jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 21,689
- 41,849
Nimemaliza Twisted Metal Season 1
Sasahivi naangalia BLOODHOUNDS
Kwa kweli ninarecommend mkaiangalie hii Bloodhounds
Yeah.... WakoreaWakorea??
Yeah.... Wakorea
Ila sikujua kama reaction ya watu itakuwa kubwa eti kisa ni ya Korea.
This time nitaleta series kali ya Marekani. Leo naanza series nyingine
Hiyo ina dual subtitlesInshu ni lugha,wengine subtitles hatupendi mana tuna miss some actions na kustopisha kwingi.
Though series zao huwa zina maudhui mazuri kama ile the squid game.
Bloodhounds wale madogo wanagonga ngumi series kalii sanaNimemaliza Twisted Metal Season 1
Sasahivi naangalia BLOODHOUNDS
Kwa kweli ninarecommend mkaiangalie hii Bloodhounds
Nimeona watu waisifia inacomedy na action
Naombeni mi mnipatie hizi movie kwa flashi basi.Hiyo site kwa hii movie ina MB407
View attachment 2705151
Jana nimeishusha kupitia Fmovies ilikuwa na 1.69GB
Site yako ni nzuri sana kwa matumizi madogo ya bundle
Mkuu naomba link ya kudownload huu mzigo..Hii series ni kali hapa rate 9/10 haisifiwi sana sabb sio ya wamarekani ila kama unapenda series za kijasusi, kama umewai kuangalia HOMELAND, THE AMERICANS na ukazipenda basi huu mzigo unacheza humohumo
Season 5 episode 50 View attachment 2699594
Medeberiya | Watch HQ free Movies index of Series free downloads ingia humuMkuu naomba link ya kudownload huu mzigo..
Yes chief.Unamaamisha epidode 4?
Yep yep Ep4.Unamaanisha episode 4 rafiki yangu sivyo..?? thank you..!
Namalizia Hijack hapa niipakue..!!
What if sam ni under cover na akaingia huko interpol?HIJACK
Mawazo yangu mimi hii series imeisha sijui kama kutakua na season 2 sabb story ilikua inamuhusu SAM na Sam na familia yake wapo salama endapo kama Sam angepoteza mke au yule mtoto wake basi kungekuwa na ulazima wa season 2 sababu Sam angetaka kulipa kisasi kwa wabaya wake , wale jamaa waliokimbia na hela sio kazi ya sam kuwatafuta hao watatafutwa na interpol.
Sam kukutana na familia yake haina ulazima kwanza kumbuka mke wake anaishi na mwanaume mwingine Sam anachofanya ni kufosi mapenzi , kuna kitu kuhusu wale majambazi hujakielewa wale jamaa walikua ni watu tuu wakawaida mtaani familia zao zimetekwa wakalazimishwa kufanya hijack wakat hawana uzoefu wowote mtu ambae hajawai kuwa jambazi anawezaje kufanya mipango wa kutoroka jela na wale wanapelekwa moja kwa moja kwenye maximum prison, kumbuka kuna mda Sam aliwauliza inamaana mmeiteka ndege alafu hamjui inafanyaje kazi ?? Kuonesha kwamba wale jamaa hawana uzoefu wowt kwenye ujambazi Sam ndo alikua anawaongoza kwenye mipango mingi wao wenyew walikua hawajui chochote.What if sam ni under cover na akaingia huko interpol?
Maswali yaliyobaki. Nini hatima ya waliokamatwa je watapanga njama nyingine ya kutoroka? Sam hajakutana na familia yake hata hijack ilipo isha. Hilo swala linakuambia nini? Tuliona mfanyakazi waamlaka ya anga akiuwawa nyumbani kwake nini hatima?
Naona season 2 ikija