MZEE NGAO 08
Member
- Mar 29, 2023
- 48
- 31
Kunakazi naicheki hapa ni single inaitwa FLOOD
Iko poa sana
Iko poa sana
BeefFrom & Hijack nishazipakua
"Hijack" bado sijaianza kuicheki
"From" tayari nakaribia kumaliza Season 1 nai rate 7/10. Ni series yenye story nzuri namshukuru mdau aliye ni recommend.
Wakuu kama kuna Series nyingine kali imenipita mniambie niishushe.
Kaka naomba file aisee maana nakosa utamu haa tunnel pluss aifanyi kaziTtcl na haina kikomo mimi natumia mpk GB 5 per day mchawi chaji tuu na sehem nzuri yenye mtandao
Hijack nakuhakikishia hutataka kuiacha mpaka uimalizeFrom & Hijack nishazipakua
"Hijack" bado sijaianza kuicheki
"From" tayari nakaribia kumaliza Season 1 nai rate 7/10. Ni series yenye story nzuri namshukuru mdau aliye ni recommend.
Wakuu kama kuna Series nyingine kali imenipita mniambie niishushe.
Hijack nakuhakikishia hutataka kuiacha mpaka uimalize
Hata intro hujaweka mzee?Beef
Barry
Silo
Secret invasion
Happ hata sauti ya mnyoo tumboni lazima uisikie. Umejitungua mzee episode moja inagonga hadi 700MB!!!!
Sometimes unaweza ukawa unasema series mbaya kumbe Resolution yako ndio mbaya.Happ hata sauti ya mnyoo tumboni lazima uisikie. Umejitungua mzee episode moja inagonga hadi 700MB!!!!
Safi sana kiongoziSometimes unaweza ukawa unasema series mbaya kumbe Resolution yako ndio mbaya.
Yale maswala ya kuangalia series huku umefumba jicho moja kutokana na poor Quality mi kwangu siyataki.
Hapa ni 1080 ikiyumba basi walau iwe 720
Kifurushi gani unatumia maana si mchezo episodesbili unakung'uta 1GB+Sometimes unaweza ukawa unasema series mbaya kumbe Resolution yako ndio mbaya.
Yale maswala ya kuangalia series huku umefumba jicho moja kutokana na poor Quality mi kwangu siyataki.
Hapa ni 1080 ikiyumba basi walau iwe 720
Beef ni comedyHata intro hujaweka mzee?
Zinahusiana na nini hizo?
Au ndio yale yale ya Homeland?
Kaka homeland kalii ile wew tu pata muda utaenjoy utajifunza vitu vingi kuhusu ujasusiHata intro hujaweka mzee?
Zinahusiana na nini hizo?
Au ndio yale yale ya Homeland?
Mwenye kujua naweza kudownload wap series ya last shipSeries zenye mazingira kama Vikings, Kingdom, See et al
Naomba mwenye kuzijua
Series zenye mazingira kama Vikings, Kingdom, See et al
Naomba mwenye kuzijua
Ingia medeberiyaaa .comMwenye kujua naweza kudownload wap series ya last ship
BoundlessSeries zenye mazingira kama Vikings, Kingdom, See et al
Naomba mwenye kuzijua
Asante mkuuBoundless
The Northman
Barbarians
Raised by Wolves
Game of Thrones
The Last Kingdom
The wheel of time
Kwan zipo session ngapiHijack ni
Bora nilivyosubiri zikatoka nyingi .. arosto yake ingekuwa si ya kitoto..
Episodes 6 season 1Kwan zipo session ngapi