wa wafanyabiashara kususia kununua Korosho, maisha ya mkulima ndiyo yanayomfanya "AUZE MAZAO" yakiwa bado shambani kwa bei yoyote ile ili atatue shida zake kwa wakati huo.
Wengine huuza mazao au hukopa pesa kwa wafanyabiashara mazao yakiwa machanga kabisa, au huuza kwa bei ndogo sana kabla ya msimu wa mauzo kuanza hiyo ni kutokana na shida tu.
Si korosho tu hata Wakulima wa pamba, mpunga hali huwa hivi hivi.
Nafikiria sera hazijatungwa kuwanufaisha Wakulima.
 
Ukiwa muongo inabidi pia ujue namna ya kuandika uwongo uliokaribu ma ukweli!

Hii story yako utawaokota nyumbu wengi!
*AJIUA NYUMA YA KICHAKA CHA JENGO LA BODI YA KOROSHO*👇👉 AJIUA NYUMA YA KICHAKA CHA JENGO LA BODI YA KOROSHO | MALUNDE 1 BLOG

Aliyejinyonga anaitwa Mosses Malolela a.k.a Wadasani. INASEMEKANA Alilima akapata tani 4 korosho. Alipoenda kuuza, wanajeshi wakaenda kuhakiki shamba lake, wakamwambia shamba hilo lina uwezo wa kuzalisha tani moja, kwa hiyo aeleze alikotoa tani 3 zilizozidi, AKAAMUA KUJINYONGA
 
Mimi ninachoongelea ni uhalisia wa maisha ya mkulima. Siongeleei mgomo wa wafanyabiashara kususia kununua Korosho, maisha ya mkulima ndiyo yanayomfanya "AUZE MAZAO" yakiwa bado shambani kwa bei yoyote ile ili atatue shida zake kwa wakati huo.
Wengine huuza mazao au hukopa pesa kwa wafanyabiashara mazao yakiwa machanga kabisa, au huuza kwa bei ndogo sana kabla ya msimu wa mauzo kuanza hiyo ni kutokana na shida tu.
Si korosho tu hata Wakulima wa pamba, mpunga hali huwa hivi hivi.
Nafikiria sera hazijatungwa kuwanufaisha Wakulima.
Uko sahihi mkuu na nakubaliana na wewe, lakini tusitumie fursa kuwakandamiza wakulima wanyonge..ni kweli serikali kuna sehemu inakosea kama vile kuchelewa kupeleka fedha kwa ajili ya kununua mazao kwa wakati jambo ambalo mkulima mdogo hawezi kuvumilia kusubiri. Mtoa uzi alichofanya hapa ni kutafuta huruma ya wana jf na ameipata bila kuangalia wakulima wangapi wameumia kwa kumpelekea korosho zao hata kama walikuwa hawapendi.
 
Sasa kati ya mnunuzi wa kangomba, na ANAYECHUKUWA MAZAO YA WAKULIMA NA ASIWALIPE KWA WAKATI NANI ANAWAKANDAMIZA WAKULIMA?
 
Aisee so pain, nalia sijui nianzie wapi.

Baada ya kukaa bila ajira niliamua kujiajiri bihashara ikawa ngumu, ikabidi nibadilishe aina ya bihashara, kutokana na ndugu yangu alifanya biashara ya Korosho na ikamlipa nikaamua na mimi kutafuta riziki kupitia korosho.

Sikua na mtaji mbaba mmoja ni family friend alikuwa amestaafu so pensheni alikuwa nayo basi akanionea huruma na kunikopesha milioni kumi(10m).

Basi nkaenda kusini aise wananchi walikuwa na hali mbaya yaani mtu mwenyewe ndo anakuletea au kukuitia korosho, basi nilinunua tena bila kumlazimisha mkulima, bali mkulima ndo anakuomba ununua maana hata pesa ya sukari anakuwa hana.

Serikali walipokuja kuhakiki wakaniuliza kama nina shamba nkawaambia sina, me nimekuja kufanya bihashara kama mtanzania maana ni haki yangu kuishi popote,

Bila huruma wakataifisha korosho zangu, nilizimia baadae nkazinduka, Baba alipopata tarifa naye alizima gafra.

Mzee aliyenisave hela ananidai na serikali imechukua Korosho zangu.

Basi Baba ameamua kumuuzia shamba letu maana hakuna jinsi ya kulipa deni.

Naichukia sana Tanzania, sahivi naisi kujitoa muhanga.
Wahi kujitoa mhanga mkuu!
 
Mbona simulizi hii haina uzito na ushawishi wa kutuaminisha kuwa ni tukio la kweli? ...
 
Nadhani hapo palipo na BOLD na Italic kumenipa tafakari pana ya kilichopo behind the scene. Anyway, Ahsante
 
Kama ulinunua kibiashara na hukukiuka taratibu za biashara basi huna haki ya kunyanga'nywa lakini kama wewe ni mmoja wa kina Kangomba ni vyema ukayapata machungu waliokuwa wanayapata wakulima.
Sawa ngoja nipate tabu we ufurahi
 
Wewe ulienda kusini kulangua korosho na ulanguzi ni kosa.

Lipi Kosa lake hapo kwa uamuzi wake huo wa Kulangua Korosho?

Kwa Mujibu wa Sheria za nchi yetu ni tangu lini ulanguzi wa Mazao ikiwemo Korosho limekua Kosa la Jinai?

Jitahidi kuficha "umbumbumbu" wako.
 
Aisee so pain, nalia sijui nianzie wapi.

Baada ya kukaa bila ajira niliamua kujiajiri bihashara ikawa ngumu, ikabidi nibadilishe aina ya bihashara, kutokana na ndugu yangu alifanya biashara ya Korosho na ikamlipa nikaamua na mimi kutafuta riziki kupitia korosho.

Sikua na mtaji mbaba mmoja ni family friend alikuwa amestaafu so pensheni alikuwa nayo basi akanionea huruma na kunikopesha milioni kumi(10m).

Basi nkaenda kusini aise wananchi walikuwa na hali mbaya yaani mtu mwenyewe ndo anakuletea au kukuitia korosho, basi nilinunua tena bila kumlazimisha mkulima, bali mkulima ndo anakuomba ununua maana hata pesa ya sukari anakuwa hana.

Serikali walipokuja kuhakiki wakaniuliza kama nina shamba nkawaambia sina, me nimekuja kufanya bihashara kama mtanzania maana ni haki yangu kuishi popote,

Bila huruma wakataifisha korosho zangu, nilizimia baadae nkazinduka, Baba alipopata tarifa naye alizima gafra.

Mzee aliyenisave hela ananidai na serikali imechukua Korosho zangu.

Basi Baba ameamua kumuuzia shamba letu maana hakuna jinsi ya kulipa deni.

Naichukia sana Tanzania, sahivi naisi kujitoa muhanga.
Ulikuwa mpiga diri dadaangu, hii awamu sio ya wapiga diri, na wapiga diri mutapata tabu sana laa sivyo tafuteni pakukimbilia, hii ni sirikali ya wanyonge.
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Back
Top Bottom